uswazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

    Nimeangalia video nyingi za Dodoma sijawahi kuona mazingira ya uswazi Ukizingatia jiji la Dodoma lina population sawa na jiji la Mbeya lakini Mbeya uswazi upo wa kutosha ukiangalia aerial view. Ni wewe tu, mitaa iko kibao hata tunaweza kuorodhesha Ila Dodoma inanishangaza Wakazi wa Dodoma...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

    Just my thoughts Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  4. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa uswazi wanaringia tako wadada wa kishua wanaringia digirii

    Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

    Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi. Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno. Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

    '
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka mpya uswazi

    Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

    Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
  10. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Fikiria kwa undani wimbo wa old skul ya simba Uswazi Take away remix, bro that man was (and still is the free thinker)

    Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
  11. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  13. General Nguli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

    Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
  15. Ashampoo burning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  16. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  18. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya haya maneno yanayotumika sana uswazi

    Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Umuhimu wa mazoezi kwa akina dada. Wanawake wa Dar wajifunze sio kunenepa hovyo na kuvaa madela uswazi

  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

    Habari za mchana, Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana. Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia mtu hila hodi anatoa taarifa nachukua mboga kule nini ugali kidogo nilishangaa ase akaona pembeni...
Back
Top Bottom