Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Unajua kama unadiriki kukataa ukweli wa wazi anaosema mwandishi ili kufurahisha nafsi haitakusaidia wewe au jamii yako. Tatizo naloona kwenye jamii ya Tanzania ya Waislam ni kwamba viongozi hawana elimu dunia kama mnavyoiita. Kupata uongozi kwenye Uislaama ni umashuhuri wa kujua kitabu chao na si elimu dunia lakini ukiangalia vizuri kuna wasomi wengi na wanaojua dini lakini sio watoa uamuzi mfano Agha Khan ni thehebu la kislam ingawa wengine hawalitambui lakini mafanikio yao yametokana na vitu viwili kuweka wasomi kwenye uongozi na pili kutokuweka chuki kwa watu wa mathehebu mengine. Agha Khan inapedwa na kila mtu sio wakisto au waislaam wana shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo na mwandishi ndiye alikuwa anasema hapa. Mimi ushauri wangu ni kutafuta uongozi wa watu wenye elimu kote ya dini na ya dunia. Kufungua shule, hospitali, bank na miradi unahitaji elimu ya dunia bila hivyo hutafanikiwa. Hiyo serekali inatoa wapi pesa? jibu ni kwenye mfumo ya elimu ya dunia kwa watu kulipa kodi hivyo kama hupendi elimu dunia ni kwanini mnaomba misaada kwenye serikali inayopata pesa kwa mfumo wa elimu ya dunia?.

Maneno yoote yamejaa nukta moja tu nayo ni ile dhana yenyu mlorithishwa nanyi mkaikazania/ kukariri kama kasuku ati "WAISLAAMU HAWATAKI KUSOMA /HAWAJASOMA".

Upotofu huo uondoeni kabisa na si kwamba hamfahamu kuwa Waislaamu wameamka laa hasha ..!

Mwajua sana na ndipo mwaanziapo kuhamaki maana ni jambo/ kitu ambacho hamkutaragi kuwa kitaja timu.

Mlitufanza ati Waislaamu siku zote au pahala popote ndani ya nchi hini ni waja/ watu wa kuwatawala na sasa mwatahayuri kuwa mbona waja kwa kasi ya ajabu inostaajabisha kiasi hiki ....!?

Shika kilma hiki "MJINGA AKIEREVUKA MWEREVU YU MASHAKANI", walaakin fahamuni kuwa Sisi/ Wazee wetu hawakuwa ati "wajinga" la! Ila ninyi kupitia yule Nyerere ndo mliwapoka /watapeli waungwana /Waislaamu na sasa zao /vizazi vya wale Wazee ndo vimetanabahika japo ni kitambo ila SHUGHULI ndo sasa imeanza.

Kwa machache yanotokana na mangi hadi hapa ntakoma.

Ahsanta na tuendelee kujifunda /kuilimishana kwa huja.

Nipo kipembeni hapa.
 
Nimeuliza, Seth ni Mkristo? Na wanae Kikwete wanaomiliki Simba Trust nao ni wakristo? Chunguza uhusiano wa Ruge na Kikwete, hawa hawajakutana barabarani kama alivyoandika binti yake Rugemarila. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo?
SETH MLA NGURUWE NA POMBE SINGASINGA HAWAAMINI KUFUFULIWA KUPO.KILEMBA KILE USIDHANI NI MWISLAM.NA AKIFA VIRUNGU KWA MUNGU!dah!KWAHIYO MWENZENU HUYO.
 
Serious? Kanisa lipi sasa? Ok, na hata 'influence' ya wenye nafasi ya kufanya hayo mabadiliko nao wameshindwa? Je issue hapo ni kujioganaizi nje ya BAKWATA, au kuifanya BAKWATA iendeshwe kwa mfumo unaokubalika na Waislamu wote? Japo kunaweza kuwa na challenge kidogo, manake Uislam nao si una A na B in terms of followers? (unisahihishe kama nimekosea).

Dina,

Hapa hutoweza kuelewa chochote.

Kitafute kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
- 1968)The Untold Story of the Muslim Struggle Against British
Colonialism in Tanganyika,"
Minerva Press, London 1998.

Sehemu ya Tatu ya kitabu inaitwa: "Conspiracy Against Islam."
Hapa ndipo kuna mengi na ukimaliza yote yanayotokea leo utayajua.

Utajua vipi Kanisa na Serikali zinavyofanya kazi kwa ushirikiano wa karibu.
Utajua kwa nini mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika hawatajwi.

Utajua kwa nini BAKWATA imesuswa na Waislam lakini Serikali haikubali
ukweli kuwa BAKWATA haimuwakilishi yeyote ila wenyewe.

Utajua, utajua, utajua...
Utajua kwa nini Wizara ya Elimu, NECTA haiwezi kuachiwa Waislam wakaingia.

Utajua kwa nini Prof. Malima hakudumu Wizara ya Elimu.
Unajua kila aliyejaribu kuleta suala la Waislam katika Bunge hakurudi bungeni?

Kitwana Kondo, Manju Msambya...
Sheikh Abubakar Mwilima
alileta suala hili Kamati Kuu ya CCM na huo ndiyo
ukawa mwisho wake...

Sheikh Hassan bin Amir na Tewa Said Tewa walitaka kujenga Chuo Kikuu mwaka
1968 kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS)...

Unaujua mwisho wao?

Mengi, mengi, mengi yatakufunukia.
Utajua ni vipi Kanisa linaweza kupewa Bilioni 91 kila mwaka na isiwe chochote.

Utajua kwa nini Sheikh Ponda alipojaribu kurejesha Wakfu (Mali ya Allah) kwa
Waislam kwa kutaka kujenga msikiti alioupa jina Masjid Hassan bin Amir
yamemkuta yaliyomfika...

Nikuulize.

Unaujua mchango wa Sheikh Hassan bin Amir katika uhuru wa Tangayika?
Unajua Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani katika kupigania uhuru wa
Tanganyika?

Unajua kwa nini Sheikh Ponda alipenda kuupa jina la ule msikiti jina la
Sheikh Hassan bin Amir?

Hata viongozi wa BAKWATA hawathubutu kulitaja jina hili na ndimi zao.
Wanaogopa kama wanavyoogopa wanasiasa wa sasa.

Unajua kuna ''Award ya Sheikh Hassan bin Amir," inatolewa kila mwaka
kwa vijana wa Kiislam masikini lakini wana uwezo mkubwa wa masomo?

Jiulize huyu Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani...?
Tumalizie hapa.
 
Ebu niambie, ni kwanini Mzee Ruksa akiwa na madaraka makubwa kabisa ya kuongoza nchi yetu, alishindwa nini kuondoa hiyo BAKWATA?

Daah! Hakika nawe mejitaahidi kufikiri kwa muda.

Hivi upo serious na ulizo lako ama waleta na jokes katika mambo ya msingi ...!?
 
Unajua kama unadiriki kukataa ukweli wa wazi anaosema mwandishi ili kufurahisha nafsi haitakusaidia wewe au jamii yako. Tatizo naloona kwenye jamii ya Tanzania ya Waislam ni kwamba viongozi hawana elimu dunia kama mnavyoiita. Kupata uongozi kwenye Uislaama ni umashuhuri wa kujua kitabu chao na si elimu dunia lakini ukiangalia vizuri kuna wasomi wengi na wanaojua dini lakini sio watoa uamuzi mfano Agha Khan ni thehebu la kislam ingawa wengine hawalitambui lakini mafanikio yao yametokana na vitu viwili kuweka wasomi kwenye uongozi na pili kutokuweka chuki kwa watu wa mathehebu mengine. Agha Khan inapedwa na kila mtu sio wakisto au waislaam wana shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo na mwandishi ndiye alikuwa anasema hapa. Mimi ushauri wangu ni kutafuta uongozi wa watu wenye elimu kote ya dini na ya dunia. Kufungua shule, hospitali, bank na miradi unahitaji elimu ya dunia bila hivyo hutafanikiwa. Hiyo serekali inatoa wapi pesa? jibu ni kwenye mfumo ya elimu ya dunia kwa watu kulipa kodi hivyo kama hupendi elimu dunia ni kwanini mnaomba misaada kwenye serikali inayopata pesa kwa mfumo wa elimu ya dunia?.
Sasa kwani msimamizi wa east africa muslim walfare society alikua nani kama si agakhan ,nyerere alipoona waislamu watapiga hatua,aliwapiga marufuku,akaondoka na nyerere akaunda bakwata iliyopokea maelekezo toka kwake.
 
kuna fisadi kama nyerere alishirikiana na kanisa kufanya ufisadi.

yule mzee katudhulumu sana,wakatoliki wanataka kumtangaza mtakatifu,nakumbuka miaka yake yote 24 kigoma aliacha sekondari moja.tulipata tabu sana mikoani. Anafika saa 12 jioni sisi tunafunga biashara na shule,vyuo tunapigwana jua kutwa mzima.
 
Weka ushahidi usilete porojo za kwenye vijiwe vya mbege.

Angalia orodha ya wana kwanya kwenye sakata la Escow ndiyo utajua wasomi wa kikrsto wa Tanzania kazi yao.

Hivi unajua Sethi aliletwa na nani bongo tena hadi magogoni?

Hivi unajua ni kiasi gani kimegawanwa pale Stanbic kwenye ile 326b ya escrow?

Hivi unajua waliogawana huo mzigo mzito ni watu wa dini gani?

Kalagabhaho...wew kazana kupigia kelele yasiokusaidia..
"Ya wazi mnayafanya siri, yaliyo siri mnayaweka hadharani" by Mpoto
 
Maneno yoote yamejaa nukta moja tu nayo ni ile dhana yenyu mlorithishwa nanyi mkaikazania/ kukariri kama kasuku ati "WAISLAAMU HAWATAKI KUSOMA /HAWAJASOMA".

Upotofu huo uondoeni kabisa na si kwamba hamfahamu kuwa Waislaamu wameamka laa hasha ..!

Mwajua sana na ndipo mwaanziapo kuhamaki maana ni jambo/ kitu ambacho hamkutaragi kuwa kitaja timu.

Mlitufanza ati Waislaamu siku zote au pahala popote ndani ya nchi hini ni waja/ watu wa kuwatawala na sasa mwatahayuri kuwa mbona waja kwa kasi ya ajabu inostaajabisha kiasi hiki ....!?

Shika kilma hiki "MJINGA AKIEREVUKA MWEREVU YU MASHAKANI", walaakin fahamuni kuwa Sisi/ Wazee wetu hawakuwa ati "wajinga" la! Ila ninyi kupitia yule Nyerere ndo mliwapoka /watapeli waungwana /Waislaamu na sasa zao /vizazi vya wale Wazee ndo vimetanabahika japo ni kitambo ila SHUGHULI ndo sasa imeanza.

Kwa machache yanotokana na mangi hadi hapa ntakoma.

Ahsanta na tuendelee kujifunda /kuilimishana kwa huja.

Nipo kipembeni hapa.
Msalimie Kahtaan!
 
Hivi unajua Sethi aliletwa na nani bongo tena hadi magogoni?

Hivi unajua ni kiasi gani kimegawanwa pale Stanbic kwenye ile 326b ya escrow?

Hivi unajua waliogawana huo mzigo mzito ni watu wa dini gani?

Kalagabhaho...wew kazana kupigia kelele yasiokusaidia..
"Ya wazi mnayafanya siri, yaliyo siri mnayaweka hadharani" by Mpoto

Seth aliletwa nani bongo?Muulize MSIGWA Seth ni nani na kazaliwa wapi?atakuambia huyo kazaliwa IRINGA na siku mojamoja anaingia kanisani.
 
Hivi unajua Sethi aliletwa na nani bongo tena hadi magogoni?

Hivi unajua ni kiasi gani kimegawanwa pale Stanbic kwenye ile 326b ya escrow?

Hivi unajua waliogawana huo mzigo mzito ni watu wa dini gani?

Kalagabhaho...wew kazana kupigia kelele yasiokusaidia..
"Ya wazi mnayafanya siri, yaliyo siri mnayaweka hadharani" by Mpoto
Usiwe punguani wewe angalia hii hapa chini wana kwaya watupu.

. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow na jinsi baadhi walivyotumia mifuko ya plastiki kuzibeba. Akisoma maoni ya kamati hiyo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe aliwataja waliochukua fedha hizo kutoka kwa mkurugenzi wa VIP, James Rugemalira na kiwango walichopokea katika mabano kuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge (Sh1.6 bilioni) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (Sh1.6 bilioni).

Wengine ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini ambaye pia ni mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (Sh40.4 milioni), aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona (Sh40.4 milioni), Mbunge mstaafu wa Sumbawanga (CCM), Paul Kimiti (Sh40.4 milioni), aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Tanesco, Dk Enos Bukuku (Sh161.7 milioni).

Alisema majaji walioingiziwa fedha ni Jaji Profesa Eudes Ruhangisa (Sh404.25 milioni) na Jaji A.K Mujulizi (Sh40.4 milioni).

Kwa upande wa watumishi wa umma, Zitto alisema kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo (Rita), Philip Saliboko (Sh40.4 milioni), aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Emmanuel Daniel Ole Naiko (Sh40.4 milioni) na ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Lucy Appollo (Sh80.8 milioni).

Askofu Kilaini atajwa

Zitto alisema, "Kwa upande wa viongozi wa dini ambao waliingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu Methodius Kilaini (Sh80.9 milioni), Askofu Eusebius Nzigirwa (Sh40.4 milioni) na Padri Alphonce Twimannye Simon (Sh40.4 milioni).

Aliongeza, "Kamati ya PAC ilithibitishiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru kuwa baadhi ya watu walienda kugawana fedha kwenye benki tajwa (Mkombozi) wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, maboksi, magunia na lumbesa."

Mkurugenzi Rugemalira

Zitto alisema Mkurugenzi Mtendaji wa VIP Engeneering, James Rugemalira alipata mgawo wa Dola za Marekani Sh75 milioni kutoka katika fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow na kuzigawa kwa watu mbalimbali.

Rugemalira ambaye alikuwa na hisa 3 kati ya 10 za kampuni ya IPTL, alichukua kiasi hicho cha fedha na kukipeleka katika Benki ya Mkombozi inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.

Zitto alisema Rugemalira alionekana kuhusika na IPTL pale alipofungua shauri mahakamani kuomba kuiondoa IPTL kwenye ufilisi na kisha kuuza hisa zake kwa kampuni ya PAP.
 
Ebu niambie, ni kwanini Mzee Ruksa akiwa na madaraka makubwa kabisa ya kuongoza nchi yetu, alishindwa nini kuondoa hiyo BAKWATA?

Patience96,
Ninaposoma maswali kama haya ndipo ninapozidi kuamini kuwa watu wetu
wengi sana hawana ujuzi wa mambo haya na kuna umuhimu mkubwa sana
wa kuelimishana.

Tatizo hili si la kuondolewa kama unavyoondoa kitu juu ya meza.
Wala si tatizo la Rais aliye madarakani kulishughulikia.

Hili ni tatizo sawa na lile la Rwanda ambako kuna jamii ya Watusi mabwana
na Wahutu watwana.

Limeshahabiana sana.
Tatizo hili litaondoka kwa sisi wenyewe kwanza kukubali kuwa lipo tatizo.

Hapa kwetu bado hatujafika hatua hiyo.

Waislam wametembea nchi nzima wakifanya mikutano kutahadharisha
kuhusu Mfumokristo.

Serikali imekuwa kimya.

Waislam wameandamana kuhusu Ndalichako na NECTA wakilalamika kuwa
Baraza la Mitihani Tanzania linahujumu wanafunzi wa Kiislam na upo ushahidi.

Serikali imekuwa kimya.
BAKWATA ipo lakini matatizo yote haya ya Waislam...

BAKWATA iko kimya kama ilivyokuwa kimya serikali.
Mfumokristo hauwezi kufanya kazi kama BAKWATA itakuwa haipo.
 
Hebu nikuulize,tufanye wewe ni mwananchi wa kawaida,na ni roman catholic,tufanye roman catolic wanamiliki hospitali ya rufaa ya bugando,na pia bank mashuhuri ya mkombozi,na shule 100 za santa maria.
sasa,labda huwa unapata gawio kiasi gani kila mwaka,?,pale bugando una kadi labda ukifika unaonyesha wanakutibu bure?.
kule santa mary una watoto wanasoma free of charge tofauti na sisi ambao lazima tulipe fees?
Mkuu huyu msomi aliyevaa msalaba shingoni huku anakunywa bia ni nani.

3.JPG
 
Duuhh kuna watu ni wadini mpaka noma...... wanatamani dunia nzima waishi peke yao
bora Mungu ametufanya tunazaliwa wote sawa ingekuwa kila dini wanazaliwa rangi yao ingekuwa tabu sana
 
wewe nilishasema iq yako iko chini mno unafuatilia maisha binafsi ya Rugemalila? simple minded person!
Wewe punguani kweli huyu Rugemalila kashirikiana na Wakirsto wenzake ambao wapo serikali kufanya ufisadi wa pesa zetu, basi hata bunge nalo linafuatilia maisha binafsi ya Rugemalila, soma hii hapa chini TAKUKURU nao wanafiatilia maisha binafsi ya Rugemalira.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania – TAKUKURU, leo imewafikisha katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watumishi wawili waaandamizi wa umma kwa tuhuma za kuhusika na rushwa katika sakata la Escrow.

Hotmix%201401.JPG
Watuhumiwa wakifikishwa mahakamani
​

Watuhumiwa hao ni pamoja na aliyekuwa Bw. Teophil John, ambaye ni Mhandisi Mwandamizi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini - REA, anayetuhumiwa kupokea fedha za Tanzania shilingi milioni 161.4 kutoka kwa mfanyabiashara Bw. James Rugemarila, fedha zinazodaiwa kuwa zilitolewa katika mazingira ya rushwa.
Mtuhumiwa mwingine ni Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Rugonzibwa Teophil ambaye kwa mujibu wa hati ya mashtaka, yeye anatuhumiwa kupokea fedha shilingi milioni 323, kutoka kwa Bw. Rugemarila pia katika mazingira yanayodhaniwa kuwa ni ya rushwa.
Katika kesi inayomkabili Bw. John, mwendesha mashtaka wa TAKUKURU Bw. Leonard Swai amedai mtuhumiwa akiwa kama mtumishi wa umma, alipokea fedha hizo kupitia akaunti aliyoifungua kwenye benki ya Mkombozi iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo Hakimu anayesimamia kesi hiyo, Frank Moshi, amemwachia mtuhumiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili wanye fedha za Tanzania shilingi milioni 25 kila mmoja.
Aidha, katika shtaka linamkabili Bw. Rugonzibwa, Hakimu Mfawidhi Bw. Emilius Mchauru amemtaka mtuhumiwa huyo kuwa na mali isiyohamishika yenye thamani sawa na nusu ya kiasi cha pesa alichokipokea, pamoja na wadhamini wawili ambao kila mmoja atawasilisha mahakamani hapo fedha za Tanzania shilingi milioni kumi.
Watuhumiwa wote wametimiza masharti na sasa wapo nje kwa dhamana ambapo kesi inayomkabili John itatajwa tena Januari 29 mwaka huu wakati Rugonzibwa ametakiwa afike mahakamani hapo keshokutwa Ijumaa ambapo kesi yake itatajwa tena pamoja na kupitia kuona iwapo vielelezo vya dhamana vinakidhi mahitaji ya mahakama.

halafu ndiyo mnajitapa eti wasomi wa Tanzania bure kabisa.
 
Dina,

Hapa hutoweza kuelewa chochote.

Kitafute kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
- 1968)The Untold Story of the Muslim Struggle Against British
Colonialism in Tanganyika,"
Minerva Press, London 1998.

Sehemu ya Tatu ya kitabu inaitwa: "Conspiracy Against Islam."
Hapa ndipo kuna mengi na ukimaliza yote yanayotokea leo utayajua.

Utajua vipi Kanisa na Serikali zinavyofanya kazi kwa ushirikiano wa karibu.
Utajua kwa nini mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika hawatajwi.

Utajua kwa nini BAKWATA imesuswa na Waislam lakini Serikali haikubali
ukweli kuwa BAKWATA haimuwakilishi yeyote ila wenyewe.

Utajua, utajua, utajua...
Utajua kwa nini Wizara ya Elimu, NECTA haiwezi kuachiwa Waislam wakaingia.

Utajua kwa nini Prof. Malima hakudumu Wizara ya Elimu.
Unajua kila aliyejaribu kuleta suala la Waislam katika Bunge hakurudi bungeni?

Kitwana Kondo, Manju Msambya...
Sheikh Abubakar Mwilima
alileta suala hili Kamati Kuu ya CCM na huo ndiyo
ukawa mwisho wake...

Sheikh Hassan bin Amir na Tewa Said Tewa walitaka kujenga Chuo Kikuu mwaka
1968 kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS)...

Unaujua mwisho wao?

Mengi, mengi, mengi yatakufunukia.
Utajua ni vipi Kanisa linaweza kupewa Bilioni 91 kila mwaka na isiwe chochote.

Utajua kwa nini Sheikh Ponda alipojaribu kurejesha Wakfu (Mali ya Allah) kwa
Waislam kwa kutaka kujenga msikiti alioupa jina Masjid Hassan bin Amir
yamemkuta yaliyomfika...

Nikuulize.

Unaujua mchango wa Sheikh Hassan bin Amir katika uhuru wa Tangayika?
Unajua Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani katika kupigania uhuru wa
Tanganyika?

Unajua kwa nini Sheikh Ponda alipenda kuupa jina la ule msikiti jina la
Sheikh Hassan bin Amir?

Hata viongozi wa BAKWATA hawathubutu kulitaja jina hili na ndimi zao.
Wanaogopa kama wanavyoogopa wanasiasa wa sasa.

Unajua kuna ''Award ya Sheikh Hassan bin Amir," inatolewa kila mwaka
kwa vijana wa Kiislam masikini lakini wana uwezo mkubwa wa masomo?

Jiulize huyu Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani...?
Tumalizie hapa.

Shekhe Ponda ni Mrundi na si mtanzania.wageni daima wanasababisha matatizo.katika nchi mbalimbali.
  1. Adolf hitler Ujerumani.alikuwa origin ni Austria.
  2. Marie Antoniete from Viena mke wa king Luis xvi,France alimshauri mme wake vibaya,ni sababu kiasi fulani cha mapinduzi ya ufaransa,ufisadi wa king luis alihusika kiasi kikubwa,ni raia wa Austria.
  3. Shehe ponda Mrundi,anasababisha chaos Tz.Napenda kuchangia hapo kwa kuanzia.
    220px-Marie-Antoinette%3B_koningin_der_Fransen.jpg
9k=

2Q==
 
Sasa utajuaje kama sianzii mwanzo,ni kuwa East Africa Muslim Welfare society,ilikua iko sponsered na aga khan,na ilikua na mashule na miradi kibao kwa wakati huo kama nilivyokuwekea,sasa ukitaka nikutajie sijui upanga islamic primary school,ama mzizima secondary school utanifanyisha kazi bila malipo,tafuta kumbukumbu ya shule za islamic zilizotaifishwa na azimio la arusha ukizipata ndo hizo,
nyerere bado ya kuona waislamu wananufaika sana na East africa muslim welfare society akaipiga ban na kuanzisha bakwata,ambayo badala ya kuendeleza walipoishia hao society.waka dolola.
mpaka kipindi cha mzee ruxa ndipo mashirika mengine ya kiislamu yalipoanzishwa na kuanza kuendeleza miradi tofauti na wakati ikiwepo bakwata.

Hakuna shule aliyonyanganywa muislamu ,muarabu alileta quran na minazi akuleta elimu...Hizo shule unazotaja ni za agha khan sasa kama wewe unakubali agha khan ni waislamu basi wewe utakuwa answar sunna mstaarabu sana, maana wahabi wenzio ata wasunni wasiovaa pedo wanawaita makafiri.

Ok tukirejea kwenye topic izo shule za agha khan baadhi ni kweli zilitaifishwa na serikali kama zilivotaifishwa za kikristo lengo ni kuwapa nafasi waislamu nao kupata elimu kama wakristo na wahindi, na nyingi zimesharudishwa kwa wenyewe kama chache za kanisa zilivyorejeshwa. Na wakawekeana MOU ya kutoa huduma ya pamoja na kutonyang'anywa tena na serikali,kati ya aghakhan tahasisi za kikristo na government ya Tanzania.

Kitu kimoja nimefurahi umegusia agha khan,kiukweli tahasisi nyingine za kiislam kama jukimi,bakwata,Islamic foundation,shura,barukta zingekuwa zinafanya mambo yao kwa mfano wa aghakan ata tusingesikia malalamiko,stress na frustrations kila siku. Lakini badala yake mnawaita sio waislamu ila nyinyi walalamishi ndio waislamu.

Iko wapi Islamic foundation? Muslim university ata TCU hawaitambui haijafikia kuitwa chuo. Darlul arqam zimekufa zote, radio imaan ni mswiba.
 
Msomi mwingine huyu wa Kikrsto eti anaombewa aje kuwa rais wa Tanzania hawa ndiyo wasomi wanajisifu wana elimu, cha kushangaza anayeombewa nae ni Padre kwa nini asijiombee mwenyewe huyo anayemuombea kazi yake kupora wake za watu..

10675702_10152943439914339_199039496563984524_n.jpg
 
Back
Top Bottom