Ushauri kwa Vijana mjini

Ushauri kwa Vijana mjini

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
8,217
Reaction score
16,089
Nawasalimu,

Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.

Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.

Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.

Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.

Nawatakia 7 7 njema.

The Legacy.
 
Na kwanini uharibu mjini
 
Na kwanini uharibu mjini
Sio kuharibu kwa kufanya uhalifu,kuna muda unahitaji kukaa kimya au mbali kuepuka migogoro hasa ya familia, au tufanye kazi imeisha ghafla unafanyaje ?
 
Wengi wanafiliri tofauti, eti uondoke mjini sababu ya uhalifu.
 
Hata David Beckham ana nyumba kama hiyo. Akiyachoka maisha ya Marekani na uingereza anaenda huko
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    60.3 KB · Views: 14
Nawasalimu,

Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.

Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.

Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.

Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.

Nawatakia 7 7 njema.

The Legacy.
Mama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101

MIMI NGOJA NIKAJENGE KIMBIJIII/ KILUVYA/VIKINDU.

Izi siku mbili tatu nimekua naogopa Sana Sanaa siku life langu likibuma itakuaje sijui..Ila sisi tunapambana na hakuna kukata tamaa

MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
min -me , kaka umepotea Sanaa au Eveline salt kakufungia
 
Tena mwanamke anabadilika viabaya mnoo.
Chukulia mumeo hana kazi wewe unaingia kazini unamuacha home si utakonda ufe kwa stress.
You get what you deserve my friend. You don't believe in being one with your wife you get a wife who is not one with you. She's partially present, bound by your coins.
 
Napenda Sana hizo nyumba za mashambani,unapata utulivu saaafi kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom