Kim Kardash,
..hivi unaweza kusema kwamba CDM leo hii r in worse position than they were 3 yrs ago?
..kwa mtizamo wangu Slaa aliinua sana profile ya CDM wakati wa uchaguzi mkuu na kupelekea wananchi kuwa na interest na wagombea ubunge wa CDM.
..Kwa msingi huo naamini kitendo cha Slaa kugombea Uraisi kilisaidia kuongeza idadi ya wabunge wa CDM.
..huwezi kushinda viti vingi vya ubunge bila kuwa na mkakati wa muda mrefu[endelevu] wa kukijenga chama ktk ngazi ya wilaya na kata.
..hata katika ngazi ya Uraisi kampeni zake haziishii na mgombea kufanya mkutano wa hadhara tu. kunapaswa kuwepo wanachama ktk maeneo husika ambao wataendelea kumnadi mgombea Uraisi, pamoja na chama baada ya mikutano ya hadhara ya kampeni.
..kama uli-pay attention kwenye kampeni za CCM utaona kwamba kuna maeneo alipita Kikwete, halafu akafuatia Dr.Bilal, akaja mama Salma Kikwete, zaidi walikuwepo wagombea ubunge wenye nguvu na mabavu ya incumbency, na mwisho kabisa kulikuwepo na nguvu ya mtandao wa matawi ya CCM.
..binafsi nadhani Slaa aliwasaidia CDM ku-mask mapungufu yao, pamoja na udhaifu wa chama wa kutokuwa na mtandao wa matawi huko vijijini.
..CDM wako ktk nafasi nzuri zaidi ya kugombea Uraisi na kuongeza viti vya ubunge come 2015.