Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
Msomi alioanza mambo ya kujadili dini msomi mwenzako wa kikrsto Ukana Shilungo ndiyo ungemfahamisha hayo alichofanya Gavana ni kumjibu tu.
falacy of generalization!
Msomi alioanza mambo ya kujadili dini msomi mwenzako wa kikrsto Ukana Shilungo ndiyo ungemfahamisha hayo alichofanya Gavana ni kumjibu tu.
falacy of generalization!
Ritz, jitahidi kuwa straight kwa kitu unachokiamini. Uko double sided ............................!!! Zikija issue za kidini unailaumu sana serikali ya CCM na mfumo wake Kristo wakati kwenye siasa uko busy kuipigania na kuipongeza hiyohiyo serikali ya CCM ........................... au ni maslahi bisnafsi!?
Msomo mwingine huyu wa Kikrsto eti anaombewa aje kuwa rais wa Tanzania hawa ndiyo wasomi wanajisifu wana elimu, cha kushangaza anayeombewa nae ni Padre kwa nini asijiombee mwenyewe huyo anayemuombea kazi yake kupora wake za watu..
![]()
Pia anaeombewa ni mporaji mazuri tu wa wake za watu. Ndege wafananao huruka pamoja
Kuna fisadi kama Nyerere alishirikiana na Kanisa kufanya ufisadi.
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.
Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.
Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.
Ahsante.
wewe ndiyo umeanzisha haya inabidi twende kama unavyotaka ulileta mada ambazo hazina mahusiano na huu uzi jisome hapa chini.religious cooperation,sitetei au kujadili dini,lakini ni hoja zinazohusiana na dini,ambazo ni ngumu kuenganisha na dini!
Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."
Salman Rushdie
.![]()
''In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession''
soma na hiki kitabu,usiwe kama dodoki linafanya kazi ya kupokea uchafu tu,si klia literature ni ya maana.kama ni hivyo soma na hiki kitabu cha huyu jamaa ambaye anawindwa mpka leo waislamu wanataka kumwua!
NI miaka 51 sasa tangu Taifa hili lipate Uhuru. Waislamu hapa nchini wamekuwa wakiilalamikia sana Serikali kuhusu kuwepo kwa mgawanyo usio sawa katika utoaji wa elimu, madaraka na hata nafasi za ajira Serikalini. Hoja kuu ikiwa ni Wakristo kupewa upendeleo. Ufupi wa maneno wanasema kuwa nchi hii inaendeshwa namfumokristo unaowahujumu Waislamu nakuwaimarisha Wakristo.Kwakuwa ulidanganywa na Sheikh wako huko msikitini basi kwa umbumbumbu wako ukaona utuletee huu uzushi wako wa kipuuzi....haya taja ufisadi alioufanya Nyerere,usituletee porojo za mashehe wenu huko misikitini humu JF,hiki si kibaraza cha kupiga umbea au kijiwe cha kahawa na kashata.
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.
Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.
Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.
Ahsante.
Kwa faida ya JF tufahamishe wale Maskofu Kilaini na wenzake waliofanya ufisadi Kanisa limewapa hukumu gani?
simple minded always inajadili watu,asilimia 90/% watz ni simple minded, kama RITZ.Rugemalila hajadiliwi kma mtu,ila kama owner wa VIP Engeneering ,Hivyo VIP ni mtu kisheria,si Rugemalila.Du! hongera kwa kuchagua ujinga RITZ!Wewe punguani kweli huyu Rugemalila kashirikiana na Wakirsto wenzake ambao wapo serikali kufanya ufisadi wa pesa zetu, basi hata bunge nalo linafuatilia maisha binafsi ya Rugemalila, soma hii hapa chini TAKUKURU nao wanafiatilia maisha binafsi ya Rugemalira.
halafu ndiyo mnajitapa eti wasomi wa Tanzania bure kabisa.
Unakubaliana na matusi yake ya kirejareja,well placed insults kwamba hauna elimu dunia?
walikuwa wanahubiri kashfa,wanaacha kuhubiri uislamu wanahubiri kashfa.NI miaka 51 sasa tangu Taifa hili lipate Uhuru. Waislamu hapa nchini wamekuwa wakiilalamikia sana Serikali kuhusu kuwepo kwa mgawanyo usio sawa katika utoaji wa elimu, madaraka na hata nafasi za ajira Serikalini. Hoja kuu ikiwa ni Wakristo kupewa upendeleo. Ufupi wa maneno wanasema kuwa nchi hii inaendeshwa namfumokristo unaowahujumu Waislamu nakuwaimarisha Wakristo.
Kufuatia malalamiko hayo, wapo wale wa upande wa pili na hata miongoni mwa Waislamu wenyewe wamekuwa wakiwalaumu Waislamu kuwa wao kazi yao ni kulalamika tu! Pamoja na kulalamika, Waislamu wamekuwa wakijibidiisha katika kutafuta njia mbadala katika kujikwamua katika mambo mbali mbali yanayowasibu. Ndiyo, ni lazima walalamike si vyema wakafunga mdomo, ili hali wana uhakika wanafanyiwa hiyana, lakini pia kupitia kulalamika kwao wamekuwa wakianisha na kuweka wazi dhulma wanazofanyiwa kwani kupitia malalamiko hayo kunasaidia kuamsha hamasa miongoni mwao, ambao hawaelewi nini kimewafikisha katika hali walionayo.
K a t i k a m a k a l a h a y a nitajaribu kuyapima kwa uzito madai haya ya pili kwa kujadili mahusiano yaliyopo kati ya Serikali na Kanisa, hususani Kanisa Katoliki. Pamoja na utumiaji wa nguvu na makali ya sheria zilizopata kuchukuliwa na Serikali dhidi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kutokana na mapenzi ya Serikali juu ya Kanisa. Katika kitabu chake Bw. Bergen, kiitwacho Development and Religion in Tanzania, katika Ukurasa wake wa 98 mwanadishi huyo anasema:- "Catholic Missionaries came to East Africa to find not new churches, but new provinces of the Roman Church" Kwa mujibu wa tafsiri yangu "Wamishionari wa Kikatoliki hawakuja hapa Afrika ya Mashariki kwa minaajili ya kuasisi Makanisa mapya, bali walikuja kuunda majimbo mapya ya Kanisa la Roma". Ni kwamba, Tanzania (Tanganyika) ipo Afrika Mashariki, na kwa mujibu wa mwandishi Bergen, Tanzania nayo ni moja ya majimbo ya Kanisa la Roma, au kwa lugha nyepesi tuseme Tanzania ni Koloni la Vatican! Je, ni kweli Tanzania (Tanganyika) ni Koloni la Vatican? Padri. Dk. Sivalon, naye katika kitabu chake Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara (1953-1985) anaeleza bayana kuwa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Kwanza wa nchi yetu, alikuwa kiungo pekee kati ya Chama (CCM), Serikali na Kanisa Katoliki.
N a k w a m s i n g i h u o viongozi wa Kanisa wamekuja kuwa na nafasi ya pekee kuelekeza hisia, mitazamo na siasa ya Tanzania, na wamefanya hivyo wakipania pia kuwa kuhujumu Uislamu. (Msomoe Sivalon Uk. 5-6,
katika kitabu chake hicho). N a y e m w a n d i s h i Bergen katika kitabu chake a m e m n u k u u M w a l i m u Nyerere akisema kamwe hawezi kwenda kinyume na kanisa lake. (Bergen Uk. 335). Agosti 3, 1970 Mwalimu
Nyerere, alimwita Ikulu Padri Rweyemamu katika mazungumzo maalum ambapo Nyerere alimuahidi Rweyemamu kuwa, hivi sasa Kanisa ndilo lililoshika hatamu za kuongoza dola naye atahakikisha hali inaendelea kuwa hivyo. "Tanzania is not Catholic country, but Catholics is strong, I want to give the church a better chance here". Akiwa na maana kwamba:- japo "Tanzania si nchi ya Kikatoliki, lakini Ukatoliki una nguvu, hivyo nataka kulipa Kanisa nafasi ya pekee hapa nchini" (Msome, Bergen Uk. 335). Na hali hii ya Kanisa kuwa na nafasi kubwa Serikalini iko wazi.
Waandishi wote hawa wanatuthibitishia kuwa, kuna ukweli fulani kwamba yapo mafungamano ya dhati kati ya Kanisa Katoliki na Serikali ya Tanzania. Ni mafungamano hayo hayo ndiyo yameendelea kuwapa uweza viongozi wa Kanisa Katoliki kutoa maelekezo, maagizo na vilio vyao Serikalini na wakasikilizwa pamoja na kutekelezwa yale wanayoyahitaji hata kama yamelenga kuleta maafa kwa Waislamu. Mfano, mwaka 1998, Padri Lwambano, ambaye ni Paroko wa Kanisa Katoliki Mburahati Jijini Dar es Salaam, alisema kuiambia Serikali:- "Lazima Serikali ichukue hatua kali sana kwa Waislamu wanaoendesha Mihadhara, sababu ni watu wabaya kabisa, nimepita Sinza na Mwembechai, n i m e k u t a Wa i s l a m u hao wanamtukana Yesu wanasema Yesu si Mungu", alisema Paroko huyo na kuongeza; " K a m a S e r i k a l i imeshindwa kuchukua hatua kali kukomesha Mihadhara ya Waislamu na kuendelea k u t u p a k a m a t o p e k w a mgongo wa chupa, Serikali hii ijue sisi tutalishughulikia jambo hilo kwa nguvu zetu zote".
K a u l i h i i y a P a d r i Lwambano, ilirushwa hewani na Kituo cha Radio Tumaini kinachomilikiwa na Kanisa hilo hapa nchini, Februari 13, 1998. Padri Lwambano bila kujali kuwa imani yake inaamini ‘Yesu ni Mungu' na Waislamu imani yao inaamini ‘Yesu si Mungu', aliinyooshea kidole Serikali nayo ilifuata bila kujali yenyewe (Serikali) haina dini na raia wake wana dini, kwa imani tofauti.
K a t i k a u t e k e l e z a j i wa agizo hilo bila shaka k i l a m t u a n a k u m b u k a kilichotokea. Ama kwa wale ambao walikuwa ni wadogo kipindi hicho ni kwamba Jeshi la Polisi lilifika Msikiti wa Mwembechai na kuuwa Waislamu kwa risasi na kikumbukumbu ni maarufu kwa ‘Mauaji ya Mwembechai'. Kufuatia madai hayo ya Padri Lwambano, viongozi kadhaa wa nchi walifikia hatua ya kuliomba radhi Kanisa Katoliki na Wakristo kwa ujumla. Majina na vyeo vya viongozi hao wakuu wa Serikali yanafahamika.
Baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi, kazi ya kukatili maisha ya Waislamu na kubaka haki zao, kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini Polycarp Kadinali Pengo, aliipongeza Serikali kwa upande mmoja na Polisi kwa upande wa pili kufuatia mauaji hayo hayo ya Waislamu, Mwembechai. Pongezi hizo alizitoa April 12, 1998 wakati akihojiwa na kituo cha Televisheni cha Dar es Salaam (DTV). Kanisa likionekana kuuchukukia vilivyo Uislamu, liliongeza harakati za siri na za wazi na kwa kutumia nguvu za dola ili kupunguza kwa upande mwingine nguvu ya Uislamu, maana kuuzima kabisa ni jambo lisilowezekana.
Askofu Mkuu Pengo alitoa taarifa ya kuenea Uislamu hapa Tanzania huku akihitaji msaada wa hali na mali katika kuhidhibiti hali hiyo. N a k w e l i , S e r i k a l i i l i t e k e l e z a k u d h i b i t i Mihadhara na Wahadhiri, ambapo wahadhiri maarufu nchini wakiongozwa na Habib Mazinge, walitiwa
m b a r o n i n a k u t u p w a Magerezani. Aidha sehemu ya taarifa yake ilisema hivi; "Uislamu umekuwa tishio kubwa sana kwa imani ya Kikristo nchini Tanzania, iwapo mihadhara ya Waislamu itaachwa iendelee, Kanisa litegemee kukimbiwa na waumini wake na kusilimu, kwa hiyo juhudi lazima zifanywe kuzuia Mihadhara hiyo.
"Tunashindwa kujibu hoja zao Waislamu sababu zina ukweli ndani yake", maelezo haya yanapatikana katika kitabu cha Askofu Pengo kiitwacho Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwenye vijilia Sinodi ya Maaskofu wa Afrika kwa ajili ya Afrika.
WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.
Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.
Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.
Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?
Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.
Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.
Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.
Mbona mnakuwa double standard alichofanya Askofu Kilani na wenzake ndicho alichofanya Tibaijuka na kina Chenge, labda nisaidie kina Prof Muhongo na Tibaijuka walionewa.kanisa lina mfumo mzuri wa kuadhibu,haiongozwi na mihemko ya watu,ina take measures baada ya uchunguzi wa mda mrefu,inatafuta pia tatizo lingine la mhusika.Then inaadhibu,halafu hutweza kujua kuwa inahusiana na ESCROW.By then wlipewa hawakuomba. maaskofu wataendelea na kazi,mpaka Roma Vatikan itakapoona kuna
kesi,na usitegemee kesho,labda mwanao ndio atashuhudia unachotamani kuona au kusikia! pole nilikuwa sala Kompleto,ndo maana nimechelewa kukujibu!
teh teh teh hoja zimeisha unaleta viroja.Kwa hiyo wewe sasa ndio umegeuka kuwa mshauri wa waislam? au ukuda ndio unaokusumbua? Mambo ya ngoswe muachie.....
Mbona mnakuwa double standard alichofanya Askofu Kilani na wenzake ndicho alichofanya Tibaijuka na kina Chenge, labda nisaidie kina Prof Muhongo na Tibaijuka walionewa.
Mbona mnakuwa double standard alichofanya Askofu Kilani na wenzake ndicho alichofanya Tibaijuka na kina Chenge, labda nisaidie kina Prof Muhongo na Tibaijuka walionewa.