elfu kumi ndogo bana. ongeza dau great thinker nianze kufikiria
mwiba25nina mpango wa kubadili id yangu ya mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya pm kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, kazi kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee
na wewe dada unapenda hela.
Italeta mkanganyiko jamaa akiamua kujiunga na JF
unanishauri nipende nini?
penda vita ambavyo si man made.