Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Shekhe Ponda ni Mrundi na si mtanzania.wageni daima wanasababisha matatizo.katika nchi mbalimbali.
  1. Adolf hitler Ujerumani.alikuwa origin ni Austria.
  2. Marie Antoniete from Viena mke wa king Luis xvi,France alimshauri mme wake vibaya,ni sababu kiasi fulani cha mapinduzi ya ufaransa,ufisadi wa king luis alihusika kiasi kikubwa,ni raia wa Austria.
  3. Shehe ponda Mrundi,anasababisha chaos Tz.Napenda kuchangia hapo kwa kuanzia.
    220px-Marie-Antoinette%3B_koningin_der_Fransen.jpg
9k=

2Q==

Ukana Shilungo,
Sheikh Ponda si Mrundi bali ni Mmanyema kutoka Kigoma.
Baba yake alishiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Uhakika wa uraia wa Sheikh Ponda unaweza kuupata kutoka
Uhamiaji.

Hiyo mifano uliyotoa hapa wala si pake.

Mapinduzi ya Ufaransa ya 1787 hayaingii kwa namna unavyotaka
kuyaingiza hapa.

Ushakisoma kitabu cha Charles Dickens, "A Tale of Two Cities?"
 
Sheikh Ponda si Mrundi bali ni Mmanyema.

Unaweza kupata uhakika kutoka Uhamiaji.
Hiyo mifano uliyotoa hapa wala si pake.

Mapinduzi ya Ufaransa ya 1787 hayaingii kwa namna unavyotaka kuyaingiza
hapa.
 
Shekhe Ponda ni Mrundi na si mtanzania.wageni daima wanasababisha matatizo.katika nchi mbalimbali.
  1. Adolf hitler Ujerumani.alikuwa origin ni Austria.
  2. Marie Antoniete from Viena mke wa king Luis xvi,France alimshauri mme wake vibaya,ni sababu kiasi fulani cha mapinduzi ya ufaransa,ufisadi wa king luis alihusika kiasi kikubwa,ni raia wa Austria.
  3. Shehe ponda Mrundi,anasababisha chaos Tz.Napenda kuchangia hapo kwa kuanzia.
    220px-Marie-Antoinette%3B_koningin_der_Fransen.jpg
9k=

2Q==

Ukana Shilungo,
Sheikh Ponda si Mrundi bali ni Mmanyema wa Kigoma

Unaweza kupata uhakika kutoka Uhamiaji.
Hiyo mifano uliyotoa hapa wala si pake.

Umesoma kitabu cha Charles Dickens, "A Tale of Two Cities?"

Mapinduzi ya Ufaransa ya 1787 hayaingii kwa namna unavyotaka
kuyaingiza hapa.
 
Muhongo,Tibaijuka ni lay men ndani ya kanisa,hivyo kanisa haliwezi kuwaingilia,ila kama wangekuwa ni wakatoliki wote,na waa abuse mafundisho ya kanisa,hasa dogma kuhusu imani na ikathibitika,wangetenwa na kupewa adhabu.wangekuwa ni waumini wa kislamu! hao wangeintwa Mhamuma!

kwa hiyo hawana cheo chochote ndani ya kanisa sio makleri! kwa hiyo usichanganye title zao.
Naona unazunguka kama nguchiro kwenye shimo.
 
Ukana Shilungo,
Sheikh Ponda si Mrundi bali ni Mmanyema kutoka Kigoma.
Baba yake alishiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Uhakika wa uraia wa Sheikh Ponda unaweza kuupata kutoka
Uhamiaji.

Hiyo mifano uliyotoa hapa wala si pake.

Mapinduzi ya Ufaransa ya 1787 hayaingii kwa namna unavyotaka
kuyaingiza hapa.

Ushakisoma kitabu cha Charles Dickens, "A Tale of Two Cities?"

logic yangu ni kuwa wageni ni chanzo cha matatizo daima.Hitler,Antoniete,na Ponda.Hata Burundi wamanyema wapo!
 
NI miaka zaidi ya 50 sasa tangu Taifa hili lipate Uhuru. Waislamu hapa nchini wamekuwa wakiilalamikia sana Serikali kuhusu kuwepo kwa mgawanyo usio sawa katika utoaji wa elimu, madaraka na hata nafasi za ajira Serikalini. Hoja kuu ikiwa ni Wakristo kupewa upendeleo. Ufupi wa maneno wanasema kuwa nchi hii inaendeshwa namfumokristo unaowahujumu Waislamu nakuwaimarisha Wakristo.

Kufuatia malalamiko hayo, wapo wale wa upande wa pili na hata miongoni mwa Waislamu wenyewe wamekuwa wakiwalaumu Waislamu kuwa wao kazi yao ni kulalamika tu! Pamoja na kulalamika, Waislamu wamekuwa wakijibidiisha katika kutafuta njia mbadala katika kujikwamua katika mambo mbali mbali yanayowasibu. Ndiyo, ni lazima walalamike si vyema wakafunga mdomo, ili hali wana uhakika wanafanyiwa hiyana, lakini pia kupitia kulalamika kwao wamekuwa wakianisha na kuweka wazi dhulma wanazofanyiwa kwani kupitia malalamiko hayo kunasaidia kuamsha hamasa miongoni mwao, ambao hawaelewi nini kimewafikisha katika hali walionayo.

K a t i k a m a k a l a h a y a nitajaribu kuyapima kwa uzito madai haya ya pili kwa kujadili mahusiano yaliyopo kati ya Serikali na Kanisa, hususani Kanisa Katoliki. Pamoja na utumiaji wa nguvu na makali ya sheria zilizopata kuchukuliwa na Serikali dhidi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kutokana na mapenzi ya Serikali juu ya Kanisa. Katika kitabu chake Bw. Bergen, kiitwacho Development and Religion in Tanzania, katika Ukurasa wake wa 98 mwanadishi huyo anasema:- “Catholic Missionaries came to East Africa to find not new churches, but new provinces of the Roman Church” Kwa mujibu wa tafsiri yangu “Wamishionari wa Kikatoliki hawakuja hapa Afrika ya Mashariki kwa minaajili ya kuasisi Makanisa mapya, bali walikuja kuunda majimbo mapya ya Kanisa la Roma”. Ni kwamba, Tanzania (Tanganyika) ipo Afrika Mashariki, na kwa mujibu wa mwandishi Bergen, Tanzania nayo ni moja ya majimbo ya Kanisa la Roma, au kwa lugha nyepesi tuseme Tanzania ni Koloni la Vatican! Je, ni kweli Tanzania (Tanganyika) ni Koloni la Vatican? Padri. Dk. Sivalon, naye katika kitabu chake Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara (1953-1985) anaeleza bayana kuwa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Kwanza wa nchi yetu, alikuwa kiungo pekee kati ya Chama (CCM), Serikali na Kanisa Katoliki.

N a k w a m s i n g i h u o viongozi wa Kanisa wamekuja kuwa na nafasi ya pekee kuelekeza hisia, mitazamo na siasa ya Tanzania, na wamefanya hivyo wakipania pia kuwa kuhujumu Uislamu. (Msomoe Sivalon Uk. 5-6,
katika kitabu chake hicho). N a y e m w a n d i s h i Bergen katika kitabu chake a m e m n u k u u M w a l i m u Nyerere akisema kamwe hawezi kwenda kinyume na kanisa lake. (Bergen Uk. 335). Agosti 3, 1970 Mwalimu
Nyerere, alimwita Ikulu Padri Rweyemamu katika mazungumzo maalum ambapo Nyerere alimuahidi Rweyemamu kuwa, hivi sasa Kanisa ndilo lililoshika hatamu za kuongoza dola naye atahakikisha hali inaendelea kuwa hivyo. “Tanzania is not Catholic country, but Catholics is strong, I want to give the church a better chance here”. Akiwa na maana kwamba:- japo “Tanzania si nchi ya Kikatoliki, lakini Ukatoliki una nguvu, hivyo nataka kulipa Kanisa nafasi ya pekee hapa nchini” (Msome, Bergen Uk. 335). Na hali hii ya Kanisa kuwa na nafasi kubwa Serikalini iko wazi.

Waandishi wote hawa wanatuthibitishia kuwa, kuna ukweli fulani kwamba yapo mafungamano ya dhati kati ya Kanisa Katoliki na Serikali ya Tanzania. Ni mafungamano hayo hayo ndiyo yameendelea kuwapa uweza viongozi wa Kanisa Katoliki kutoa maelekezo, maagizo na vilio vyao Serikalini na wakasikilizwa pamoja na kutekelezwa yale wanayoyahitaji hata kama yamelenga kuleta maafa kwa Waislamu. Mfano, mwaka 1998, Padri Lwambano, ambaye ni Paroko wa Kanisa Katoliki Mburahati Jijini Dar es Salaam, alisema kuiambia Serikali:- “Lazima Serikali ichukue hatua kali sana kwa Waislamu wanaoendesha Mihadhara, sababu ni watu wabaya kabisa, nimepita Sinza na Mwembechai, n i m e k u t a Wa i s l a m u hao wanamtukana Yesu wanasema Yesu si Mungu”, alisema Paroko huyo na kuongeza; “ K a m a S e r i k a l i imeshindwa kuchukua hatua kali kukomesha Mihadhara ya Waislamu na kuendelea k u t u p a k a m a t o p e k w a mgongo wa chupa, Serikali hii ijue sisi tutalishughulikia jambo hilo kwa nguvu zetu zote”.

K a u l i h i i y a P a d r i Lwambano, ilirushwa hewani na Kituo cha Radio Tumaini kinachomilikiwa na Kanisa hilo hapa nchini, Februari 13, 1998. Padri Lwambano bila kujali kuwa imani yake inaamini ‘Yesu ni Mungu’ na Waislamu imani yao inaamini ‘Yesu si Mungu’, aliinyooshea kidole Serikali nayo ilifuata bila kujali yenyewe (Serikali) haina dini na raia wake wana dini, kwa imani tofauti.

K a t i k a u t e k e l e z a j i wa agizo hilo bila shaka k i l a m t u a n a k u m b u k a kilichotokea. Ama kwa wale ambao walikuwa ni wadogo kipindi hicho ni kwamba Jeshi la Polisi lilifika Msikiti wa Mwembechai na kuuwa Waislamu kwa risasi na kikumbukumbu ni maarufu kwa ‘Mauaji ya Mwembechai’. Kufuatia madai hayo ya Padri Lwambano, viongozi kadhaa wa nchi walifikia hatua ya kuliomba radhi Kanisa Katoliki na Wakristo kwa ujumla. Majina na vyeo vya viongozi hao wakuu wa Serikali yanafahamika.

Baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi, kazi ya kukatili maisha ya Waislamu na kubaka haki zao, kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini Polycarp Kadinali Pengo, aliipongeza Serikali kwa upande mmoja na Polisi kwa upande wa pili kufuatia mauaji hayo hayo ya Waislamu, Mwembechai. Pongezi hizo alizitoa April 12, 1998 wakati akihojiwa na kituo cha Televisheni cha Dar es Salaam (DTV). Kanisa likionekana kuuchukukia vilivyo Uislamu, liliongeza harakati za siri na za wazi na kwa kutumia nguvu za dola ili kupunguza kwa upande mwingine nguvu ya Uislamu, maana kuuzima kabisa ni jambo lisilowezekana.

Askofu Mkuu Pengo alitoa taarifa ya kuenea Uislamu hapa Tanzania huku akihitaji msaada wa hali na mali katika kuhidhibiti hali hiyo. N a k w e l i , S e r i k a l i i l i t e k e l e z a k u d h i b i t i Mihadhara na Wahadhiri, ambapo wahadhiri maarufu nchini wakiongozwa na Habib Mazinge, walitiwa
m b a r o n i n a k u t u p w a Magerezani. Aidha sehemu ya taarifa yake ilisema hivi; “Uislamu umekuwa tishio kubwa sana kwa imani ya Kikristo nchini Tanzania, iwapo mihadhara ya Waislamu itaachwa iendelee, Kanisa litegemee kukimbiwa na waumini wake na kusilimu, kwa hiyo juhudi lazima zifanywe kuzuia Mihadhara hiyo.

“Tunashindwa kujibu hoja zao Waislamu sababu zina ukweli ndani yake”, maelezo haya yanapatikana katika kitabu cha Askofu Pengo kiitwacho Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwenye vijilia Sinodi ya Maaskofu wa Afrika kwa ajili ya Afrika.
 
Tatizo la waislamu TZ ni waislamu wenyewe yaani BAKWATA inawageuka watu iliopaswa kusimamia maslahi yao...
 
Hizo 61b hawapewi kwa ukristo wao bali kwa huduma yao kwa jamii bila ubaguzi wa kiimani, nyie mnahudumia waislam peke yao nenda mtambani, alharamaini, na pale mlogolo, mkivaa vipedo ndo mnaona mmemfurahisha mungu.

Unajua hii ishu ya Serikali kuchangia taasisi za dini haieleweki kwa watu wengi.Iko hivi Serikali inachofanya ni ku-support zile hudumu muhimu na hasa za afya zinazotolewa na taasisi za dini.Inafanya hivyo kwa sababu ya umuhimu wa huduma inayotolewa kwa wananchi wake kupitia taasisi hyo tena bila kubagua rangi,kabila wala dini.Ikumbukwe kuwa hudumu zinazotolewa na taasisi kama hizo sio za kutengeneza faida (not profit oriented).Yaani ni sawa na mtu kuwa na mtoto ambaye hana uwezo wa kumpeleka Shule anajitokeza msamalia mwema anajitolea kumpeleka Shule kwa gharama zake.Na mwenye mtoto kwa kutaka kumpa moyo yule msamalia anaji-commit kuendelea kuchangia kiasi flani ili mtoto wake aendelee na masomo.Ukweli ni kwamba kiasi kinachotolewa na Serikali kama mchango wa huduma zinazotolewa na taasisi za dini ni mdogo kulingana huduma pamoja na gharama uwekezaji na uendeshaji.Mwisho wa siku sasa lazima Kanisa lionekane linapokea fedha nyingi kwa sababu ndio wenye taasisi nyingi ukilinganisha na taasisi za dini zingine.Chukulia tu hospitali kubwa kama za KCMC,BUGANDO,SERIANI na ile ya Songea (jina limenitoka),IKONDA,ST.FRANCIS (IFAKARA).Chukulia kwa mfano kwa Tz bara tu kwa kila Wilaya kuna Hospital moja tu ya Kanisa inayopkea Ts.150m kama ruzuku ya Serikali kwa mwaka,sjui kuna Wilaya ngapi Tz bara.So kwa namna yeyote ile Serikali itaendelea kuchangia huduma zinazotolewa na Kanisa sio kwa nia mbaya bali kwa kuwathamini wananchi wake na wala sio kulifaidisha KANISA kama inavyofikiriwa na watu wengi wasiotaka kufahamu na kukubali ukweli!..
 
Ukana Shilungo,
Sheikh Ponda si Mrundi bali ni Mmanyema kutoka Kigoma.
Baba yake alishiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Uhakika wa uraia wa Sheikh Ponda unaweza kuupata kutoka
Uhamiaji.

Hiyo mifano uliyotoa hapa wala si pake.

Mapinduzi ya Ufaransa ya 1787 hayaingii kwa namna unavyotaka
kuyaingiza hapa.

Ushakisoma kitabu cha Charles Dickens, "A Tale of Two Cities?"
Majibu murua.
 
Mahakama ya kadhi inayobagua baadhi ya sharia haitakiwa kwa waislam cha msingi ni waslam kuimizana jihadi ili tuwe na serikali ya kiislam itakayo ruhusu sharia zote kutumika.
 
This is an attack against muslims.binafsi nimewakimbiza wagalatia kuanzia primary school mpaka udsm.sijaelewa mtoa mada unamaanisha waislam tuna iq ndogo aama vipi.
 
simple minded always inajadili watu,asilimia 90/% watz ni simple minded, kama RITZ.Rugemalila hajadiliwi kma mtu,ila kama owner wa VIP Engeneering ,Hivyo VIP ni mtu kisheria,si Rugemalila.Du! hongera kwa kuchagua ujinga RITZ!

Sijawahi kumwona Huyu RItz aki- argue inteligently. Yeyey ni udini, udini, udini. Anathubutu kumwita Nyerere fisadi wakati yeye ni fisadi nyangumi. Mshaurini akaongeze elimu yake maybe atabadilika. Hana tofauti kubwa na Lusinde
 
Tatizo la waislamu TZ ni waislamu wenyewe yaani BAKWATA inawageuka watu iliopaswa kusimamia maslahi yao...

Hilo lafahamika /lishafahamika dahri.

Na ufahamu tuu hiyo ni taasisi ya yule Nyerere, hivyo kwa lugha nyepesi ni moya katika vigango vya Kanisa.

Tizama pale Waislaamu wanapojitutumua kutaka kutoka hukabwa (i. e zangine zoote Serikali hujifanza ati haizifahamu) na kama yazifahamu ni katika registration /usajili pekee, ila likaja suala la kauli /maamuzi fulani hususan yale yaisemayo /yapinganayo na Serikali basi hapo hizo taasisi hazisikizwi na wa kwanza kupinga ni hao hao BAKWATA i. e kwasababu ipo/imo ndani ya mfumo.

Kiasi takuwa menifahamu japo kiduchu au sio ....!?

Waislamu twasema "DHULMA HAIDUMU NA IKIDUMU HAINUFAISHI".

Vile vile Uislaam haurukhusu KUDHULUMU, na badali /kinyume chake haukubali ...........

Lete huja nyangine tusaidizane kueka mambo wazi si wakati wa kung'ata /kufumbafumba tena.

Soote tu wapitaji tu, hivyo tutajaulizwa kunako mapito yetu.

Nikimaanisha simamia AMRI na epuka MAKATAZO.

Ahsanta na tuendeleze staha ya kujuvyana.

Nipo kipembeni hapa.
 
Ahsante mkuu...

Huwa nashangazwa Sana na hii taasisi ya BAKWATA na kujiuliza jukumu lake nini hasa...

Mbaya zaidi hawajifunzi kwa wenzao maaskofu wanapokuwa serious na wakali yanapofika maslahi ya waamini wao...

Tatizo nini kwa hawa? Si waislamu? Si werevu au wana njaa? Kwanini MTU anashindwa kutetea anachokihubiri siku zote?

Nashangaa Sana nguvu wanayoitumia BAKWATA kukwamisha mchakato huu wananufaika nini?
 
Mahakama ya kadhi inayobagua baadhi ya sharia haitakiwa kwa waislam cha msingi ni waslam kuimizana jihadi ili tuwe na serikali ya kiislam itakayo ruhusu sharia zote kutumika.

ID yako yatahadharisha wale wenye ufahamu wakuepuke mpaka pale utapokaa/ tengamaa.

Huenda wakawa wanafanza Mnaakasha na kilichokuwa-represented na hiyo yako ID kwa wengi tufahamuvyo kuwa hiyo ni nini/ kitu gani cha chafanza kazi gani.

Nami nakuepuka kwa muda.
 
Ahsante mkuu...

Huwa nashangazwa Sana na hii taasisi ya BAKWATA na kujiuliza jukumu lake nini hasa...

Mbaya zaidi hawajifunzi kwa wenzao maaskofu wanapokuwa serious na wakali yanapofika maslahi ya waamini wao...

Tatizo nini kwa hawa? Si waislamu? Si werevu au wana njaa? Kwanini MTU anashindwa kutetea anachokihubiri siku zote?

Nashangaa Sana nguvu wanayoitumia BAKWATA kukwamisha mchakato huu wananufaika nini?

Hapo jibu la moya kwa moya kama litajaniwia gumu au!?

Lakini yule Mzanaki angelitufaa /kufaa mno kwa kukugeiya majawaba...! Ila ndo keshatukwepa na ati FIKARA zake ndo hawa ma-ghost waziendeleza, daah!

Kazi nakuwatia weye sasa, popote tapomuona yeyote awaye, mwenye kumkubali yule Mzanaki Nyerere papo kwa hapo ulizo hilo lisukugeiye tabu, mgeiye hapo huenda ukafahamu uzuri.

Shukraan nami naendelea watafuta wamfahamuyo hoyo bwana Nyerere ili wanisaidie sababu za kwa nini kuwaondoshea Waislaamu wapenzi /wakarimu walompokea bila ya ajizi wala uwizi, kuwabadalishia ile EAMWS na kuwatwika Umalouni hunu tuuonao hapa na kutuekea kitahanani hiki cha "BAKWATA" ....!?

Menifahamu uzuri au mekuwata pahala ...!?
 
Back
Top Bottom