Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,993
- 12,680
Kama upo mkoani itakuwa vizuri maana gharama za eneo zipo chini.No sina uwezo wa ku set up hiyo classic car wash now. Mji niliopo kuna sehemu nyingi za wazi lkn kuna vijana wako na ndoo na vitambaa wanaosha magari, i guess hawa wanajitegemea. Hawatanikimbiza hawa nikienda sehemu hii?? N then nikiweka vijana wanioshee magari natakiwa kuwalipa bei gani( standard pay) ? Hua wanalipa daily or monthly?
Kwa mkoani kama utaosha gari,pikipiki na bajaji inabidi uwe na pressure washer ya mafuta hata ya kuanzia laki 6. Ili kuvutia wateja maana wengi wanaamini pressure washer inaosha vizuri na pesa yake inaenda kihalali.
Upo mkoa gani nikupe mbinu ya kufungua car wash bila pressure washer machine. Kama ni mikoa yenye Maroli mengi au karibu na stend kubwa za mabasi.