Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

No sina uwezo wa ku set up hiyo classic car wash now. Mji niliopo kuna sehemu nyingi za wazi lkn kuna vijana wako na ndoo na vitambaa wanaosha magari, i guess hawa wanajitegemea. Hawatanikimbiza hawa nikienda sehemu hii?? N then nikiweka vijana wanioshee magari natakiwa kuwalipa bei gani( standard pay) ? Hua wanalipa daily or monthly?
Kama upo mkoani itakuwa vizuri maana gharama za eneo zipo chini.
Kwa mkoani kama utaosha gari,pikipiki na bajaji inabidi uwe na pressure washer ya mafuta hata ya kuanzia laki 6. Ili kuvutia wateja maana wengi wanaamini pressure washer inaosha vizuri na pesa yake inaenda kihalali.

Upo mkoa gani nikupe mbinu ya kufungua car wash bila pressure washer machine. Kama ni mikoa yenye Maroli mengi au karibu na stend kubwa za mabasi.
 
Sipo Tz mkuu, nipo Nchi moja chini ya jangwa la sahara inapakana na tanzania, lakini huu mji malori yapo mengi pia. Unaweza tiririka.
 
No sina uwezo wa ku set up hiyo classic car wash now. Mji niliopo kuna sehemu nyingi za wazi lkn kuna vijana wako na ndoo na vitambaa wanaosha magari, i guess hawa wanajitegemea. Hawatanikimbiza hawa nikienda sehemu hii?? N then nikiweka vijana wanioshee magari natakiwa kuwalipa bei gani( standard pay) ? Hua wanalipa daily or monthly?
Hawawezi kukukimbiza hao wanaosha Kwa kushirikiana au kila mtu anaosha gari lake na wengine wanaosha kisha kuna big boss anawalipa jioni.

Wewe inabidi uonane na mwenye eneo au wamiliki kisha uanze kazi yako.
Hapo wewe itabidi uwe mbunifu ili uwavute wateja wao na wengine. Unaweza ukaweka tent au miamvuli mikubwa na viti vya kupumzika pia ukawa unatengeneza juisi na matunda.
 
Uko wantashi sehemu gani?

Na si unajua watu wa huko walivyo ni bora kwenye malipo ufanye kulingana na jinsi mlivyofanya kazi kwa siku, utaratibu huu utajua ndani ya miezi mitatu unaweza kuingiza kiasi gani halafu baadae ndio unaweza kuwapa option kama utawalipa kwa mwezi au wiki,
Huko angalia sehemu yenye parking ya malori hasa ya soud Africa na Namibia au yale ya kina moodblue hakuna matata ,hermis na nyinginezo.
Japo wapo na yard zao huko ila angalia sehemu ambako madereva hukaa kwa muda mrefu saana.

Upo group lipi la WhatsApp la watanzania waishio huko?.
 
Sipo Tz mkuu, nipo Nchi moja chini ya jangwa la sahara inapakana na tanzania, lakini huu mji malori yapo mengi pia. Unaweza tiririka.
Kuosha roli hata bila mashine unafanya kazi vizuri kikubwa hapo ni kuwa na mpira(pipe) mrefu kutoka chanzo cha maji na pale kwenye maungio inabidi kuweka kiunganishi ambacho kitakupa maji yenye presha ya wastani hapo fundi bomba atakusetia.

Inabidi uwe na vifaa kama ngazi,ndoo za kutosha. Roli sehemu kubwa ya kuosha ni Cabin na kusafisha ndani. Utatafuta vijana wadogo ambao ni waaminifu na wachapakazi maana hii kazi kama kijana anatamaa utapata kesi za kuibiwa flash na vitu vya madereva.Kama upo Northern Rodhesia Kwa mbwembwe mtu akiosha gari unampa huduma ya bure kumpulizia air fresher hao watu wa huko watajaa sana.

Kama utakuwa vizuri baadae unaweza ukaweka mashine ya kufua upepo ili uwe unakusanya senti Kwa kusafisha air cleaner na kupima upepo, utaweka vitu vidogo kama mafuta ya brake na clucth pia unaweza ukanunua mashine za kuweka grisi na ukampa kijana mmoja akusimamie kisha jioni alete pesa.

Kama ni Maroli ya masafa yanapita uweke hata mdada mmoja awe anafanya kazi ya kufua nguo za madereva, madereva wengi wa transit wakifika hapo watahitaji hiyo huduma.
 
No sina uwezo wa ku set up hiyo classic car wash now. Mji niliopo kuna sehemu nyingi za wazi lkn kuna vijana wako na ndoo na vitambaa wanaosha magari, i guess hawa wanajitegemea. Hawatanikimbiza hawa nikienda sehemu hii?? N then nikiweka vijana wanioshee magari natakiwa kuwalipa bei gani( standard pay) ? Hua wanalipa daily or monthly?

The best way ya malipo inategemea
Utakuwepo hapo masaa 24
Au utawaacha ukute hela?

The best way ni Kwa commission
Au unawapa wakupe hela yako ya Kwa siku

Kama uko nao basi fanya Kwa siku na kamisheni kidogo
 
Tafuta kwanza eneo angalia mahitaji kisha uje uombe ushauri lakini mm sifikiri kama ushauri wa humu utakusaidia jishauli ww kwanza
 
NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni matumain yangu nyote mpo salama & kwa wale wenye matatizo almight god awatie nguvu.

Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, nimekuwa nikivutiwa sana na biashara ya car wash kwa kubis kwamba ni biashara fln ambayo changamoto yake sio kubwa sana, hivyo bas bila shaka umu kutakuwa na wajuvi wengi juu ya hii biashara kwaiyo kwa yeyote mwenye uzoefu na hii biashara nao.ba anipe elimu kidogo kuhusu:

MAHITAJ YOTE MPAKA CAR WASH INAKAMILIKA:

Mtaji niwe nao kias gan ambao nitanunua vitu gani na vitu gani. Nahitaji iwe simple tu.

Nawasilisha
 
Elimu yako tafadhali?
Hizo dharau sasa kaka, elimu ina uhusiano gan na biashara ya kuosha magari? Mimi nimehitaji msaada wa mawazo sasa kama unawazo unaswma na kama hauna wazo unakaa kimya. Sio poa kaka kuanza kuleta jokes kwenye mambo ya msingi. Utajiskiaje kwa mfano wewe ndio umeuliza halafu mtu anakuletea jokes? tujaribu kuwa wastaarabu kidogo
 
Cha kwanza kwa uelewa wangu mdogo ni kupata eneo, mfano sehemu karibu na bar, au sehemu yenye vinyozi inakuwa na mzunguko wa magari mengi ambayo ni rahisi mtu kushawishika kuosha gari.
 
Sehem yenye maji kama siyo uwe na matank ya maji ya kutosha, compression pressure machine ya kuoshea, chumba kimoja cha kuhifadhia vifaa km vile ndoo, matambala, sabuni n.k

Uwe sehem ya baraban au yenye mzunguko mkubwa wa watu, na eneo la kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo dharau sasa kaka....elimu ina uhusiano gan na biashara ya kuosha magari? mm nimehitaji msaada wa mawazo sasa kama unawazo unaswma na kama hauna wazo unakaa kimya...sio poa kaka kuanza kuleta jokes kwenye mambo ya msingi....utajiskiaje kwa mfano wewe ndio umeuliza halafu mtu anakuletea jokes? tujaribu kuwa wastaarabu kidogo
Umeomba Kusaidiwa Mawazo Halafu Unakuwa Mkali....! Watu wataogopa Kumshauri Mbabe....!
 
Umeomba Kusaidiwa Mawazo Halafu Unakuwa Mkali! Watu wataogopa Kumshauri Mbabe.
Hapana kaka inaonekana kuna watu wengine wapo kwa ajili ya kucheza na hisia za watu umu jukwaan. Sasa mi nimeomba nielimoshwe juu ya iyo biashara, sasa mtu anaacha kutoa mawazo ananiuliza maswali ambayo hayana hata msingi bas ni bora tu angeniambia anavhofaham yeye biashara iyo inafanywa na watu wenye level fln ya elimu. sasa mm ndio ningejipima kwamba nimefika education level iyo au vip?
 
Back
Top Bottom