Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

Wakuu habarini, wataalamu naombeni msaada.
Nami naulizia pc, ila nataka min laptop kwa ajili ya kusomea kuangalia movies na kufanya kazi ndogondogo. Naulizia min laptop inaweza nifaa. Napenda muonekano wake jinsi zilivyo.
 
Je, Kwahiyo Laptop naweza kufanya:
_ Video editing
  • Graphics
  • Kucheza Games ???
Hayo mambo mawili yanaegemea zaidi kwenye gpu na processor.
So kwa viwango vya hiyo pc naweza sema ni middle-class.
Gpu ya AMD r7 260 ni ya 2013 lakini performance yake ni nzuri mpaka leo.

Pc Inarun Adobe na application nyingine za aina yake bila tatizo
Pia inaweza kurun application kama android studio bila tatizo.
Pia kwa hiyo gpu naweza run game nyingi kwa medium settings game kama za aina ya gtaV.
game za mpira na za magari mara nyingi unacheza high settings mpaka ultra settings bila tatizo.

Kiufupi inaweza cheza game nyingi za miaka kuanzia 2016 kurudi nyuma kwa medium au high or even ultra kabisa.

Na inaweza sukuma game za kuanzia 2016 kwenda juu kwa low settings au medium.
 
Shukhrani sana boss
 
Wakuu habarini, wataalamu naombeni msaada.
Nami naulizia pc, ila nataka min laptop kwa ajili ya kusomea kuangalia movies na kufanya kazi ndogondogo. Naulizia min laptop inaweza nifaa. Napenda muonekano wake jinsi zilivyo.
Mini laptop ni nzuri na portable ila kuwa makini asilimia kubwa ni celeron, pentium na atom ambazo hazina nguvu,

Uki pata ya i3 hata gen ya zamani kwa matumizi yako itafanya.
 
Ukigusa tu games hapo ndio habari inabadilika. Tayari unaongelea powerful machine. Ambayo bei yake dukani mil1.2 na kuendelea.

Ila mkononi unaweza kudaka kwabei hiyo.
kila nikikiangaliaga hiki chuma kinaifanya akili yangu iende mbali zaid
 
Attachments

  • Screenshot_2021-01-11 Ipason Cheap 8g Ram Rx 560 4g Graphics Card Complet Tower Set Cpu Intel ...png
    Screenshot_2021-01-11 Ipason Cheap 8g Ram Rx 560 4g Graphics Card Complet Tower Set Cpu Intel ...png
    164.8 KB · Views: 17
Back
Top Bottom