Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Mimi Abdulkadir Yasin nasema hivi,
1.Waislamu tunaihitaji sana mahakama ya kadhi ili kututatulia matatizo yetu.Ni haki yetu kusuluhishwa na kuamuliwa kihaki na kiweledi.
2.Waislamu tunahitaji zaidi elimu dunia kuliko tunavyohitaji mahakama ya kadhi.Mahakama ya kadhi inatusaidia leo,sisi watu wazima hususani pale tunapohitilafiana.Elimu dunia itatufaa leo na itawafaa zaidi watoto wetu hapo kesho.
3.Tunahitaji hivi vitu vyote viwili.
Ninavyoona tunaendeleza ''viscious circle of dependence''.Tumeshindwa kuweka kipaumbele!
Mahakama au shule kwanza?
Watu wengine wanataka tujenge hospitali! Hawa wanatupotosha
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Ritz ni mtu wa ajabu sana! Wakati wakristo wanabebwa serikalini wewe ulikuwa wapi? au mlikuwa wapi? Bilion 61.9 ndizo hizo zinasopasua mabusha ya ndugu zenu wanaoka mabarazani toka asubuhi mpaka jioni ,wakila kashata na kunywa kahawa,then wanaanza hekaya,hadithi,ngano na visasili kama sio visakale eti wanaonewa,unazuia mwanao asiende kindergarten ya wakatoliki ,eti atakunywa uji uliotiwa mafuta ya nguruwe ! kwa mtindo huu utaendelea na mtaendelea kubaki nyuma daima.

Jengeni hospitali muone kama mtanyimwa ruzuku na serikali.

NB:Ritz nimegundua kitu kimoja kwako,
iq yako iko chini sana,umeruhusu kuongozwa na emotions badala ya reasoning.
Acheni kupiga kelele,someni,acheni majungu na vijiwe vya kahawa visivyo na maana.
 
You Are Fucking Clever!Huu Ni Ushauri Mzuri Sana.Naomba Ufuatwe Kama Waislamu Wanataka Kuachana Na Malalamiko Na Chokochoko Zisizoisha.Bravo!
 
WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Kwani waislam wa TGk hawajasoma au hawana ilmu?

Kwani wakristo wa Tgk wamesoma?

Je hao wakristo wanaojitazama na kujiona kama wamesoma, JE HICHO KISOMO CHAO KIMELISAIDIA NINI TAIFA LA TGK MPAKA SASA?

NOTE:
Kuna tofauti kubwa ya KUSOMA na KUILIMIKA.

kimtu kinajifanya eti chenyewe kina elimu dunia kubwa sanaa kiasi cha kudhani eti nacho ki consultant,
haya hebu tuone hiyo elimu dunia yako,usikute una diploma ya housekeeping

tatizo lenu mkiambiwa mambo yenye tija na manufaa mnaona kama mnaonewa...

Acheni ujinga...na utoto.
 
Mimi Abdulkadir Yasin nasema hivi,
1.Waislamu tunaihitaji sana mahakama ya kadhi ili kututatulia matatizo yetu.Ni haki yetu kusuluhishwa na kuamuliwa kihaki na kiweledi.
2.Waislamu tunahitaji zaidi elimu dunia kuliko tunavyohitaji mahakama ya kadhi.Mahakama ya kadhi inatusaidia leo,sisi watu wazima hususani pale tunapohitilafiana.Elimu dunia itatufaa leo na itawafaa zaidi watoto wetu hapo kesho.
3.Tunahitaji hivi vitu vyote viwili.
Ninavyoona tunaendeleza ''viscious circle of dependence''.Tumeshindwa kuweka kipaumbele!
Mahakama au shule kwanza?
Watu wengine wanataka tujenge hospitali! Hawa wanatupotosha

Abdulkadir kama unavyojiita.

Hakika kama kweli mnakiri kuwa wakristo ndio waliosoma na taifa lenu ndio linazidi kuzama.

Basi kisomo chenyewe kama ndio hicho BASI NI BORA KUSIWE NA WASOMI. Kumbuka miaka ya 60's na 70's mpaka mwanzoni mwa 80's hali ya Tz ilikuwa ni nzuri sana wakti huo kulikuwa na wasomi wachache sana nao walikuwa wazalendo na maisha yalikuwa kidogo afadhwali kwa wananchi na kila mtu aliweza kujipatia mkate na siagi.

Leo hii wasomi ni wengi mpaka wengine wanamaliza vyuo vikuu na kukosa kazi LAKIN HALI NDIO TIA MAJI TIA MAJI dhwaifu l,hali.

sasa si bora mkose wasomi muishi vizuri kuliko kuwa na wasomi lakin maisha shida na taabu zilizozingirwa na wizi na rushwa na dhulma kwa wasionacho.

Mimi naamini ilmu bila kuilimika basi hakuna maana ni bora ukose ilmu lakin uwe umeilimika kwani utakuwa mstaharabu sana.

Huyo aliyeanzisha hiyo dini i.e uislamu was an illiterate guy, alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Sio maneno yangu ni Quran Tukufu.

Sasa unategemea hao wafuasi wake watakuwa ni watu wa aina gani?

Hapa mnatwanga maji kwenye kinu. Kheri ya mjinga anayeeleweshwa akazubaa, kuliko mpumbavu anayebisha (Prof Kabudi 2014).

Hakuna ushauri wanaoweza kusikia/kuchukua hawa ndugu zetu, history ilikwisha wa condemn
 
kimtu kinajifanya eti chenyewe kina elimu dunia kubwa sanaa kiasi cha kudhani eti nacho ki consultant,
haya hebu tuone hiyo elimu dunia yako,usikute una diploma ya housekeeping

tatizo lenu ndo hilo...mkipewa madini/point za msingi mnaona kama mnaonewa vile na kuanza kulalamika or kuongea utumbo...shirikisheni akili kidogo.
 
(a) Mbona ile akaunti ya Stanbic imeficha makubwa ambao hata wewe hutaki isikike? Kighoma malima alikuwa mkristo kwa sababu alisoma shule za seminari!! Ufisadi hauna dini!
(b) Hizo Billion 61 zinatumika kutibu watu wa dini zooote ni kama vile zingekwenda hospitali za serikali. Hata ajira nazo za hizo hospital sio za kibaguzi kama kile chuo cha kiislamu Morogoro! Na hii mahakama ya Kadhi itahudumia watanzania wote bila kujali dini zao kama ilivyo hizo hospital ambazo hupewa ruzuku??

Ni hata msome shule ngapi uelewa duni maana hii comment uliyoiweka hapa haipaswi toka kwako!

Mkuu, huyu hata jambo dogo sana hawezi kulielewa kwani ni kinara wa udini. Atuambie ni lini serikali itawapa Wakristo chuo kama ilivyofanya kwa Waislamu ilipowapa chuo kilichokuwa cha TANESCO Morogoro na kukifanya chuo kikuu cha waislamu. Sina uhakika kama kuna Wakristo wanasoma kule na kama wako ni lazima watakuwa wachache sana kwa vile ni lazima uvae hijabu.
 
kuwa mgalatia tayar ubongo wako kuna vitu vimewekwa na wale wapiga kelele,eti wasomi! ingekuwa nna mamlaka kweny hii nchi ningefuta shule/vyuo vyote vya kigalatia hlf tuone wez/mafisad kama watakuwepo.

Natamani ungepata mamlaka ili uendelee kuwapa waislamu wenzie elimu ahera ya kujilipua na kulipua wengine ili wakawahi mabikira wenye tochi za usoni. Kumbe sing wa escrow ni Mkristo.
 
Ritz ni mtu wa ajabu sana! Wakati wakristo wanabebwa serikalini wewe ulikuwa wapi? au mlikuwa wapi? Bilion 61.9 ndizo hizo zinasopasua mabusha ya ndugu zenu wanaoka mabarazani toka asubuhi mpaka jioni ,wakila kashata na kunywa kahawa,then wanaanza hekaya,hadithi,ngano na visasili kama sio visakale eti wanaonewa,unazuia mwanao asiende kindergarten ya wakatoliki ,eti atakunywa uji uliotiwa mafuta ya nguruwe ! kwa mtindo huu utaendelea na mtaendelea kubaki nyuma daima.

Jengeni hospitali muone kama mtanyimwa ruzuku na serikali.

NB:Ritz nimegundua kitu kimoja kwako,
iq yako iko chini sana,umeruhusu kuongozwa na emotions badala ya reasoning.
Acheni kupiga kelele,someni,acheni majungu na vijiwe vya kahawa visivyo na maana.

Hata kama wakianzisha hospitali bado ni shida kwa kuwa huduma zinakuwa ni duni sana na tena usafi unakuwa ma mashaka. Jaribu kwenda kwenye hospitali au zahanati zao ndo utajua.
 
Mkuu, huyu hata jambo dogo sana hawezi kulielewa kwani ni kinara wa udini. Atuambie ni lini serikali itawapa Wakristo chuo kama ilivyofanya kwa Waislamu ilipowapa chuo kilichokuwa cha TANESCO Morogoro na kukifanya chuo kikuu cha waislamu. Sina uhakika kama kuna Wakristo wanasoma kule na kama wako ni lazima watakuwa wachache sana kwa vile ni lazima uvae hijabu.

RUCO,Ruaha University college ilikuwa chuo cha Benk Iringa,kanisa katoliki likapewa kama ilivyokuwa kwa chuo cha Tanesco kwa waislamu.
 
Huyo aliyeanzisha hiyo dini i.e uislamu was an illiterate guy, alikuwa hajui kusoma wala kuandika. Sio maneno yangu ni Quran Tukufu.

Sasa unategemea hao wafuasi wake watakuwa ni watu wa aina gani?

Hapa mnatwanga maji kwenye kinu. Kheri ya mjinga anayeeleweshwa akazubaa, kuliko mpumbavu anayebisha (Prof Kabudi 2014).

Hakuna ushauri wanaoweza kusikia/kuchukua hawa ndugu zetu, history ilikwisha wa condemn

Huyu aliyeanzisha ukristo alikuwa ni mwendawazimu. Si maneno yangu ni maneno ya biblia

Unategemea kitu gani kwa wafuasi wake ??

Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."

HAPA MNATWANGA HEWA SI MAJI , KWENYE KINU

HISTORY ILIKWISHA WA CONDEM
 
Ritz ni mtu wa ajabu sana! Wakati wakristo wanabebwa serikalini wewe ulikuwa wapi? au mlikuwa wapi? Bilion 61.9 ndizo hizo zinasopasua mabusha ya ndugu zenu wanaoka mabarazani toka asubuhi mpaka jioni ,wakila kashata na kunywa kahawa,then wanaanza hekaya,hadithi,ngano na visasili kama sio visakale eti wanaonewa,unazuia mwanao asiende kindergarten ya wakatoliki ,eti atakunywa uji uliotiwa mafuta ya nguruwe ! kwa mtindo huu utaendelea na mtaendelea kubaki nyuma daima.

Jengeni hospitali muone kama mtanyimwa ruzuku na serikali.

NB:Ritz nimegundua kitu kimoja kwako,
iq yako iko chini sana,umeruhusu kuongozwa na emotions badala ya reasoning.
Acheni kupiga kelele,someni,acheni majungu na vijiwe vya kahawa visivyo na maana.
Hayo mabusha yanapasuliwa kwa Bilioni 61.9 kila mwaka ajabu hii, labda tusaidie busha moja linagharimu kiasi tuone hizo Bilioni 61.9 zinapasua mabusha mangapi kila mwaka.
 
Hayo mabusha yanapasuliwa kwa Bilioni 61.9 kila mwaka ajabu hii, labda tusaidie busha moja linagharimu kiasi tuone hizo Bilioni 61.9 zinapasua mabusha mangapi kila mwaka.

It is just figurative language,to demonstrate that,out of that fund ,moslems are the one who benefit,not only christians.
 
Hawa wanaojiita wasomi wa kikrsto maghumashi wa watanzania wanachekesha sana, kwenye mikutano ya wasomi duniani kweli na nyie mtaenda.
 
Nimecheka sana post ya Mtu hapo juu aliyefananisha Na mnyama flani wa kufuga.. Lakini Kwa post kama hizi naanza kuamini kuna kila dalili Za kufanana Na mnyama huyo..!

Ati "..wasomi wa kikristu wamejazana kila idara serikalini .. " nadhani kuna tatizo Kama sio akili basi mawazo yaliyotoboka..! Watu mmawaza negative tu all time kuhukumiwa sio Kusoma, matibabu, Afya ,Maji , Umeme noo hiyo si inshu Bali kuhukumiana , kukomeshana, kurithiana Na kutalikiana Na kulogana basi.. Mengine sio Hoja kwenu..

Huwezi kujadiliana jambo lolote na waislamu:
1. Wengi wana tatizo la kutambua busara/hekima
2. Wengi wana mawazo ya kukariri - ukisema jambo ambalo ni kinyume na walilokariri -weeeeee watakusulubu au hata kukuchoma moto
3. Duniani kote - waislamu wanalalamika kuonewa na kunyanyaswa (huu ni mkakati wa muda mrefu wanautumia mkakati huu kuua, kupigana, kubaka, kutenda kila aina ya uchafu
4. Suala la Elimu na umuhimu wa Elimu siamini kama waislamu wengi wanatambua umuhimu wa elimu. Wao wana muda wa kubishana (Ubishi umewaganda kwenye bongo na roho zao na wanaokaa vijiweni na mtandaoni ndio wajanja wa kiislamu - ni roho mbaya kuliko unavyofikiri)
5. Uislamu una tabia ya kutia waumini wao hasira ambazo ni za milipuko (very unreasonable people to hold a conversation/negotiation with)
6.
 
Huyu aliyeanzisha ukristo alikuwa ni mwendawazimu. Si maneno yangu ni maneno ya biblia

Unategemea kitu gani kwa wafuasi wake ??

Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."

Salman Rushdie
.
images

''In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession''

soma na hiki kitabu,usiwe kama dodoki linafanya kazi ya kupokea uchafu tu,si klia literature ni ya maana.kama ni hivyo soma na hiki kitabu cha huyu jamaa ambaye anawindwa mpka leo waislamu wanataka kumwua!

Back
Top Bottom