Ushauri: Chadema achaneni na ndoto za urais!

Kardash nimepitia mada zako nyingi humu nikagundua unaongozwa na chuki za kisiasa,KWA UFUPI HATUTAKI USHAURI WA WACHUMIA TUMBO.
shauri yako lakini nilichokizungumza kwenye ushauri wangu nsio kinawatesa,leo hata kama pm mbovu hamuwezi kumuondoa kwa kuwa mna uzito wa unyoya bungeni huku ccm wakiwa ni heavy weight,nyie ni wanyonge tu kiufupi na mtaendelea kuwa wanyonge mpaka mtakapofuata ushauri wangu.

Msome alichosema mwanakijiji kwenye thread yake ya kumshauri zitto asithubutu kuwasilisha hizo kitu zake j3...!mikono 70 haitoshi kumng'oa waziri mkuu nyie...
 
CHADEMA tekelezeni kauli mbiu ya ubunge kwanza,its gonna work..
 
Kazi ya kichwa sio kufuga nywele.....naona magamba vicchwa vyenu mnatumia kufuga nywele......chadema ikiingia madarakani nadhani mtakua wa kwanza kuhaha kwa vijiutaratibu hivi mnavyovifanya subirini tu.................
 
Huyu Kim Kardash hana mchango wowote zaidi ya kuwa na mawazo mgando. Hapa jitokeze kusema na kutoa changamoto za maendeleo ya nchi sio kuturudisha nyuma, Kama una share na mafisadi wanaopora nchi hii raslimali zake na watu kuendelea kuwa mafukara basi kula pesa yao finyu (nian hakika sio nyingi ni kwa kwa ajili ya mlo tu). Tunayo mengi ya kufanya kufanya zaidi ya kusoma utumbo wako hapa. Umekula au ndio unakwenda kuchokua kamsimbazi ukale?
 
CDM wameishiwa, wako hoi sasa hivi, wameanza kuparanganyika ...

CDM hawajatambua mihimili ya utawala wa CCM na kuishughulikia kikamilifu: baadhi ya misingi hiyo ni (1) mfumo wa uteuzi (hii ndo alfa na omega ya utawala wa CCM. Je, CDM imetumia mchakato wa katiba mpya kufumua mfumo huu? let us wait and see); na (2) rushwa (hapa angalau wamejitahidi kupambana, japo kwa mtizamo wangu naona wanaemlenga siye kwa upande wa wananchi. CDM wanalenga rushwa kubwa za wanansiasa wa CCM. HAPANA. Rushwa inamuathiri zaidi mwananchi ni ndogo2 ya POLISI, hospitali, kwa WEOs na VEO, MAHAKAMANI nk).

CDM hawaibui hoja mpya na zenye mashiko, kwani wanabinya mawazo yenye changamoto

CDM wametoka kwenye siasa za hoja na kuingia siasa za watu: oo ZITTO kafanya hivi, oo SLAA anatisha; oo oo ...

Badala ya kujadili kwa kina mapungufu ya utekelezaji wa CCM wa ILANI ya CCM ya uchaguzi, CDM wameng'ang'ania ufisadi tu. SAWA ufisadi ni hatari, lakini pekee hautoshi, na pia CDM wameshindwa kumuonyeha mwananchi wa kawaida hajaonyeshwa kwa jinsi gani RICHMOND ilivyoathiri maisha yake...

CDM wameshindwa kuthibitishia wananchi, wakipewa ridhaa watakuja na kitu gani ambacho CCM hawakifanyi au wanakifanya ndivyo sivyo ... yaani ampungufu ya CCM ni yapi na wao watayashughulikiaje

USHAURI wangu washughulikie MIHIMILI YA UTAWALA wa CCM ili kuibomoa, CDM wajifunze kwa RAILA alivyosambaratisha mifumo ya utawala wa kimabavu wa KENYA, KENYA sasa imenyooka japo kuna vimasalia vya hapa na pale. Vinginevyo, CDM inaota kuingia ikulu ...

IKUMBUKWE mimi mwananchi ni mteja kwenye duka la siasa la CDM, CCM, CUF nk; na ninachotaka ni huduma bora, ziwe zinatolewa na CCM, CUF au CDM kwangu si hoja... hivyo mjadala wa watu, kwamba huyu yuko hivi, vile nk au chama hiki kiko hivi hausaidii _ ninachotaka ni huduma, wewe niambie ukiniongoza ntafaidika hivi, vile na ntakuunga mkono. KILA LA KHERI wanasiasa ...
 
CHADEMA wapiga majungu tu, Zitto na Slaa km wote wanataka kugombea uraisi si mchujo ufanyike ndani ya chama kwa kupigiwa kura. siri zao wanaleta hapa Y?
 
Watanzania hamtaisha ujinga. Unahangaika na Chadema badala ya CCM inayotawala! wasiwasi wako nini? Kama Chadema hakifai au hakitaingia ikulu wewe unafaidi nini? Chadema wasipoingia ikulu kutatokea nini ambacho ni kigeni. Au hujui kama mbwa akiuma mtu siyo habari isipokuwa ikiwa kinyume chake ndiyo habari. Unafikiria kwa kutumia nini?
 
Mtasubiri sana magamba na zile tunguri zenu tushazisandia, chadema magogoni 2015 hyo mjadala haina
 
Subiri uone baadhi ya vizazizabina watakavyokushambulia, kuna watu wameleweshwa sifa za watu na kuwaabudu kama miungu badala ya kujadili issues wao wanajadili watu na wanakuwa wajuaji kweli. Naunga mkono hoja yako huu ndio ukweli mchungu ambao watu hawataki kusikia wanakaa kushikana uchawi wa kugombea urais.

Leo hii mama mtu mzima anayekaa huko Namanyere kuongelea Richmond kila siku hakumsaidii yeye kuachana na CCM anatakiwa kupata elimu ya uraia na kupewa sera mbadala wa matatizo ya maji na umeme na namna gani atapata huduma hizo ukilinganisha na ahadi za CCM anazopewa kila mara kuhusu umeme na maji.

Wanaelekea kupoteza FURSA ya pekee waliyopewa ya kuibadilisha hii Nchi, acha waendelee kusifiana humu mara fulani Jembe, huyu Nyundo, mara yule koleo , haya hayasaidii lolote katika kubadilisha maisha ya raia .
 
Ya nyuma ya pazia ni kuwa, Zitto hatakiwi! Na hii ni vita kali sana, na come January kila kitu kitakuwa wazi!
 
Acha utumwa kwa kuwafanyia watu kazi kwa kukubali kutumika kama toilet paper. Mnahangaika bure kwani hamna miliki na uongozi wa nchi hii hivyo mtashindwa tuu. Mbinu mlizotumia kuiua CUF, NCCR, TLP na kutumia vyama vingine vidogo kama vibaraka wa CCM kuendelea kuwahadaa watanzania havitafanya kazi kwa Chadema ngoja mtaona maana hizo fedha zenu za wizi zitzliwa na hamtafanikiwa.
CDM wameishiwa, wako hoi sasa hivi, wameanza kuparanganyika ...

CDM hawajatambua mihimili ya utawala wa CCM na kuishughulikia kikamilifu: baadhi ya misingi hiyo ni (1) mfumo wa uteuzi (hii ndo alfa na omega ya utawala wa CCM. Je, CDM imetumia mchakato wa katiba mpya kufumua mfumo huu? let us wait and see); na (2) rushwa (hapa angalau wamejitahidi kupambana, japo kwa mtizamo wangu naona wanaemlenga siye kwa upande wa wananchi. CDM wanalenga rushwa kubwa za wanansiasa wa CCM. HAPANA. Rushwa inamuathiri zaidi mwananchi ni ndogo2 ya POLISI, hospitali, kwa WEOs na VEO, MAHAKAMANI nk).

CDM hawaibui hoja mpya na zenye mashiko, kwani wanabinya mawazo yenye changamoto

CDM wametoka kwenye siasa za hoja na kuingia siasa za watu: oo ZITTO kafanya hivi, oo SLAA anatisha; oo oo ...

Badala ya kujadili kwa kina mapungufu ya utekelezaji wa CCM wa ILANI ya CCM ya uchaguzi, CDM wameng'ang'ania ufisadi tu. SAWA ufisadi ni hatari, lakini pekee hautoshi, na pia CDM wameshindwa kumuonyeha mwananchi wa kawaida hajaonyeshwa kwa jinsi gani RICHMOND ilivyoathiri maisha yake...

CDM wameshindwa kuthibitishia wananchi, wakipewa ridhaa watakuja na kitu gani ambacho CCM hawakifanyi au wanakifanya ndivyo sivyo ... yaani ampungufu ya CCM ni yapi na wao watayashughulikiaje

USHAURI wangu washughulikie MIHIMILI YA UTAWALA wa CCM ili kuibomoa, CDM wajifunze kwa RAILA alivyosambaratisha mifumo ya utawala wa kimabavu wa KENYA, KENYA sasa imenyooka japo kuna vimasalia vya hapa na pale. Vinginevyo, CDM inaota kuingia ikulu ...

IKUMBUKWE mimi mwananchi ni mteja kwenye duka la siasa la CDM, CCM, CUF nk; na ninachotaka ni huduma bora, ziwe zinatolewa na CCM, CUF au CDM kwangu si hoja... hivyo mjadala wa watu, kwamba huyu yuko hivi, vile nk au chama hiki kiko hivi hausaidii _ ninachotaka ni huduma, wewe niambie ukiniongoza ntafaidika hivi, vile na ntakuunga mkono. KILA LA KHERI wanasiasa ...
 
Watanzania hamtaisha ujinga. Unahangaika na Chadema badala ya CCM inayotawala! wasiwasi wako nini? Kama Chadema hakifai au hakitaingia ikulu wewe unafaidi nini? Chadema wasipoingia ikulu kutatokea nini ambacho ni kigeni. Au hujui kama mbwa akiuma mtu siyo habari isipokuwa ikiwa kinyume chake ndiyo habari. Unafikiria kwa kutumia nini?

KWA kuwa nawe ni MTZ au naamini ni MTZ, basi nawe ni mjinga au labda ni MPUMBAVU... Nahangaika kwa sababu (1) nataka huduma bora kutoka dukani mwa CCM au CDM au CUF, pia (2) ni haki yangu ya kikatiba. Au unasemaje we2 MTZ mjinga?
 
CDM wameishiwa, wako hoi sasa hivi, wameanza kuparanganyika ...

CDM hawajatambua mihimili ya utawala wa CCM na kuishughulikia kikamilifu: baadhi ya misingi hiyo ni (1) mfumo wa uteuzi (hii ndo alfa na omega ya utawala wa CCM. Je, CDM imetumia mchakato wa katiba mpya kufumua mfumo huu? let us wait and see); na (2) rushwa (hapa angalau wamejitahidi kupambana, japo kwa mtizamo wangu naona wanaemlenga siye kwa upande wa wananchi. CDM wanalenga rushwa kubwa za wanansiasa wa CCM. HAPANA. Rushwa inamuathiri zaidi mwananchi ni ndogo2 ya POLISI, hospitali, kwa WEOs na VEO, MAHAKAMANI nk).

CDM hawaibui hoja mpya na zenye mashiko, kwani wanabinya mawazo yenye changamoto

CDM wametoka kwenye siasa za hoja na kuingia siasa za watu: oo ZITTO kafanya hivi, oo SLAA anatisha; oo oo ...

Badala ya kujadili kwa kina mapungufu ya utekelezaji wa CCM wa ILANI ya CCM ya uchaguzi, CDM wameng'ang'ania ufisadi tu. SAWA ufisadi ni hatari, lakini pekee hautoshi, na pia CDM wameshindwa kumuonyeha mwananchi wa kawaida hajaonyeshwa kwa jinsi gani RICHMOND ilivyoathiri maisha yake...

CDM wameshindwa kuthibitishia wananchi, wakipewa ridhaa watakuja na kitu gani ambacho CCM hawakifanyi au wanakifanya ndivyo sivyo ... yaani ampungufu ya CCM ni yapi na wao watayashughulikiaje

USHAURI wangu washughulikie MIHIMILI YA UTAWALA wa CCM ili kuibomoa, CDM wajifunze kwa RAILA alivyosambaratisha mifumo ya utawala wa kimabavu wa KENYA, KENYA sasa imenyooka japo kuna vimasalia vya hapa na pale. Vinginevyo, CDM inaota kuingia ikulu ...

IKUMBUKWE mimi mwananchi ni mteja kwenye duka la siasa la CDM, CCM, CUF nk; na ninachotaka ni huduma bora, ziwe zinatolewa na CCM, CUF au CDM kwangu si hoja... hivyo mjadala wa watu, kwamba huyu yuko hivi, vile nk au chama hiki kiko hivi hausaidii _ ninachotaka ni huduma, wewe niambie ukiniongoza ntafaidika hivi, vile na ntakuunga mkono. KILA LA KHERI wanasiasa ...

Hauoni CCM wakifukuzana na KUNYIMANA VYEO? ULIONA LOWASSA ilibidi atumie pesa; au SUMAYE kulalamika na KIKWETE KUJAZA FAMILIA?

Haukuona CUF wamemfukuza HAMAD RASHID? Mwanzilishi wa CUF???

Haukuona NCCR MAGEUZI ILIMFUKUKA KAFULILA? Pamoja na kuwa MMOJA wa WABUNGE watatu wa CHAMA HICHO?

Sasa UNATAKA CHADEMA iogope BAADHI ya VIONGOZI wake SABABU ni WAZITO KUWAFUKUZA???

Lakini kumbuka...popote penye Mlo, Fitna Haikosekani!
 
Watanzania hamtaisha ujinga. Unahangaika na Chadema badala ya CCM inayotawala! wasiwasi wako nini? Kama Chadema hakifai au hakitaingia ikulu wewe unafaidi nini? Chadema wasipoingia ikulu kutatokea nini ambacho ni kigeni. Au hujui kama mbwa akiuma mtu siyo habari isipokuwa ikiwa kinyume chake ndiyo habari. Unafikiria kwa kutumia nini?

Hili ndo tatizo la wanachama CDM hampendi kukosolewa....kubalini madhaifu ili muweze kujiimarisha zaidi...
 
Naangalia viongozi wake kwa jicho la tatu.Naanza na sera ya majimbo. Sera hii imelenga katika kuwagawanyisha wananchi wa Tanzania ambao wamezoea sharing of natural resource mtu wa mara anatibiwa kutokana na utalii wa saadan Tanga vivo hivo mtu wa Tanga anasomeshwa kutokana na pesa za mgod wa nyamongo pale Mara. CDM ni maanderground wa ufisidi hivi tangu lini mwenyekiti mwenye uchungu na chama akaiuzia chama chake hichohicho lori kwa bei kubwa namna ile.Ameshindwa nin kulitoa tu kwa chama kama walivyofanya viongozi wengine wa chama hiko waliojitolea magari yao.? Kwa nin mikutano mingi ya CDM huwa inafanyika kule mbezi beach secondary school ambayo inamilikiwa na nduguye mwenyekiti wa CDM. Hivi ni nani anaweza kuthibitisha kama ubunge ws lucy owenya na rose kamili sio wa kipendeleo? Kiongozi ambaye anashindwa kutunza familia yake ndogo tu atawezaje kutunza familia kubwa ya watoto milion 50? CDM bado sana kuimini na kuipa nchi hii.
 
Ulichoandika hata hakieleweki, waliokutuma lazima wakukate mshahara
 
Back
Top Bottom