Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Weka ushahidi usilete porojo za kwenye vijiwe vya mbege.

Angalia orodha ya wana kwanya kwenye sakata la Escow ndiyo utajua wasomi wa kikrsto wa Tanzania kazi yao.
Nimeuliza, Seth ni Mkristo? Na wanae Kikwete wanaomiliki Simba Trust nao ni wakristo? Chunguza uhusiano wa Ruge na Kikwete, hawa hawajakutana barabarani kama alivyoandika binti yake Rugemarila. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo?
 
Kama sio wakristo hata hao waislamu wachache wasingesoma. Ni waislamu wangapi wamesoma shule za kikristo ambao sasa wapo madarakani. Nakushangaa hii karne ya 21 unadai mahakama ya kwenda kumshitaki mke wako, au kudai mali alizoacha marehemu, badala ya kufikiria namna ya kuboresha mahusiano katika familia (ndoa) na pia namna ya kujitegemea kiuchumi, kujitafutia kwa jasho lako kuliko kutegemea mirathi.

Hapa ndipo ninaposema kuna ya haja kuwekeza kwenye elimu itakayomwezesha mtu utambuzi huu. Elimu itakayomfanya mtu awe optimistic, sio kufikiria tu kesi za kupelekana mahakamani, ambazo pengine zinaweza zisitokee hadi kufa. Ona sasa wakereketwa wote mmejazana Dodoma kushinikizwa tu hiyo hoja ijadiliwe.

Wewe Ritz kwa akili yako unaona hiyo ni kipaumbele kuliko kuwekeza kwenye vipaumbele vya kitaifa kama elimu na afya?

Ndivyo munavyokaririshana MAKANISANI huko,kabla ya UHURU karibu shule zote DAR zilikuwa za agakani.
 
Hivi wewe una akili timamu?au tayari umeshampandisha subiani? Nimekwambia nitajie hizo shule na miradi ya elimu iliyokuwa ya waislamu then serikali ikaviondoa wewe unaniletea malalamiko ambayo nimeyasikia kila thread umu so sioni jpya....Nitajie izo shule na vyuo vingi ulivyosema mlikuwa navyo waislamu serikali ikaviondoa sijui kuwanyang'anya...
Sasa utajuaje kama sianzii mwanzo,ni kuwa East Africa Muslim Welfare society,ilikua iko sponsered na aga khan,na ilikua na mashule na miradi kibao kwa wakati huo kama nilivyokuwekea,sasa ukitaka nikutajie sijui upanga islamic primary school,ama mzizima secondary school utanifanyisha kazi bila malipo,tafuta kumbukumbu ya shule za islamic zilizotaifishwa na azimio la arusha ukizipata ndo hizo,
nyerere bado ya kuona waislamu wananufaika sana na East africa muslim welfare society akaipiga ban na kuanzisha bakwata,ambayo badala ya kuendeleza walipoishia hao society.waka dolola.
mpaka kipindi cha mzee ruxa ndipo mashirika mengine ya kiislamu yalipoanzishwa na kuanza kuendeleza miradi tofauti na wakati ikiwepo bakwata.
 
Umeeleza Vizuri Sana Na Umetoa Ushauri Wa Maana Sana Ila Umeelezea Kiushabiki Zaidi Kwani Hukufanya Utafiti Japo Kidogo Kwani Waislam Ndio Walikua Na Mashule Mengi Na Mahospitali Baada Kutaifisha Waislam Ndio Wakabaki Masikini Utafiti Mdogo Tu Taka Historia Ya Baadhi Ya Mashule Nafikili Utagundua Kitu Na Sisi Kama Waislam Ni Kuipigia Kura Ya Hapana Hii Katiba Ccm Maana Mnataka Kubadilishia Agenda Mmelikoroga Sasa Mtalinywa

Lahaulaaa avatar yako mkuu...duuh...
 
KUMBE KWELI WEWE NI MMOJA WA WAFUASI WA MWENDAWAZIMU,

KITABU CHA SALMAN RUSDIE KINAHUSIKA VIPI NA HII MADA ALIYOANDIKA DOPAS???

BASI NAKUWEKEA MANENO YA BIBLIA YAKO UFURAHI ZAIDI

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,
tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya
sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,
Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi,
bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia
inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

JEE HUYO MTOTO WA KIZAZI CHA WANAHARAMU NDIO UNAMFUATA????
Sasa iweje ninyi Waislamu mumtambue "mwanaharamu" kama nabii wa mwenyezi Mungu? Huoni hiyo contradiction?
Na Mohamedi je, yeye alikuwa na utukufu gani uliofanya afae kuwa nabii? Kuoa watoto wadogo?
 
Sasa utajuaje kama sianzii mwanzo,ni kuwa East Africa Muslim Welfare society,ilikua iko sponsered na aga khan,na ilikua na mashule na miradi kibao kwa wakati huo kama nilivyokuwekea,sasa ukitaka nikutajie sijui upanga islamic primary school,ama mzizima secondary school utanifanyisha kazi bila malipo,tafuta kumbukumbu ya shule za islamic zilizotaifishwa na azimio la arusha ukizipata ndo hizo,
nyerere bado ya kuona waislamu wananufaika sana na East africa muslim welfare society akaipiga ban na kuanzisha bakwata,ambayo badala ya kuendeleza walipoishia hao society.waka dolola.
mpaka kipindi cha mzee ruxa ndipo mashirika mengine ya kiislamu yalipoanzishwa na kuanza kuendeleza miradi tofauti na wakati ikiwepo bakwata.

Elungata, huwa nasikia sana hizi lawama kwa BAKWATA, hakuna namna ya kubadili mfumo wake mkaweka ule utakaoonekana unafaa?
 
Huo ushauri wako wa kijinga mpelekee mkeo mambo ya waislam hayawahusu
 
Umetoa ushauri mzuri sana lakini angalia response yao hawa tu waliomo humu, habari gani mtu akitoa ushauri wa namna hi msikitini? Kitu ambacho Waislam hawakifahamu ni hiki, hata sisi Wakristo tukiendaga kinyume na taratibu zetu za kidini hua tunahukumiana, mfano umeoa kinyume na taratibu za kidhebu letu/lenu, hutaruhusiwa kushiriki meza au ushirika hadi pale utakapo rekebesha hilo jambo, hi kitu huwezi kusikia inakua discussed anywhere na wala hatuhitaji Baraka za bunge au serikali, asiyetaka au ataona kaonewa mlango hua wazi kwako either kuendelea kwenda hilo kanisa au kuhama, Napata shida sana kwa waislamu kwanini wao wanataka hadi katiba ilitambue hili jambo, ni kwamba hawana imani na waumini wao kwamba watakaidi hizo hukumu au ni nini?
Kwa faida ya JF tufahamishe wale Maskofu Kilaini na wenzake waliofanya ufisadi Kanisa limewapa hukumu gani?
 
Elungata, huwa nasikia sana hizi lawama kwa BAKWATA, hakuna namna ya kubadili mfumo wake mkaweka ule utakaoonekana unafaa?

Dina,
Huenda ukastaajabu ukanishangaa mimi kwa jibu nitakalokupa.

Serikali na Kanisa hawawezi kukubali kuona Waislam wanajioganaizi wenyewe
nje ya BAKWATA.

Huko nyuma juhudi nyingi zilishafanywa lakini kizingiti ni hizo taasisi mbili.
Ushahidi upo ukitaka nitakuwekea In Sha Allah.
 
No
Sasa iweje ninyi Waislamu mumtambue "mwanaharamu" kama nabii wa mwenyezi Mungu? Huoni hiyo contradiction?
Na Mohamedi je, yeye alikuwa na utukufu gani uliofanya afae kuwa nabii? Kuoa watoto wadogo?

Shida kubwa niionayo ni kuchanganya maandiko/ kujawa mikono mingi ya waandishi ndani ya hiyo Biblia au ...!?
 
Dina,
Huenda ukastaajabu ukanishangaa mimi kwa jibu nitakalokupa.

Serikali na Kanisa hawawezi kukubali kuona Waislam wanajioganaizi wenyewe
nje ya BAKWATA.

Huko nyuma juhudi nyingi zilishafanywa lakini kizingiti ni hizo taasisi mbili.
Ushahidi upo ukitaka nitakuwekea In Sha Allah.

Serious? Kanisa lipi sasa? Ok, na hata 'influence' ya wenye nafasi ya kufanya hayo mabadiliko nao wameshindwa? Je issue hapo ni kujioganaizi nje ya BAKWATA, au kuifanya BAKWATA iendeshwe kwa mfumo unaokubalika na Waislamu wote? Japo kunaweza kuwa na challenge kidogo, manake Uislam nao si una A na B in terms of followers? (unisahihishe kama nimekosea).
 
WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Dopas,
Hujafikia makamu na hutafika ya kutushauri Waislam.

Sisi tulipigana na Wajerumani na tukaweka mikakati ya kupambana na
Waingereza hadi wakaondoka Tanganyika.

Tumeeleza dhulma katika Wizara ya Elimu katika NECTA na kwingine kwingi.

Tumestahamili vitimbi vya Wamarekani na shinikizo la Sheria ya ugaidi
Tanzania.

Watu wameteseka nk. nk.hawakukata tamaa walipotoka jela wameendela
kuutumikia Uislam.

Tumeonja dhulma nyingi baada ya uhuru na hatujavunjika moyo hadi leo
tumefika mahali Mfumokristo si neno geni kwa Waislam.

Tumeweza hadi kuandika historia yetu na leo ndiyo hii mnaisoma hapa JF.

Tumewahamasisha Waislam kujenga shule na kujisaidia wenyewe juu ya
umasikini waliokuwanao.

Tuna motto wetu tunaambizana: "Dini isharibike mikononi mwetu."
Huwezi kutufunza kitu kwani sisi si wajinga tunao muongozo wetu.
 
Unajua kama unadiriki kukataa ukweli wa wazi anaosema mwandishi ili kufurahisha nafsi haitakusaidia wewe au jamii yako. Tatizo naloona kwenye jamii ya Tanzania ya Waislam ni kwamba viongozi hawana elimu dunia kama mnavyoiita. Kupata uongozi kwenye Uislaama ni umashuhuri wa kujua kitabu chao na si elimu dunia lakini ukiangalia vizuri kuna wasomi wengi na wanaojua dini lakini sio watoa uamuzi mfano Agha Khan ni thehebu la kislam ingawa wengine hawalitambui lakini mafanikio yao yametokana na vitu viwili kuweka wasomi kwenye uongozi na pili kutokuweka chuki kwa watu wa mathehebu mengine. Agha Khan inapedwa na kila mtu sio wakisto au waislaam wana shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo na mwandishi ndiye alikuwa anasema hapa. Mimi ushauri wangu ni kutafuta uongozi wa watu wenye elimu kote ya dini na ya dunia. Kufungua shule, hospitali, bank na miradi unahitaji elimu ya dunia bila hivyo hutafanikiwa. Hiyo serekali inatoa wapi pesa? jibu ni kwenye mfumo ya elimu ya dunia kwa watu kulipa kodi hivyo kama hupendi elimu dunia ni kwanini mnaomba misaada kwenye serikali inayopata pesa kwa mfumo wa elimu ya dunia?.
 
Elungata, huwa nasikia sana hizi lawama kwa BAKWATA, hakuna namna ya kubadili mfumo wake mkaweka ule utakaoonekana unafaa?
Mfumo unabadilika tayari baada ya mashirika mengine ya kiislamu kuanzishwa.
sasa haina maana mpaka tujenge nasi bugando au kcmc ndo ionekane watu wanapiga hatua.
kama wakristo waliamua mfano biashara ya kutoa huduma za afya waipe kipaumbele,haina maana kuwa watu wa imani nyingine hawana elimu dunia na watakua nayo tu kipindi mfano waislamu nao wakiwa na lihospital la ghorofa nane kama bugando,
waislamu wanaweza kuamua kuinvest katika vitu vingine katika mashirika yao,ama kama individual.
sio lazima eti kama wakristo wana shule 200 na waislamu wawe nazo 200 ili waqualify kuwa na elimu dunia kama mleta mada anavyotaka watu waamini.
tatizo la tanzania sasa si uhaba wa mashule bali ni quality ya elimu inayotolewa,ndo kisa cha rais kutaka kila shule hasa hizi za kata ziwe na maabala.
 
Sasa utajuaje kama sianzii mwanzo,ni kuwa East Africa Muslim Welfare society,ilikua iko sponsered na aga khan,na ilikua na mashule na miradi kibao kwa wakati huo kama nilivyokuwekea,sasa ukitaka nikutajie sijui upanga islamic primary school,ama mzizima secondary school utanifanyisha kazi bila malipo,tafuta kumbukumbu ya shule za islamic zilizotaifishwa na azimio la arusha ukizipata ndo hizo,
nyerere bado ya kuona waislamu wananufaika sana na East africa muslim welfare society akaipiga ban na kuanzisha bakwata,ambayo badala ya kuendeleza walipoishia hao society.waka dolola.
mpaka kipindi cha mzee ruxa ndipo mashirika mengine ya kiislamu yalipoanzishwa na kuanza kuendeleza miradi tofauti na wakati ikiwepo bakwata.

Ebu niambie, ni kwanini Mzee Ruksa akiwa na madaraka makubwa kabisa ya kuongoza nchi yetu, alishindwa nini kuondoa hiyo BAKWATA?
 
Nimeuliza, Seth ni Mkristo? Na wanae Kikwete wanaomiliki Simba Trust nao ni wakristo? Chunguza uhusiano wa Ruge na Kikwete, hawa hawajakutana barabarani kama alivyoandika binti yake Rugemarila. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo?
Tatizo lako unapenda kuokota maneno mitaani na kuyaleta JF bila ushahidi JF siyo sehemu ya porojo.
 
Mfumo unabadilika tayari baada ya mashirika mengine ya kiislamu kuanzishwa.
sasa haina maana mpaka tujenge nasi bugando au kcmc ndo ionekane watu wanapiga hatua.
kama wakristo waliamua mfano biashara ya kutoa huduma za afya waipe kipaumbele,haina maana kuwa watu wa imani nyingine hawana elimu dunia na watakua nayo tu kipindi mfano waislamu nao wakiwa na lihospital la ghorofa nane kama bugando,
waislamu wanaweza kuamua kuinvest katika vitu vingine katika mashirika yao,ama kama individual.
sio lazima eti kama wakristo wana shule 200 na waislamu wawe nazo 200 ili waqualify kuwa na elimu dunia kama mleta mada anavyotaka watu waamini.
tatizo la tanzania sasa si uhaba wa mashule bali ni quality ya elimu inayotolewa,ndo kisa cha rais kutaka kila shule hasa hizi za kata ziwe na maabala.

Iangalie kwa mtazamo chanya tu ndugu yangu..inawezekana kuwa mtoa mada aliona hayo maeneo mawili kama ni maeneo ambayo bado hayajajitosheleza kihuduma...na wala usikwazike, na tujikite katika tuelimishane na kujuzana.

Na hata kuwekana sawa katika maeneo yale ambayo tunaamini yanapotoshwa kwa namna moja au nyingine.
 
Unajua kama unadiriki kukataa ukweli wa wazi anaosema mwandishi ili kufurahisha nafsi haitakusaidia wewe au jamii yako. Tatizo naloona kwenye jamii ya Tanzania ya Waislam ni kwamba viongozi hawana elimu dunia kama mnavyoiita. Kupata uongozi kwenye Uislaama ni umashuhuri wa kujua kitabu chao na si elimu dunia lakini ukiangalia vizuri kuna wasomi wengi na wanaojua dini lakini sio watoa uamuzi mfano Agha Khan ni thehebu la kislam ingawa wengine hawalitambui lakini mafanikio yao yametokana na vitu viwili kuweka wasomi kwenye uongozi na pili kutokuweka chuki kwa watu wa mathehebu mengine. Agha Khan inapedwa na kila mtu sio wakisto au waislaam wana shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo na mwandishi ndiye alikuwa anasema hapa. Mimi ushauri wangu ni kutafuta uongozi wa watu wenye elimu kote ya dini na ya dunia. Kufungua shule, hospitali, bank na miradi unahitaji elimu ya dunia bila hivyo hutafanikiwa. Hiyo serekali inatoa wapi pesa? jibu ni kwenye mfumo ya elimu ya dunia kwa watu kulipa kodi hivyo kama hupendi elimu dunia ni kwanini mnaomba misaada kwenye serikali inayopata pesa kwa mfumo wa elimu ya dunia?.
Hebu nikuulize,tufanye wewe ni mwananchi wa kawaida,na ni roman catholic,tufanye roman catolic wanamiliki hospitali ya rufaa ya bugando,na pia bank mashuhuri ya mkombozi,na shule 100 za santa maria.
sasa,labda huwa unapata gawio kiasi gani kila mwaka,?,pale bugando una kadi labda ukifika unaonyesha wanakutibu bure?.
kule santa mary una watoto wanasoma free of charge tofauti na sisi ambao lazima tulipe fees?
 
Back
Top Bottom