Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,634
Mkuu mbona upo kawaida tu.Sawa mkuu nitazingatia pia
Mazoezi unayotakiwa kufanya kama hujaridhika na mwili wako ni ya kukaza nyama hizo....
Kaza mwili wa juu (pushup au gym)
Kaza mwili wa chini....
Kukimbia ni kama unataka kupunguza mwili wote upunguze uzito na utapunguza mpaka sura....
Fanya mazoezi ya gym nyanyua chuma kawaida tu nyama zitakaza....