MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 130
- 263
Mimi ni Kijana wa kitanzania umri 22, nipo moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi mwaka wa pili ( biology na geography) yaani bachelor of science with education.
Lengo la Uzi huu ni kuomba ushauri katika haya nayo waza;
01. Nawaza kuwa baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza apa mwakani, niunge na diploma ya ualimu maalumu( special needs) katika chuo cha Patandi kilichopo Moshi
02. Wazo langu la pili nawaza niunge post graduate diploma coz ya curriculum development pale open university of Tanzania
03. Wazo langu tatu nawaza nikimaliza apo mwakani nijitolee tu katika shule yoyote ya serikali apa inchini kwa ajiri ya ku chase ajira.
04. Wazo langu la mwisho nawaza Tapo maliza apa mwakani nikomae na maisha mtaani kutafuta pesa wakati nasubil ajira.
📌📌Wakuu naombeni mnishauri katika hayo Mawazo yangu manne lipi ni sahihi na Bora.
Note that: Hali ya uchumi ya nyumbani ni duni, kiufup natoka familia maskin.
Kuhusu familia yaani kuoa : Sina malengo hayo kwa sasa.
Karibuni wakuu wangu