Ushauri: Jina Jipya

mimi ninakuchagulia jina zuri jiite jina hili (Muumiza Watu Vichwa) jina zuri kabisa unasemaje Mwita25?
 
he bu acha kutuzuga.............. jiite kimavi25
 
Hapa hatuangalii majina, tunaangalia hoja. Unaweza kuwa na jina la kimjini kabisa lakini hoja ndio zikawa za kishamba. Baki na ID hiyo hiyo usibadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…