Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

Sawa. Tafuta na tusi lingine baya zaidi la Kunitukana, huenda baraka zako ziko kwenye matusi, ukitukana Bank account zako zinajaa mapesa
Umekera sana kwenye ukweli ukweli usimame unawatetea watu ambao wameharibu maisha yangu lakini naomba nikuombe radhi sana nisamehe we we nimuungwana sana nisamehe sana nimejisahau kutanguliza hasira mbele
Sawa. Tafuta na tusi lingine baya zaidi la Kunitukana, huenda baraka zako ziko kwenye matusi, ukitukana Bank account zako zinajaa mapesa
 
Wana eneo kubwa saba la ardhi walichokifanya ni kuwalaza vijana mchana na usiku na kuweka bango la usipige picha hapa na usipite hapa wakati huko Ukraine Jeshi ndio wakulima wakuu wa Ngano na kufanya tafiti za kisayansi huku kwetu ni kuweka kofia kwenye dashboard na kukamata nguo za jeshi upuuzi mtupu...
 
Jeshi la vibwengo
 
Mwanawane, silaha ? kiwanda kipi?

Hayo mawazo kaa nayo mpaka ipite miaka mia ya uhuru uyatoe tena.

Noti yetu inatengenezewa wapi ? Mpaka yule chalii akabeba gari zima akaenda kujibanza pale tatu moja kule kwenu,

Silaha? Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom