Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi.
Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno.
Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote anaonekana mchafu .
Kuna mwingine anaweza akaja na kigezo cha kumtetea eti anatembea na brand ya kiswazi ndio maana yupo hivyo, hii si kweli hata kidogo.
Wapo ambao ni wa kiswazi , lakini wanatazamika. Mariamu anatia aibu sana.
Huu ujumbe bila shaka utamfikia , atafute mtu amlipe awe anamvalisha kinyume na hapo atakimbiwa na wateja wake.
Ukishaanza kuwa mchafu mchafu unajitengenezea mazingira mpaka watu kuhisi hata chakula chenyewe huenda kinaandaliwa katika mazingira machafu.
Pesa anayo, asionee ubahiri aajiri tu mtu ,huko mbeleni akishajua kuvaa ataendelea kujivisha mwenyewe.