Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

Ajabu mada sensitive kama hizi masaa mawili post hata hazifiki 15 ila sasa mwendawazimu mmoja aanzishe uzi hapa akizungumzia ukubwa wa makalio au udogo wa maumbile ya kiume ndani ya 30minute utakuta unasoma pages 4.

Sijui Watanzania maisha tunayachukuliaje!!!
 
naona biashara hii wengi wanaifanya sasa sijui kama hakuna kugombania wateja na wateja wenyewe wamekuwa adimu sana ila go ahead mkuu usijali hili kwani kitu chochote mwanzo kinakuwa kigumu
 
Bahati nzuri sana nnafanya biashara ya Car wash ila ina changamoto yake, haswa kipindi cha mvua kuna changamoto maana watu hawaoshi magar sana, pili vifaa kidogo ni ghali sema ukijipanga unanunua, kinachozingua zaid ni kodi asee wenye maeneo mjini wanatuua kwa bei kubwa
Vifaa gani na vifaa gani vinatakiwa..alafu usimamizi wake ukoje na namna yakuchaji bei ikoje..namapata kwa siku angalau nikiasi gani
 
Ajabu mada sensitive kama hizi masaa mawili post hata hazifiki 15 ila sasa mwendawazimu mmoja aanzishe uzi hapa akizungumzia ukubwa wa makalio au udogo wa maumbile ya kiume ndani ya 30minute utakuta unasoma pages 4.

Sijui Watanzania maisha tunayachukuliaje!!!
Mkuu hatari sana mwenyewe nlishaligundua hili, huwa nnaanzishaga nyuzi za mambo mazur lkn response zero
 
Bahati nzuri sana nnafanya biashara ya Car wash ila ina changamoto yake, haswa kipindi cha mvua kuna changamoto maana watu hawaoshi magar sana, pili vifaa kidogo ni ghali sema ukijipanga unanunua, kinachozingua zaid ni kodi asee wenye maeneo mjini wanatuua kwa bei kubwa

Pressure washer, vacuum cleaner na vitaulo kwaajil yakufutia magar

Mkuu kama hautajali hebu orodhesha vitu basic vya kuanzia,

Hapa namaanisha vitu muhimu kupigia kazi.
 
Kuna jirani yetu Enzi izoo alikuwa ananipa gari ya nimuoshee then he gave me buku 5 na kwa wiki maisha Mara 2, hii kazi ina pesa aisee
 
Back
Top Bottom