Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

Kama sio wakristo hata hao waislamu wachache wasingesoma. Ni waislamu wangapi wamesoma shule za kikristo ambao sasa wapo madarakani. Nakushangaa hii karne ya 21 unadai mahakama ya kwenda kumshitaki mke wako, au kudai mali ulizoacha marehemu, badala ya kufikiria namna ya kuboresha mahusiano katika familia (ndoa) na pia namna ya kujitegemea kiuchumi, kujitafutia kwa jasho lako kuliko kutegemea mirathi.

Hapa ndipo ninaposema kuna ya haja kuwekeza kwenye elimu itakayomwezesha mtu utambu

wewe ni hopeless,unataka kusema kila anaekwenda mahakama ya kadhi ni kuhusu mirathi?

halafu eti unaniblock,hujiamini ?
 
Soma bandiko langu namba#27
Weka ushahidi usilete porojo za kwenye vijiwe vya mbege.

Angalia orodha ya wana kwanya kwenye sakata la Escow ndiyo utajua wasomi wa kikrsto wa Tanzania kazi yao.
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Hizo 61b hawapewi kwa ukristo wao bali kwa huduma yao kwa jamii bila ubaguzi wa kiimani, nyie mnahudumia waislam peke yao nenda mtambani, alharamaini, na pale mlogolo, mkivaa vipedo ndo mnaona mmemfurahisha mungu.
 
Wacha uongo wewe weka ushahidi.
 
Mambo ya dini magumu sometyme.Ingelikuwa MKE M MOJA NA MUME MMOJA iko applied kwa dini zote speed ya kudai hii mahakama ingepungua kabisa.By then ushauri mzuri ila sidhani kama wataufuata.
 
Hizo 61b hawapewi kwa ukristo wao bali kwa huduma yao kwa jamii bila ubaguzi wa kiimani, nyie mnahudumia waislam peke yao nenda mtambani, alharamaini, na pale mlogolo, mkivaa vipedo ndo mnaona mmemfurahisha mungu.

ha ha ha ,sasa unataka tuvae minisketi au kata k?
 
Wenzako hawajui wanachohitaji, mambo yaliyo washinda waarabu wao ndiyo wanadai, alikuwepoRaisi Mohammed Morsi wa Misri aliingia kwa mbwembwe madarakani kwq kuanza kuwaua wakristu huku akiigeuza Misri kuwa Taifa la kiislam.

Mpaka wakaandika Islamic republic of egypt pale Victoria, nikawaambia watu huyu hajui dunia inapoelekea na ataona kitakacho mtokea, haikuchukua mudq maandamano yakaanza tena.

Watu wamechoka na sheria kandamizi kwa mgongo wa dini, wanataka wakaangalie mpira na wapenzi wao, wapenzi wao nao wawehuru kuendesha magari na kufanya mambo mengine, ikiwemo hata wanawake kupiga kura.

Kifupi mabadai waliyokuwa wanayadai waislam wa uarabuni ndiyo waliyonayo tangu uhuru waislam wa hapa, wakezao wanapiga kura kamq wanaume, wqnaendesha magari, wanakwenda kwenye mipira nq kila uhuru wa utu wanapewa, haya wanayoyadai huko dini ilikoqnzia wenyewe yamesha washinda.

Ndiyo maana nasema hawajui wanachotaka, so hawata kuja kuacha kudai hata kama wakipewa hiyo mahakama ya kadhi kama wanavyotaka watadai na OIC,Watadai na jingine yaani wanatia huruma sana.

Mungu awasaidie.
 
Waislam mmesaidiwa mkapata elimu dunia, kama unabisha kamuulize kikwete

mnasema hatuna elimu dunia afu unasema tena tumesaidiwa elimu dunia,which is which?
 
Na mimi kama Muislam nakushauri huu ushauri wako upeleke Kanisani.

Kawaambie hivi toka toka uhuru mpaka sasa wasomi wa Kikirsto wamejazana serikali kila idara wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi masikini duniani, unajua kuwa Tanzani ipo kwenye nchi 20 masikini wa kutupwa duniani huko serikalini kazi yenu kufanya ufisadi tu.

Halafu nyie Wakirsto ndiyo mnabebwa unajua kama kila mwaka Kanisa linapewa bilioni 61.9.

Ahsante.

Ukisema utafute monetary value ya service ambazo kanisa linaprovide inabidi wawe wanapewa billion 500 kila mwaka.na nyinyi vibarakashia kazi kujenga madrasa na kung'ang'ania upuuzi.
 
Kama sio wakristo hata hao waislamu wachache wasingesoma. Ni waislamu wangapi wamesoma shule za kikristo ambao sasa wapo madarakani. Nakushangaa hii karne ya 21 unadai mahakama ya kwenda kumshitaki mke wako, au kudai mali ulizoacha marehemu, badala ya kufikiria namna ya kuboresha mahusiano katika familia (ndoa) na pia namna ya kujitegemea kiuchumi, kujitafutia kwa jasho lako kuliko kutegemea mirathi.

Hapa ndipo ninaposema kuna ya haja kuwekeza kwenye elimu itakayomwezesha mtu utambu

wewe ni hopeless,unataka kusema kila anaekwenda mahakama ya kadhi ni kuhusu mirathi?

halafu eti unaniblock,hujiamini ?

Kukubloc mi ni Mod, au unafikiri huu mtandano ni sms phone?
Nasema tena mara ya mwisho kwa waislamu wewe, Ritz na wengine, kama mnaona ushauri wangu wa kusema muongeze wigo wa kutoa huduma za kijamii Tanzania kama elimu na afya kuliko ni mbaya basi. Miaka rudi miaka nenda Mahakama ya kadhi!!

Huo ni ukweli kuwa kipaumbele cha taifa ni zaidi mambo ya talaka na mirathi. Sasa wewe unadhani mahakama ya kadhi mnaomba zaidi kwaajili ya nini? Sijazungumzia kuwa msiwe nayo, ila hamhitaji kupoteza muda wa wabunge kujadili mambo ya maana kwa maslahi ya Nchi. Pia nyie hamhitaji kuweka kambi Dodoma kushinikiza hilo badala ya kufanya mambo mengine ya maendeleo.

Ukweli utabaki kuwa Waislamu mna haja ya kuongeza nguvu katika kuchangia elimu dunia ya watanzania, pamoja na afya kwa kuongeza shule za sekondari ZENYE UBORA na vyuo vikuu.

Nakushauri urudi kwenye uzi huu baada ya matokeo ya kidato cha Nne na hata baadaye cha sita, utaelewa ninachosema. Sio tu kubishana kwa sababu unaweza kubishana
 
Kukubloc mi ni Mod, au unafikiri huu mtandano ni sms phone?
Nasema tena mara ya mwisho kwa waislamu wewe, Ritz na wengine, kama mnaona ushauri wangu wa kusema muongeze wigo wa kutoa huduma za kijamii Tanzania kama elimu na afya kuliko ni mbaya basi. Miaka rudi miaka nenda Mahakama ya kadhi!!

Huo ni ukweli kuwa kipaumbele cha taifa ni zaidi mambo ya talaka na mirathi. Sasa wewe unadhani mahakama ya kadhi mnaomba zaidi kwaajili ya nini? Sijazungumzia kuwa m

kiswahili kirefu cha nini,wewe tuwekee elimu dunia yako hapa,kwisha...
 
Ukisema utafute monetary value ya service ambazo kanisa linaprovide inabidi wawe wanapewa billion 500 kila mwaka.na nyinyi vibarakashia kazi kujenga madrasa na kung'ang'ania upuuzi.
Ni kweli tumeona ile orodha ya wana kwaya waliochota pesa za Escrow kwenye benki yenu ya Kanisa Mkombozi, msalime wa nyumbani nshomile Tibaijuka.
 
WanaJF,
Nimefikiria muda mrefu kuhusu sakata hili la kufa na kupona la mahakama ya kadhi. Ni wazi kuwa mahakama ni muhimu katika jamii. Lakini pamoja na umuhimu wake, nadhani tukikaa chini na kutafakari, kuna mengi ya umuhimu zaidi. Jambo la kwanza kwa Nchi kama Tanzania ambayo kwaajili ya uongozi mbovu wa waliokuwa madarakani kwa nyakati tofauti lingepaswa kupewa kipaumbele ni Elimu. Ona jinsi Elimu inavyochezeshwa gwaride, hadi tumefikia hatua ya kuweka div. 5, ili kuficha waliofeli.

Nirudi kwenye mada,
Nasema ushauri kwa waislamu kuwa waongeze nguvu kwenye elimu dunia. Waongeze shule zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu, zenye ubora. Waongeze vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kiislamu, wakitaka wawapokee waislamu tu haidhuru, lakini ni bora wakawapokea wote kama zifanyazo taasisi za kikristu. Elimu bora Tanzania inahitajika. Na Elimu bora Tanzania haiwezi kutolewa na Serikali tu. Ona madhehebu ya kikristo walivyoweka kipaumbele katika elimu. Hesabu tu vyuo vikuu vinavyoendeshwa na madhehebu ya kikristo. Hesabu shule za sekondari zenye ubora wa hali ya juu zinazoendeshwa na taasisi za kikristo. Sijui taasisi za kiislam zinaendesha vyuo vikuu vingapi, lakini nafahamu walau moja ile ya Morogoro, iliyokuwa chuo cha Tanesco, ambayo walipewa na serikali ili kuwatuliza.

Tazama kwenye afya, ona ni vituo vingapi vya afya, hospitali, hadi hospitali za rufaa zinazoendeshwa na taasisi za dini? Nafahamu walau hospitali ya rufaa ya KCMC na Bugando zinaendeshwa na taasisi za kikristo. Hospitali za kawaida ni nyingi. Zinazoendeshwa na taasisi za kiislamu sizifahamu, zinaweza kuwa nyingi kuliko hizo, au la. Kwenye suala la afya ndipo pa kutumia nguvu nyingi. Huko ndipo pa kuwa na hitaji la kuweka kambi Bungeni kama kutakuwa na haja.

Nadhani sio vizuri kusubiri siku zote kubebwa na serikali. Kila madhehebu wana sheria zao, sheria zao ambazo hazipaswi kwenda kinyume na sheria za Nchi. Sioni sababu ya kutumia nguvu kubwa kudai mahakama badala ya kuwekeza kwenye mambo ya maandeleo kama elimu, afya, nk. Kwanini tunadhani maisha yetu lazima kupelekana mahakamani?

Ndiyo maana nasema natoa ushauri kwa waislamu hasa waJF maana ndo watakaosoma ushauri huu, Waislamu wawekeze nguvu nyingi kwenye mambo ya maendeleo zaidi kuliko mahakama. Wawekeze kwenye elimu na afya. Achaneni mambo ya mahakama. Mahakama ya nchi inaweza kumaliza yote, ikiwa kutakuwa na haja. Lakini kwa mtu optimistic hawezi kutumia nguvu nyingi kwenye hilo.

Sio haki kwa wabunge: wawakilishi wa wananchi kupoteza muda kujadili kuwa waislamu wawe na mahakama ya kadhi au la. Ni wazi watajadili, hasa wakati huu tunapokaribia uchaguzi. Ili kila mchangiaji aonekane anawajali waislamu, ataunga mkono mahakama ya kadhi, watafanya funika kombe mwanaharamu apite. Ili tu waislamu wa jimbo lake wasimtose, ili tu waislamu wasikikatae chama chake. Lakini nasema tena sio haki wabunge wapoteze muda katika jambo hili ambalo sio kipaumbele cha taifa. Sio haki lakini litajadiliwa kwaajili wa woga wa kupoteza kura.

Mniwie radhi, kama kuna moja hatapendezwa na ushauri wangu. Ukweli utabaki kuwa kuwekeza kwenye elimu, hasa elimu dunia na afya ni bora kuliko kuwekeza kwenye mahakama.

Haya yatapatikana tu BAKWATA ikiundwa upya na kuchagua viongozo wenye mawazo hayo. Viongozi wenye upewe wa fikra na wivu wa maendeleo.
tukiwa na BAKWATA free from CCM domination na lenye viongozi walo chaguliwa baada ya vetting ya hali juu,
itawezekana tu kama BAKWATA haifanyi kazi zake kama kitengo cha siasa cha ccm na mapadre.
ukweli tumegawanywa kuundiwa huu mdude
lakini inawekana Tanzania bila ya Bakwata

Mahakama ya kadhi yenye kukubalika itapatikana pale tu itapo ondoka Bakwata , sasa hivi ni ghilba tu za kisiasa na Bakwata wanatumikia tu mradi wa wanao pinga Mahakama ya Kadhi
 
Ni kweli tumeona ile orodha ya wana kwaya waliochota pesa za Escrow kwenye benki yenu ya Kanisa Mkombozi, msalime wa nyumbani nshomile Tibaijuka.
Familia yenu imepata mgao kiasi gani?
 
jamaa wanaiba pesa za umma kwenda kujengea mahospital,mashule,wanatoza huduma kwa bei ghali sana,halafu kimtu kimevimbewa kitimoto kinakuja kusanifu watu eti,hamna elimu dunia,ELIMU DUNIA YA KUiBA.

huyo kilaini arudishe hiyo bilioni,kama kajengea academy,mwambie auze arudishe pesa ya walipakodi
 
Sawa ni madaraka ila tangu aingie kagame we ulisha sikia tena fujo za ajabu ajabu?, ni kwa sababu hakuw biased na dini, we angalia misri mpaka leo haikaliki na haita kuja kukalika kwa sababu waliowengi ni moderate muslim na wachache wenye msimamo mkali ndiyo hao wanaolipua mara mkuu wa polisi, mara mbele ya jengo la wizara ya ulinzi.

Na hii ni kwa sababu wanaamini kuwa wao ndiyo waislam wa ukweli, kitu ambacho si kweli kwani kama watu wana waamini wasingeandama kwa mara ya pili kumtoa madarakani mkombozi wao.

Yaani huwezi amini walikiondoa mpaka like bango halipo tena pale victoria na kiongozi wao mpya wanayemtaka ameingia mpaka kanisani wala hawajaandamana.

Inafikia kipindi kwa hulka ya mwanadamu anataka kubadilika, kutoka kwenye taratibu kandamizi ziwe za kimira au vyovyotevile,

Mfano mwingine ni wa yule dada wa kipakstani, wote tunamjua anaitwa Malala Yusuf Zai, watu wamempiga risasi eti kisa anasoma shule za kawaida, jamani jamani..

ukizingatia kwenye huu utandawazi, huwezi kuwaziba watu macho na wakati wanaweza kujitafutia dunia inavyoenda hizi ni zama nyingine jaman lazima tukubali kubadilika

Siwalaum waislam kudai mahakama ya kadhi ila pia tuangalie dunia inapoelekea.
 
Unauliza vumbi store watu wanachinjwa Kanisani na kuna Maaskofu wamefungwa jela bado unauliza.
Kwa hiyo vita vya kikabila kati ya watusi na wahutu ndio unavyovitumia kama hoja ili kuhalalisha chuki zenu za kidini? Kweli nafuu pombe mnayoikataa kuliko unga mnaoukumbatia!
 
Back
Top Bottom