Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,962
- 15,731
Uzi unaviashiria vya uncle T
Wewe ni ME au KE?Mimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Sasa mbona wa kawaida sana? Unataka nini sasa?Sawa mkuu nitazingatia pia