Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Ila watu😄
Ila watu😄
kuna washkj wanavaa nguo za aibu sana hasa za kubana na vinjunga hatare sanaPia azingatie aina ya mavazi. Sio kila vazi linamfaa mtu. Aache kuvaa vimodo nguo za kubana bana apige bwanga kiaina... Atajikubali tu...
Sio zuri nshaona hahaaa stakiIla confession nina swali?😅😅
Acha basiii 😄Kwa maelezo yako upo namna hii?View attachment 3593339
Thanks Brother.Kuna mambo mkuu yapo nje ya uwezo wa binadamu, yaani hawez kujipangia .
Bro ishi maisha yako, hiyo shape ina SHIDA GANIIII?😳😳😳😳Sawa mkuu nitazingatia pia
usikubal ushauri hapa wa fanya hivi fanya vileSawa ahsante
We jamaa Huwa una mawazo mazuri sana. Always umenyooka kama ruler. Barikiwa sanaUpo normal but ukitaka mazoezi ongeza kwa juu kuleta balance.
So far upo vizuri and if you have someone in your life anaekupenda kweli the way ulivyo. Care less about other people's opinions
Sijakupatia picha wakati unatembeaMimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Karibu pombe 😊Sio zuri nshaona hahaaa staki
salama unaendeleaje na harakati zako?Sijambo monetary
Za wewe
Duh!bashite tena....Mwanaume
LolKwani Gym wanasemaje?
Hizo kilo dohhh!
I'm thanking God kwako vipisalama unaendeleaje na harakati zako?
nitume lipa namba ? 😊Karibu pombe 😊
Asante sana Bushmamy nimebarikiwa na maneno yako, ubarikiwe piaWe jamaa Huwa una mawazo mazuri sana. Always umenyooka kama ruler. Barikiwa sana