Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Elimu dunia mnayo sawa, lakini dhumuni lake kubwa ni kutudidimiza katika dimbwi la umasikini, wagalatia kama mnavyodai mmesoma na mpo wengi serikalini lakini miaka zaidi ya 50 mmefanya nini la maana? MoU inawaingizia zaidi ya 60bil kila mwaka mbona hamji hapa kukataa zisipelekwe kwenye majumba yenu ya masanamu? acha ujinga wewe shwaini
 
Unajua kujenga hoja kuwa hili la dini halihusu sisi wakristo ni hoja unayotokana na chuki zaidi na kukosa uvumilivu miongoni mwa wakristo.
Hapa tunazungumzia mambo ya sheria. Ni sheria zinazohusu jamii , zinahusu ndoa na mirathi na watoto.
Serikali imetunga sheria ya ndoa ya 72 ambayo ndani yake inatambua ndoa zinazo fungwa na waislam na wengine. Na ndoa hizi pia lazima zisajiliwe na serikali na wafungishaji wakiwa ni masheikh au mapadre lazima wawe na leseni ya kufanya hivyo.
Hivyo serikali ina husika moja kwa moja katika masuala haya.
Kama serikali haihusiki jee kuna umuhimu gani kutunga sheria ya ndoa ?
Si tungesema ndoa ni mambo ya binafsi na dini muoane huko huko na muachane huko huko na mukidhu lumiana basi huko kanisani au msikitini muamue mambo yenu.
Imetunga sheria za ndoa na watoto kwa sababu inajua wajibu wake katika kulinda haki kwa raia wake na pia inazusimamia sheria hizi.
Waislam wana sheria zao za ndoa na wana taratibu zao za mirathi na watoto.sheria hizi kwa upande mmoja zinatambuliwa na serikali lakini mara nyingi zimekuwa zikipindwa na mahakimu.

Hivyo waislam wamekuja na hoja kuitaka serikali iandae utsratibu mzuri zaidi wa kuona jamii ya waislam wanapata haki za kisheria kuhusu mambo haya kwa utaratibu wenye kueleweka badala ya ilivo sasa .
Waislam wamekuja na wazo la kuwapo na mahakama ya kadhi.
Lengo kuu ni kuona jamii ina utengamano.
Ni simple kuwa waislam wapo wengi ni jamii kubwa na ina matatizo makubwa kuhusu haki za watoto .
Nani anapaswa kulea watoto ndoa inapo vunjika
Nani ana jukumu la kugawa mali aloacha marehemu
Visa vya mashemeji kufukuza wake za marehemu zipi katika jamii nzima ya Watanzania.serikali inazo sheria zake ambazo za kujichanganya kwani mara nyungi shria na mila za kikabila hufatwa.
Hapa ndipo waislam wanasema aah sisi tuna sheria zetu kuhusu haya zutambueni zitungueni sheria ili tupunguze haya matatizo katika jamii.

Si chochote zaidi ya kuitaka serikali kutimiza wajibu wake kuina jamii hii inapata haki kwa mujibu wa taratibu zao.
Lakini wenzetu wamekosa uvumilivu. Wanasema hawezi kuchangia kodi zao kulipa mahakimmu wa kadhi
Pia wanasema serikali haina dini.
Lakini waislam wao wanajua kuwa taasisi za makanisa ndio wanapatiwa misamaha mikubwa ya kodi
Pia fedha ambazo wanapewa kama misaada na serikali ni nyingi mno humo zimo kodi zangu pia. Wala mimi sifaidiki lolote na misamaha hio na fedha wana zopewa.
Wala hakuna muislam mwengine anaefaidi.
Iliwa hospital ni kcmc au bugando wote wanatoa huduma kwa fedha nyingi tu. Kama huna pesa utajifia nyumbani lakini hawakuchukui bure hata siku mojam ni huduma tunazo lipia.
Lakini waislam tuna vumilia hatufanyi chuki na mapesa ya bajeti zina hongwa makanisa.
Jee ni fedha ngapi zinakwenda kwa hospital nyengine? Mfani Agha khan na TMJ ? Hakuna.
Kwanini hizo pesa serikali wasiimarishe hospital zao mikoani? Kwanini wawape makanisa ? Ukweli hakuna sababu ya kufanya hivyo . Hizo pesa zingeimarisha muhimbili temeke na nyengine.
Sisi juu ya kuona hakuna umuhimu wa kupewa msaada huu kutoka kodi zetu lakini tuma vumilia hatusemi kwa nini serikali inamlipa dokta wa hospital ya kikrsto.
Lakini wenzetu kumlipa hakimu anaeleta utengano katika jamii wanasema NO kwa kodi yangu.
Jee umefika wakati sasa kwa serikali kuwa wazi kila mwaka kuainisha pesa ambazo zinatoa kwa taasisi za dini kila mwaka?
Mie nadhani wakati umefika kila senti inayo tika kwenda taasisi za dini ijulikane.
Kama kuna ulazimu wa kusaidia basi umefika wakatu misaada hio iwe sawa kwa sawa kusiwe na ubaguzi kama wakristo wanapewa 5 iwe hivo kwa waislam
Uwazi unahitajika kuhusu pesa zetu kwenda makanisani.
 
waislam wengi ni wajinga sana kwanza hawana elimu dunia kama post inavyosema ukibishana nao utaumia manake wanafikiri wanajua sana kumbe pumba tu
chukueni ushauri wa bure huo hata mimi nisingewashauri kiasi hicho kwa sababu kwanza mnachukiana wenyewe kwa wenyewe na hiyo ni dalili tosha mna upungufu mkubwa wa elimu,,,,BETTER DIE TRYING!!!
 
Nina maana ya kuwa elimu itakayomfaa mtu yeyote bila kujali dini, au hata kama hana dini. Elimu dunia ni elimu inayotolewa na shule zote. Kinyume chake labda ingekuwa elimu ahera, ile inayokazia madrasa tu- Qura'an, biblia tu n.k.,

Are you serious? Unawashauri Waislamu wawekeze ZAIDIkwenye ELIMU DUNIA badala ya ELIMU AHERA?

Wewe utakuwa hujaisoma Qur'an tukufu na Pia hujui mafundisho/hadithi za Mtume Mohammed SAW.

Nenda kajipange upya.
 
Labda tusaidie kwenye mauaji ya Rwanda kwa nini Maaskofu wamefungwa na Kanisa Katoliki likaomba msamaha kwa nini Masheikh hawamo?

Kwahiyo Viongozi wa dini walihamasisha mauaji dhidi ya Wanyarwanda wa imani ipi?Kumbuka nchi kama Rwanda, Kenya, Zimbabwe kuna ukabila sana.Civil war nchini Rwanda ilichochewa na ukabila,hata viongozi wa udini walishindwa kujinasua ktk huu mtego wa ukabila,Ila ni viongozi wachache sana wa kiimani walishiriki,Wengi walipinga na mifano mingi tu ipo.
 
waislam wengi ni wajinga sana kwanza hawana elimu dunia kama post inavyosema ukibishana nao utaumia manake wanafikiri wanajua sana kumbe pumba tu
chukueni ushauri wa bure huo hata mimi nisingewashauri kiasi hicho kwa sababu kwanza mnachukiana wenyewe kwa wenyewe na hiyo ni dalili tosha mna upungufu mkubwa wa elimu,,,,BETTER DIE TRYING!!!

Hivi nyie mnapenda wenyewe kwa wenyewe? ushawahi sikia gwajima akimsifu kakobe, lusekelo au wale wezi wengine kama george david na mwingira? haijawahi tokea na haitotokea, kwa hiyo mambo yasiyokuhusu achana nayo, kakojoe ukalale
 
WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Mkuu
Umezungumza kweli, wasiwasi wangu usiwe umempigia mbuzi gitaa ukasubiri achezee.
Samahani kwa kutumia mfano wambuzi kwani kwa kitambo tumejitahidi kutumia lugha ya diplomasia lakini sasa nadhani tunaelekea pahala pa kuambiana waziwazi.
 
Waislam wanaamini Ukihukumiwa na Mahakama ya kadhi(sheria asilia za kiarabu) unakwenda peponi

Acha uongo ww, kama mwanasheria mkuu amekiri itapunguza kesi nying sn zilizomahakaman, mm nafikir kama hujui kitu bora ukae kimya tu
 
Unajua kujenga hoja kuwa hili la dini halihusu sisi wakristo ni hoja unayotokana na chuki zaidi na kukosa uvumilivu miongoni mwa wakristo.
Hapa tunazungumzia mambo ya sheria. Ni sheria zinazohusu jamii , zinahusu ndoa na mirathi na watoto.
Serikali imetunga sheria ya ndoa ya 72 ambayo ndani yake inatambua ndoa zinazo fungwa na waislam na wengine. Na ndoa hizi pia lazima zisajiliwe na serikali na wafungishaji wakiwa ni masheikh au mapadre lazima wawe na leseni ya kufanya hivyo.
Hivyo serikali ina husika moja kwa moja katika masuala haya.
Kama serikali haihusiki jee kuna umuhimu gani kutunga sheria ya ndoa ?
Si tungesema ndoa ni mambo ya binafsi na dini muoane huko huko na muachane huko huko na mukidhu lumiana basi huko kanisani au msikitini muamue mambo yenu.
Imetunga sheria za ndoa na watoto kwa sababu inajua wajibu wake katika kulinda haki kwa raia wake na pia inazusimamia sheria hizi.
Waislam wana sheria zao za ndoa na wana taratibu zao za mirathi na watoto.sheria hizi kwa upande mmoja zinatambuliwa na serikali lakini mara nyingi zimekuwa zikipindwa na mahakimu.

Hivyo waislam wamekuja na hoja kuitaka serikali iandae utsratibu mzuri zaidi wa kuona jamii ya waislam wanapata haki za kisheria kuhusu mambo haya kwa utaratibu wenye kueleweka badala ya ilivo sasa .
Waislam wamekuja na wazo la kuwapo na mahakama ya kadhi.
Lengo kuu ni kuona jamii ina utengamano.
Ni simple kuwa waislam wapo wengi ni jamii kubwa na ina matatizo makubwa kuhusu haki za watoto .
Nani anapaswa kulea watoto ndoa inapo vunjika
Nani ana jukumu la kugawa mali aloacha marehemu
Visa vya mashemeji kufukuza wake za marehemu zipi katika jamii nzima ya Watanzania.serikali inazo sheria zake ambazo za kujichanganya kwani mara nyungi shria na mila za kikabila hufatwa.
Hapa ndipo waislam wanasema aah sisi tuna sheria zetu kuhusu haya zutambueni zitungueni sheria ili tupunguze haya matatizo katika jamii.

Si chochote zaidi ya kuitaka serikali kutimiza wajibu wake kuina jamii hii inapata haki kwa mujibu wa taratibu zao.
Lakini wenzetu wamekosa uvumilivu. Wanasema hawezi kuchangia kodi zao kulipa mahakimmu wa kadhi
Pia wanasema serikali haina dini.
Lakini waislam wao wanajua kuwa taasisi za makanisa ndio wanapatiwa misamaha mikubwa ya kodi
Pia fedha ambazo wanapewa kama misaada na serikali ni nyingi mno humo zimo kodi zangu pia. Wala mimi sifaidiki lolote na misamaha hio na fedha wana zopewa.

Wala hakuna muislam mwengine anaefaidi.
Iliwa hospital ni kcmc au bugando wote wanatoa huduma kwa fedha nyingi tu. Kama huna pesa utajifia nyumbani lakini hawakuchukui bure hata siku mojam ni huduma tunazo lipia.
Lakini waislam tuna vumilia hatufanyi chuki na mapesa ya bajeti zina hongwa makanisa.
Jee ni fedha ngapi zinakwenda kwa hospital nyengine? Mfani Agha khan na TMJ ? Hakuna.
Kwanini hizo pesa serikali wasiimarishe hospital zao mikoani? Kwanini wawape makanisa ? Ukweli hakuna sababu ya kufanya hivyo . Hizo pesa zingeimarisha muhimbili temeke na nyengine.
Sisi juu ya kuona hakuna umuhimu wa kupewa msaada huu kutoka kodi zetu lakini tuma vumilia hatusemi kwa nini serikali inamlipa dokta wa hospital ya kikrsto.
Lakini wenzetu kumlipa hakimu anaeleta utengano katika jamii wanasema NO kwa kodi yangu.
Jee umefika wakati sasa kwa serikali kuwa wazi kila mwaka kuainisha pesa ambazo zinatoa kwa taasisi za dini kila mwaka?
Mie nadhani wakati umefika kila senti inayo tika kwenda taasisi za dini ijulikane.
Kama kuna ulazimu wa kusaidia basi umefika wakatu misaada hio iwe sawa kwa sawa kusiwe na ubaguzi kama wakristo wanapewa 5 iwe hivo kwa waislam
Uwazi unahitajika kuhusu pesa zetu kwenda makanisani.

Tataizo nyinyi waislamu hata kama kweli mnataka mahakama ya kadhi, lakini mnajenga HOJA zenu kwenye misingi ya UONGO, ULAGHAI na UCHOCHEZI.

Kiongozi yeyote yule MAKINI hata awe mwislamu mwenzenu hawezi kuwachukulia serious.

Kama hapo nilipo BOLD are you serious Waislamu hamfaidiki kwa chochote kutoka Taasisi za Kikirsto eg Mahospitali, mashule etc zinazopewa ruzuku na serikali.

Believe me, hata Kikwete akisikia statement za aina hiyo atawapuuza kwasababu yeye mwenye ni MFAIDIKA mkubwa wa shule za Kikiristu. Bila kusoma kwenye shule hizo wala asingeota kuwa Rais wa JMT achilia mbali kuwa mbunge wa Chalinze.

BOLD ya pili, una uhakika kweli Agha Khan na TMJ hawapati ruzuku kutoka serikalini?!. Usiifananishe Agha Khan na BAKWATA they are not STUPID like that.

Jamani mnapodai kitu pia fanyeni UTAFITI wa kutosha kuhusu kitu hicho mnachodai

Hiyo Muhimbili ambayo inapata ruzuku ya serikali kwa 100% matibabu yake ni bure?

Iweje sasa udai Bugando ambayo haipati ruzuku 100% kutoka serikalini itoe huduma kwa bei nafuu zaidi ya Muhimbili ambayo inapata ruzuku ya 100%

Hivi kweli nyinyi waislamu (baadhi) mna AKILI kweli?
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Ritz, jitahidi kuwa straight kwa kitu unachokiamini. Uko double sided ............................!!! Zikija issue za kidini unailaumu sana serikali ya CCM na mfumo wake Kristo wakati kwenye siasa uko busy kuipigania na kuipongeza hiyohiyo serikali ya CCM ........................... au ni maslahi bisnafsi!?
 
Siwez pingana na iman ya mtu kila mtu anaiman yake na kila mtu anaamin kile alichoamin, mm naona wengi wao wanaongea kwasababu ya hawajui,
Kama unasema yapo mambo mengi ya kitaifa ya muhim bac na hili ni lamuhim sn,
Naona mnalopoka tu na wengi wao ni wakristo hapa hawajui hat chochote mbona sisi hatuingilii biblia zenu zinavyosema,
Maana mahakama ya kadhi iko kwa mujibu ya Qur-an takatifu ndo tunachokiamin hiko,
Mbona Kenya ipo kenya na hakuna malumbano, mbona Zanzibar ipo?. Kuna wakristo na waislam na tangu ianzishwe hakuna malumbano?
Hapa Tz bara ni nn shida, pia kama mwanasheria mkuu amesema itaipunguzia serikal kesi nyingi zilizokuwa mahakaman hazina kichwa wala miguu sasa nyie ni nn kinawauma?
Mahakama ya kadhi ya kutatua masuala muhim ya kiisalam,.mtu akiiba atapelekwa mahaka ya kawaida sisi mi ndoa na mirathi tu nyie wakristo inawauma nn?
Mbona nyie mnaendeshwa kwa iman yenu kama biblia yenu inavyowataka mbona waislam hawaingilii iman zenu?
Ndo maana nikasema mtu kama hunaelim au ufaham ktk din ya mwenzao kaa kimya kama mm nisivyoijua biblia nitakaa kimya wala sitoongea coz cjui Biblia.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.
Ni kweli kabisa Mkuu Ritz uliyosema kwasababu Professor kikwete ni Mkristo na ni muhusika mkuu wa Escrow hata Haibinder sain seth ni Mkristo
 
Last edited by a moderator:
mimi ni muislam mwenye akil timam na kwa bakht nzuli nimexema vyote vyote ila zaidi nimebez kwenye sexular nionavyo mimi mahakama hii haihitajiki kwa waisilam wa tanzania ila waislam wa dunia wanaihitaji hapa tanzania kuna Taasisi moja ya TISS Iloundwa Na Kubwa La Maadui Mzee Kambarage Akishirikiana Na Bw.Adam Juma Ndugu Yake Kutoka Musoma Taasisi Hi Kazi Yake Ilikuwa Kuudhofisha Uislam Na Waisilamu Sasa Len Hii Eti (BAKWATA) taasisi hii imekuwa na uchungu na waislamu na kuwapigania? NANI KASEMA TUNATAKA KADHI WAPELEKEN WATU SHULE TANGA,MTWARA,LINDI,PWANI,MORO.Neneni Shule Achaneni Na BAKWATA.

Iko Mijitu Inakuja Hapa Kukashfu Na Kutukana Kabisa Mimi Nasema Kama Mna Akili Msiwajibu Kama Mko Kama Wao Endeleen
 
sasa utalitofautisha vipi kanisa na escrow??

Ha ha ha ha

pale kila mwenye macho haambiwi tazama

hadi maaskofu ndani???

Hadi bank za kanisa ndani???

Teh teh teh

wakiulizwa eti wanasema zile ni fedha za matoleoo,,duuuh,,allahu akbar...!
haa haa mkuu kwani askofu ndo kanisa? Je kwa vile rostam azizi amefisadi na uislamu umefisidi? Tusiweke ushabiki katika mambo yasiyohitaji ushabiki.
 
Elimu dunia mnayo sawa, lakini dhumuni lake kubwa ni kutudidimiza katika dimbwi la umasikini, wagalatia kama mnavyodai mmesoma na mpo wengi serikalini lakini miaka zaidi ya 50 mmefanya nini la maana? MoU inawaingizia zaidi ya 60bil kila mwaka mbona hamji hapa kukataa zisipelekwe kwenye majumba yenu ya masanamu? acha ujinga wewe shwaini

Rais wa tanzania ni muislamu, makamu wa rais muislamu, rais wa zanzibar muislamu, makamu wa kwanza na wa pili ni muislamu, wazir wa ulinzi muislamu, waziri wa fedha muislamu, waziri wa elimu muislamu. Bado mnalalamika tu? Kweli magaidi ni magaidi tu.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Raisi wa nchi na makamu wake ni waislam, naona kama vile unawatukana live.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Hoja dhaifu kwenye ushauri mzito, hivi pale KCMC au Bugando waislam hawapewi matibabu?
 
Tataizo nyinyi waislamu hata kama kweli mnataka mahakama ya kadhi, lakini mnajenga HOJA zenu kwenye misingi ya UONGO, ULAGHAI na UCHOCHEZI.

Kiongozi yeyote yule MAKINI hata awe mwislamu mwenzenu hawezi kuwachukulia serious.

Kama hapo nilipo BOLD are you serious Waislamu hamfaidiki kwa chochote kutoka Taasisi za Kikirsto eg Mahospitali, mashule etc zinazopewa ruzuku na serikali.

Believe me, hata Kikwete akisikia statement za aina hiyo atawapuuza kwasababu yeye mwenye ni MFAIDIKA mkubwa wa shule za Kikiristu. Bila kusoma kwenye shule hizo wala asingeota kuwa Rais wa JMT achilia mbali kuwa mbunge wa Chalinze.

BOLD ya pili, una uhakika kweli Agha Khan na TMJ hawapati ruzuku kutoka serikalini?!. Usiifananishe Agha Khan na BAKWATA they are not STUPID like that.

Jamani mnapodai kitu pia fanyeni UTAFITI wa kutosha kuhusu kitu hicho mnachodai

Hiyo Muhimbili ambayo inapata ruzuku ya serikali kwa 100% matibabu yake ni bure?

Iweje sasa udai Bugando ambayo haipati ruzuku 100% kutoka serikalini itoe huduma kwa bei nafuu zaidi ya Muhimbili ambayo inapata ruzuku ya 100%

Hivi kweli nyinyi waislamu (baadhi) mna AKILI kweli?
Hizo hospitali zipo kufanya biashara zaid na faida inaenda kanisani na kuimarisha ukristo kwa propaganda .
Hizo huduma zikiimarishwa za serikali tutapata elimu huko na matibabu huko
Kwa nini tutenge bajeti kusaidia promotion ya dini? Muzichangie wenyewe na wateja watakuja kulipa. Serikali wasaidie zao tupate nafuu kwani ikipatikana faida ni ys wote .
Kikwete kusoma huko na kujisifia ni siasa tu za kukuvungeni. Anajua fika angetumia jina lake halisi asingefika huko .
Hapa hoja ni usawa kama serikali ina honga kodi zetu kwa taasisi za dini basi kusiwe na upendeleo.
Usawa unatakiwa
Bakwata ni moja ya taasisi inayo husu kanisa tu wala halitushughulishi
Sasa ni no kwa kodi zetu kwenda kuimarisha msalaba
Hadi mutapo jifunza kuwa na ubumilivu
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.
Kwa akili yangu ndogo ni kwambwa unaniaminisha mimi mwiisilamu na wengine kuwa tutaweza kujazana kwenye ofisi za Serikali na kwingineko tukiletewa Mahakama ya kadhi. Pia tutaondoa umasikini uliosababishwa na wakristo wengi waliopo serikalini tukidai na kupatiwa mahakama ya kadhi.

Mungu ni Mkubwa ,tuadai mahakama ya kadhi kwa nguvu zote mkuu Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom