Suala kwa nini serikali wasijenge za umma?
Wanaziendesha za wakristo halafu wana jisifu ? Kumbe zao jina tu ?
duuh hebu kuwa neutral kwanza ndio utaweza kuelewa.serikali haina uwezo wa kuanzisha na kujenga mahospitali,vyuo na vituo vya yatima na wazee na kuvihudumia nchi nzima.Inachikifanya ni kushirikiana na taasisi zinazoonesha nia ya kusaidia jamii,na sio kwamba pesa inayotolewa na serkali inacover expenses za huduma zinazotolewa.
Kwa nini isiweze ?
69b miaka kumi ni ngapi?
Ngapi zingejengwa?
Hapo miaka ya nyuma ilipo geresha kuwa imetaifisha mbona wakiziendesha?
Nipo neutral katika suala zima la serikali kutokuwa na dini na katika hili ni kuacha kuwa dkuble standard.
Kuna mou na serikali ya ujerumani kuilazimisha serikali kusaidia makanisa lakini OIC hapana kwa vile kuna neno uislam.
Tuache undumi la kuwili.
Kama wakristo wasaidiwe na kutoa huduma well fine ni jambo jema lakini hilo na kwa waislam pia.
Ila kwa waislam kuna zuio.
Hapo ndio ninaposema why zisaidiwe 69b kila mwaka?