Ushauri kwa Vijana mjini

Ushauri kwa Vijana mjini

Tena mwanamke anabadilika viabaya mnoo.
Chukulia mumeo hana kazi wewe unaingia kazini unamuacha home si utakonda ufe kwa stress.
Hii ni kweli kabisa kuna mama mmoja hapa mtaani kwangu anautembeza kwenda mbele kisa jamaa hana kazi
 
Nawasalimu,

Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.

Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.

Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.

Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.

Nawatakia 7 7 njema.


The Legacy.
Kwaio ukifa ghafla watu wanajichukulia tu maana hakuna anepajua 😆
 
Kwaio ukifa ghafla watu wanajichukulia tu maana hakuna anepajua 😆
Kufa ni matokeo tu mzee.Alafu vya watu akini havipotei.

Majasusi wanajua wapi waache alama wapi wasiache alama
 
Hii ni kweli kabisa kuna mama mmoja hapa mtaani kwangu anautembeza kwenda mbele kisa jamaa hana kazi
Balaa hilo,hujafa tu kwa stress,lakini ukienda kijijini unachili ukipanga mambo yako bila stress.

Mjini lwa laki 2 hutoboi kwa mwezi lakini kijijini unatoboa
 
Mama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101

MIMI NGOJA NIKAJENGE KIMBIJIII/ KILUVYA/VIKINDU.

Izi siku mbili tatu nimekua naogopa Sana Sanaa siku life langu likibuma itakuaje sijui..Ila sisi tunapambana na hakuna kukata tamaa

MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
min -me , kaka umepotea Sanaa au Eveline salt kakufungia
For sure ,Kupambana ni kuzuri sana ndugu yangu,ila kuna vitu mjini vinatakiwa uvipishe kidogo kutuliza akili.

Mke nae akikuona ona kila siku anakuchukulia poa.
 
Umenikumbusha kuna mdau mmoja hapa Town amefanya ivyo lakini YY nikila wkend wanaenda na fsmilia nje ya mji kabisa uko kunaitwa pemba mnazi hatari na iyo iko fukwe y bahari. Sio poa.
KAZI ni kipimo cha utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom