Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Heeee! Kumbe gamba huwa linawasha eee!
Kubali au kataa ushauri.... gamba linawasha au haliwashi haikuhusu!
Heeee! Kumbe gamba huwa linawasha eee!
halafu rais awe nani?
nimewaeleza faida za kuwa na wabunge wengi toka jana naimba wimbo huo huo hawa watu hawaelewa wanauliza maswali yale yale,nimewaambia ukiwa na wabunge wengi utaunda serikali kwa maana ya waziri mkuu atakua wako bila waziri mkuu hakuna serikali na pia spika atakuwa wako kwa kuwa spika anachaguliwa na wabunge ambao wewe utakuwa nao wengi hivyo hata chama kingine kikisimamisha mgombea uspika definately atapita wako..wamechagua kutoelewa,wao wako kwenye urais,achana nao.Ushauri wako ni wa ujenzi sana lakini sijui kama utapata nafasi ya kufanyiwa kazi kutokana na wewe sio pro-chadema.
Chakuwa mfano uwe na wabunge 23 wakuchaguliwa pamoja na Rais halafu upinzani una wabunge 216 hivi hiyo miswada bungeni itapitaje?
Chadema wanatakiwa watambue nguvu ya serikali ipo bungeni, Urais ni taasisi inayofanya kazi na bunge bila bunge ni ngumu kutawala.
nimewaeleza faida za kuwa na wabunge wengi toka jana naimba wimbo huo huo hawa watu hawaelewa wanauliza maswali yale yale,nimewaambia ukiwa na wabunge wengi utaunda serikali kwa maana ya waziri mkuu atakua wako bila waziri mkuu hakuna serikali na pia spika atakuwa wako kwa kuwa spika anachaguliwa na wabunge ambao wewe utakuwa nao wengi hivyo hata chama kingine kikisimamisha mgombea uspika definately atapita wako..wamechagua kutoelewa,wao wako kwenye urais,achana nao.
Kama kawaida yangu mimi hupenda kuzungumza yale mambo ambayo watu huwa hawapendi kuyasikia hata kama yapo.Leo napenda kushauri chadema ama wapinzani kiujumla waachane na ndoto za urais badala yake wajikite kwenye ubunge;hii ndio njia ya mkato na strategy ya kushika serikali.Urais ni jambo dogo sana ambalo unaweza kulipata na ukawa rais picha tu ambae hana serikali.Kwa mfano nguvu nyingi walizotumia chadema kwenye uchaguzi uliopita ili slaa awe rais urais wake usingekua na maana kwani angekua rais bila serikali jambo ambalo lisingeisadia sana chadema na wapenda mabadiliko wengine,hivyo shime sasa chadema acheni kudanganyana na ndoto za urais,nguvu kubwa ipelekeni kwenye ubunge na kwa kuanzia Slaa agombee ubunge ALUMERU na muhakikishe anashinda ili kutekeleza kwa vitendo nadharia ya ubunge kwanza urais utakuja wenyewe baadae.
Nawasilisha.
*Angalizo wachangiaji mnatakiwa kuwa na hoja kwanza,kama huna hoja kaa pembeni,itoshe tu kuwa msomaji kuliko kuleta vioja.
*Mods msisikilize maneno ya wachochezi kwa kuifunga hii thread ama kuichanganya na nyingine.
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". - Regia Mtema.
CHADEMA hawajawahi kumaanisha kugombea urais. Huwa wanaweka mtu ili na wao waonekane wameweka mtu.
Ushauri wako ni wa ujenzi sana lakini sijui kama utapata nafasi ya kufanyiwa kazi kutokana na wewe sio pro-chadema.
Chakuwa mfano uwe na wabunge 23 wakuchaguliwa pamoja na Rais halafu upinzani una wabunge 216 hivi hiyo miswada bungeni itapitaje?
Chadema wanatakiwa watambue nguvu ya serikali ipo bungeni, Urais ni taasisi inayofanya kazi na bunge bila bunge ni ngumu kutawala.
Tuache na mkakati wetu, wewe inakuhusu nini pesa za chama tumetafuta wenyewe kwa jasho letu ok..
Ushauri wako hatutaki
nimewaeleza faida za kuwa na wabunge wengi toka jana naimba wimbo huo huo hawa watu hawaelewa wanauliza maswali yale yale,nimewaambia ukiwa na wabunge wengi utaunda serikali kwa maana ya waziri mkuu atakua wako bila waziri mkuu hakuna serikali na pia spika atakuwa wako kwa kuwa spika anachaguliwa na wabunge ambao wewe utakuwa nao wengi hivyo hata chama kingine kikisimamisha mgombea uspika definately atapita wako..wamechagua kutoelewa,wao wako kwenye urais,achana nao.
hebu kawashauri ccm waweke kwa matendo mambo wanayoyaandika kwenye makaratasi.
Wamesema wataondoa posho za vikao, mpango wa miaka mitano unasema wazi wazi, mbona hawazitoi? Mbona wanataka kuongezana posho?
Hebu kawashauri hao kwanza. Achaneni na mambo yasiyowahusu.
Mnaonekana makenge, mnaonea wivu mikia ya wenzenu coz ya kwenu hamuioni...
Mkuu unajitolea sana kusafisha njia.Ukienda Lumumba waambie wakuongezee posho
Poa wapi we dogo,we unafikiri kila mtu anaishi kwa posho kama mbowe na wabunge wengine ukimuacha mheshimiwa zitto !
Kama kawaida yangu mimi hupenda kuzungumza yale mambo ambayo watu huwa hawapendi kuyasikia hata kama yapo.Leo napenda kushauri chadema ama wapinzani kiujumla waachane na ndoto za urais badala yake wajikite kwenye ubunge;hii ndio njia ya mkato na strategy ya kushika serikali.Urais ni jambo dogo sana ambalo unaweza kulipata na ukawa rais picha tu ambae hana serikali.Kwa mfano nguvu nyingi walizotumia chadema kwenye uchaguzi uliopita ili slaa awe rais urais wake usingekua na maana kwani angekua rais bila serikali jambo ambalo lisingeisadia sana chadema na wapenda mabadiliko wengine,hivyo shime sasa chadema acheni kudanganyana na ndoto za urais,nguvu kubwa ipelekeni kwenye ubunge na kwa kuanzia Slaa agombee ubunge ALUMERU na muhakikishe anashinda ili kutekeleza kwa vitendo nadharia ya ubunge kwanza urais utakuja wenyewe baadae.
Nawasilisha.
*Angalizo wachangiaji mnatakiwa kuwa na hoja kwanza,kama huna hoja kaa pembeni,itoshe tu kuwa msomaji kuliko kuleta vioja.
*Mods msisikilize maneno ya wachochezi kwa kuifunga hii thread ama kuichanganya na nyingine.
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". - Regia Mtema.
gambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
GAMBA GUMU wewe unamdanganya nani wewe gamba2 na una ubongo mdogo kama maisha ya funza pumbaf zako