Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Hawa wasomi maghumashi watanzania wanachekesha sana, kwenye mikutano ya wasomi duniani kweli na nyie mtaenda.

Noises in communication is anything that aims to break communication ,to reach to intended person,AD HOMINEM
argue against the point,not the giver of the point!/
responding to arguments by attacking a person's character, rather than to the content of their arguments.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.
Naomba nikuelimishe kidogo: Bajeti ya serikali ihusuyo mapato na matumizi hupitishwa na bunge. Ni wapi uliona kuna fungu la sh. 61bn limetengwa naserikali kwa ajili ya kuwasaidia Wakristo? Wewe unaokoteza vijarida uchwara na kujidanganya navyo. Huyu jamaa katoa ushauri mzuri sana. Sasa jibu hoja zake kuhusu vipaumbele vyenu kati ya mahakama ya kadhi au elimu na afya. Usitoke kwenye mada na kuanza kupile blame kwa wakristo
 
Huyu aliyeanzisha ukristo alikuwa ni mwendawazimu. Si maneno yangu ni maneno ya biblia

Unategemea kitu gani kwa wafuasi wake ??

Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."

Salman Rushdie
.
images

soma na hiki kitabu,usiwe kama dodoki linafanya kazi ya kupokea uchafu tu,si klia literature ni ya maana.kama ni hivyo soma na hiki kitabu cha huyu jamaa ambaye anawindwa mpka leo waislamu wanataka kumwua!

KUMBE KWELI WEWE NI MMOJA WA WAFUASI WA MWENDAWAZIMU,

KITABU CHA SALMAN RUSDIE KINAHUSIKA VIPI NA HII MADA ALIYOANDIKA DOPAS???

BASI NAKUWEKEA MANENO YA BIBLIA YAKO UFURAHI ZAIDI

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m'baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,
tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya
sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,
Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi,
bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia
inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

JEE HUYO MTOTO WA KIZAZI CHA WANAHARAMU NDIO UNAMFUATA????
 
Haya ulikuwa unayajua au ulipata kuyasikia bungeni.

Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978. Katika mabadiliko haya kuletwa Bungeni ndipo Waislam wakajua kuhusu hii MoU kati ya Serikali na Makanisa.
 
Natamani ungepata mamlaka ili uendelee kuwapa waislamu wenzie elimu ahera ya kujilipua na kulipua wengine ili wakawahi mabikira wenye tochi za usoni. Kumbe sing wa escrow ni Mkristo.

kweli dini ni bhangi! mtu na akili zako unalipua na unajilipua kwa ahadi ya ngono mbinguni!(wanawake mabikira) mungu huyo hayupo bado wa kuruhusu watu wafe eti wakapate mademu mbinguni,cheeee!
 
Haya ulikuwa unayajua au ulipata kuyasikia bungeni.

Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia "Memorandum of Understanding (MoU)?" Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978. Katika mabadiliko haya kuletwa Bungeni ndipo Waislam wakajua kuhusu hii MoU kati ya Serikali na Makanisa.

Waislamu wanakuwa wapi wakati wakristo wakichangia hapa JF? hayo ni malalamimiko mengine tena ya kipuuzi!
 
KUMBE KWELI WEWE NI MMOJA WA WAFUASI WA MWENDAWAZIMU,

KITABU CHA SALMAN RUSDIE KINAHUSIKA VIPI NA HII MADA ALIYOANDIKA DOPAS???

BASI NAKUWEKEA MANENO YA BIBLIA YAKO UFURAHI ZAIDI

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu mbaya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,
tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya
sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,
Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi,
bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia
inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanangangania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

JEE HUYO MTOTO WA KIZAZI CHA WANAHARAMU NDIO UNAMFUATA????
Kumekucha.
 
MIMI huwa NASHANGAA SAANA HAWA NDUGU ZANGU KALUBANDIKA WENZANGU WANAPOKUA MBELE YETU KUTAMBA KWAMBA WAO NI WASOMI NCHI HII

HIVI NDUGU ZANGU MMESOMA KITU GANI HASA??

MMESOMA MUAJIRIWE AU MMESOMA ILI KULISAIDIA TAIFA??

KAMA KIPIMO CHA MAENDELEO YA WATU NI ELIMU,NA TUJAAALIE WASOMI WENGI NI NYINYI

OKEY,,HIVI MMELISAIDIA NIN TAIFA HILI TOKEA LIMEPATA UHURU NA HUU USOMI WENU??

MNACHOFANYA NI KUIBA PESA NA KUPELEKA MAKANISANI TUH

TEH TEH TEH

MNA MSAADA GANI KWA TAIFA HILI??

TEH TEH TEH

HIZO HOSPITALS NA SHULE MMEJENGA WENYEWE??THUBUTU UWEZO HUO MUUTOE WAPI MASKIN WA KUTUPWA,,MISAADA KUTOKA KWA EX SLAVE MASTERS WENU THEN MJIONE MNA CHA KUTAMBA??

HA HA HA

MAHAKAMA YA KADHI KWETU NI MUHIMU ZAID YA UDHANIAVYO,,WEWE HAIKUHUSU NA HATUHITAJI USHAUR WAKO

:lol: :lol: :lol:

Y need my government support,,, if u real know nini mahakama yenu hiyo😅
 
RUCO,Ruaha University college ilikuwa chuo cha Benk Iringa,kanisa katoliki likapewa kama ilivyokuwa kwa chuo cha Tanesco kwa waislamu.
mkuu huu ni uwongo wa mchana kweupe, yale majengo yalinunuliwa na si kwamba yalitolewa bure na serikali. Mimi mwenyewe nimeshuhudia wakristo wakichangishana michango makanisani kwa ajili hiyo.
 
KUMBE KWELI WEWE NI MMOJA WA WAFUASI WA MWENDAWA

KITABU CHA SALMAN RUSDIE KINAHUSIKA VIPI NA HII MADA ALIYOANDIKA DOPAS???

BASI NAKUWEKEA MANENO YA BIBLIA YAKO UFURAHI ZAIDI

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m'baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,
tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya
sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,
Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi,
bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia
inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

JEE HUYO MTOTO WA KIZAZI CHA WANAHARAMU NDIO UNAMFUATA????

Nafurahi kuitwa mwendawazimu kwa ajili ya Ukiristo! Tafuta matusi mengine hilo bado halijanichukiza linaniletea furaha!
inawezekana pia hata babako akawa na mtoto wa zinaa mwanaharamu.how sure you are? that your male parent is real your father? shame on you poor man!

mkuu huu ni uwongo wa mchana kweupe, yale majengo yalinunuliwa na si kwamba yalitolewa bure na serikali. Mimi mwenyewe nimeshuhudia wakristo wakichangishana michango makanisani kwa ajili hiyo.

Thamani yake hailingani na pesa iliyolipwa,ni kma ilikuwa token money,thats why nasema tulipewa bure!
 
Japo mie Mwislamu, lakini nakubaliana na ushauri wa Mtoa Mada. Wenzangu Waislamu tujiulize kuna tija gani ya kuwatoa watoto wetu, vijana wetu, ndugu zetu kafara kwa kuwafunga mabomu na silaa za kujitoa muhanga?? tujiulize kwa nini hao viongozi wetu wasijtoe muhanga wenyewe?

Mahakama ya Kadhi pengine ni nzuri kwa imani zetu. Lakini ukisikia hoja tunazojenga heti tuna matatizo mengi ya kijamii hasa NDOA na mambo ya Kifamilia...? Ebu tuamuke ndugu zangu tunadanganywa sana,maisha mazuri yanaletwa na uwezo wa kupambanua na kuchanganua mambo ili kufanya maamuzi sahihi, siyo kujazwa maneno na kujilipua huku wakubwa wetu wakiendelea kuishi kama Masultani.:A S embarassed:

Mniwie radhi waumini wenzangu!

kimtu kinajifanya eti chenyewe kina elimu dunia kubwa sanaa kiasi cha kudhani eti nacho ki consultant,
haya hebu tuone hiyo elimu dunia yako,usikute una diploma ya housekeeping
 
Huyu aliyeanzisha ukristo alikuwa ni mwendawazimu. Si maneno yangu ni maneno ya biblia

Unategemea kitu gani kwa wafuasi wake ??

Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."

HAPA MNATWANGA HEWA SI MAJI , KWENYE KINU

HISTORY ILIKWISHA WA CONDEM

Bwana Yesu akusamehe bure hujui ulitendalo...kwa kuwa si imani yako hakuna haja ya kukubishia.. Ni vyema kama mtu kukaa kimya kuliko kupayuka...ficha aibu yako
 
Tutajie hayo mashule na miradi ya elimu waliyowekeza, otherwise ni mwendo ule ule wa kulishana ujinga kwenye masjiud
Ntajaribu kukutafutia,hebu kuta unakula hii.
MUSLIM PROJECTS BY THE EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY IN 1968
======================================================================
PROJECTS TANGANYIKA KENYA UGANDA ZANZIBAR
======================================================================
SCHOOLS 77 70 28 --
MOSQUES 67 53 29 --
TECHNICAL SCHOOLS 3 -- -- --
HOSTELS 1 -- -- --
ISLAMIC UNIVERSITY -- -- -- 1 (Expected)
======================================================================
TOTAL 148 123 57 1
=====.

East African Muslim Welfare Society (EAMWS). It was founded in Mombasa in 1945 by the then Aga Khan with the aim of promoting Islam and raising the standard of living for the East African Moslems. Asian Shiites, especially Ismaili, dominated and financed the organisation, but Aga Khan recommended that all Moslems regard EAMWS as an organization with pan-Islamic ambitions. When its headquarters were moved from Mombasa to Daressalaam in 1961, the Nyamwezi chief and TANU opponent Abdallah Fundikira, regarded as Nyerere's principal political rival in the 60's, became the president of the organization. EAMWS concentrated on building schools and mosques, providing scholarships and spreading literature. There were also plans for founding an Islamic university in Zanzibar or Mombasa, but they were never realized. However, the Muslim Academy founded in Zanzibar in early 50s continued to exist as a training college for teachers of Arabic and Islamic education until it was closed down by the autonomous Revolutionary Government of Zanzibar in 1966. In regard to this it is interesting to note that Zanzibar has several times since January 1993 announced plans for a separate Islamic university and high schools connected to the University of Daressalaam; and since the middle of the 70s the Muslim Academy has been reopened, a new Muslim Secondary School has been built and Arabic has been adopted as the third official language of Zanzibar.
Because of the pan-Islamic tendencies and the caplitalist oriented leadership of EAMWS, pro-TANU Moslems opposed it. The organization, it was claimed, constituted a threat to the ruling party. The antagonism culminated in 1968, when the organization was declared illegal in Tanzania. Other Moslem organizations were dissolved as well. Instead the pro-TANU Moslems, with several leading Qadiriyya sheikhs playing important roles, formed with the support of TANU the new national organization Baraza Kuu la Waislam wa Tanzania (Tanzania Muslim Council), BAKWATA, whose constitution was in large parts a copy of the TANU constitution. Because of the close connection to the ruling party and many leading Moslem politicians' interference in BAKWATA's activities, the role of the organization has been controversial. Its achievements have been limited due to poor finances. Criticism against BAKWATA increased during the 1980's, when the opposition to the socialist politics of Tanzania grew and liberalization started
 
Waislamu wanakuwa wapi wakati wakristo wakichangia hapa JF? hayo ni malalamimiko mengine tena ya kipuuzi!
Mmeomba ushahidi mmeletewa umebakia kupiga porojo na kutukana, tatizo hata matusi yako ya kizamani mno njoo na matusi mapya watu wanaweza kujifunza matusi mapya kutoka kwako.
 
Huyu aliyeanzisha ukristo alikuwa ni mwendawazimu. Si maneno yangu ni maneno ya biblia

Unategemea kitu gani kwa wafuasi wake ??

Mark3:21 When his family heard about it, they went to get him. They said, "He is insane."

Salman Rushdie
.
images

''In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession''

soma na hiki kitabu,usiwe kama dodoki linafanya kazi ya kupokea uchafu tu,si klia literature ni ya maana.kama ni hivyo soma na hiki kitabu cha huyu jamaa ambaye anawindwa mpka leo waislamu wanataka kumwua!

Tatizo lako unafikiri tunajadili kuhusu dini ipi ni bora kati ya Ukristo na Uislamu
 
Nafurahi kuitwa mwendawazimu kwa ajili ya Ukiristo! Tafuta matusi mengine hilo bado halijanichukiza linaniletea furaha!
inawezekana pia hata babako akawa na mtoto wa zinaa mwanaharamu.how sure you are? that your male parent is real your father? shame on you poor man!

soma nimeandika kitu gani ??? usikurupuke tu

nimenukuu biblia ilivyosema ,sijaongeza kitu
 
Back
Top Bottom