Ushauri: Chadema achaneni na ndoto za urais!

Mkuu maneno yako ni ya ujenzi wa taifa naungana na wewe kweli Chadema bado hawaaminiki kupewa nchi.
 
Nimeafuatilia migogoro inayoendelea ndani ya chadema na nimegundua tatizo ni dogo sana. KILA KIONGOZI ANATAKA AWE RAIS.
Hii ni dalili kuwa kuna watu wana njaa kali sana humo na mawazo yao yote ni kuwa wakiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuanza kula mpaka washibe. Kwa nini Zito alipotamka anataka kugombea urais wanachadema wamchukie kiasi hicho? si wangesubiri tu wakati wa kupiga kura wamtose kuliko kuanza kumtukana hapa jf? Mbona kimewaudhi sana hiki kitendo? hapo kuna mtu ambaye mimi nadhani ndie presidential material hajasema kitu ... TUNDU LISU . huyu naye akifungua kinywa tu aseme neno rais bila hata kusema atagombea basi ngumi za uso zitaanza tena hapa JF.
Hizi dalili zote zimewatisha sana watanzania kiasi kwamba wameona kuwaachia nchi chadema ni sawa na kuwaacha fisi wakutunzie bucha lako, hapo ujue hakitabaki kitu.
MODS kama lugha niliyotumia siyo nzuri naomba muirekebishe kutumia neno fisi sina maana ya kutukana ni mfano tu wa mnyama kwa sababu nisingetumia sima kwa sababu simba hali nyama iliyokwisha chinjwa na nisingetumia mamba kwa sababu mamba wanakulaga mlo mmoja tu kwa mwezi lakini fisi haridhiki
chadema+copy.jpg
 
hiki unachoongea unaweza kuthibitisha ni msemaji gani wa chama amekiri kuwa kuna mgogoro?
 
CHADEMA hakuna migogoro yoyote bali kuna kikundi kidogo cha ''misukule'' kinachofugwa na CCM kwa lengo la kutaka kuwavuruga.

Makundi ya urais yapo CCM, watu hawalali wanahaha usiku na mchana wakitafutana.
 
Hakuna point hapa,Watanzania gani unao wazungumzia wewe? bila shaka ni magamba na wasaliti, kwa watu wenye mapenzi mema na hii nchi hawawezi fikiri kama wewe isipokuwa una nufaika na huu mfumo kandandamizi unao itafuna hii nchi.
 
SHK Ponda hajambo? Fisi mpaka afike buchani atakuwa ametumwa, tena atafune chuma(mzani), daah....CDM noumaaaaa.
 
Nimeafuatilia migogoro inayoendelea ndani ya chadema na nimegundua tatizo ni dogo sana. KILA KIONGOZI ANATAKA AWE RAIS.
Hii ni dalili kuwa kuna watu wana njaa kali sana humo na mawazo yao yote ni kuwa wakiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuanza kula mpaka washibe. Kwa nini Zito alipotamka anataka kugombea urais wanachadema wamchukie kiasi hicho? si wangesubiri tu wakati wa kupiga kura wamtose kuliko kuanza kumtukana hapa jf? Mbona kimewaudhi sana hiki kitendo? hapo kuna mtu ambaye mimi nadhani ndie presidential material hajasema kitu ... TUNDU LISU . huyu naye akifungua kinywa tu aseme neno rais bila hata kusema atagombea basi ngumi za uso zitaanza tena hapa JF.
Hizi dalili zote zimewatisha sana watanzania kiasi kwamba wameona kuwaachia nchi chadema ni sawa na kuwaacha fisi wakutunzie bucha lako, hapo ujue hakitabaki kitu.
MODS kama lugha niliyotumia siyo nzuri naomba muirekebishe kutumia neno fisi sina maana ya kutukana ni mfano tu wa mnyama kwa sababu nisingetumia sima kwa sababu simba hali nyama iliyokwisha chinjwa na nisingetumia mamba kwa sababu mamba wanakulaga mlo mmoja tu kwa mwezi lakini fisi haridhiki
chadema+copy.jpg
Unaongelea Watanzania gani wewe ? Ulikaa nao lini hadi wakasema unayo yawakilisha hapa ? Una maana wataka CCM iendelee kukaa madarakani ?Hakuna anayekataa Zitto kuwa raisi ama kugombea watu wamesema kitu kimoja kwamba Zitto ngojea siku zifike muafaka kwa sasa jengeni cham wewe unatoa uharo gani tena hapa .Mods ban this thing hana adabu huyu .
 
Mafisi unawajua lakini??? Mbona CCM yamejaa na hujayaona, yamekula kila kitu mpaka saizi nchi imebaki mifupa mitupu.
 
hiki unachoongea unaweza kuthibitisha ni msemaji gani wa chama amekiri kuwa kuna mgogoro?
Yaani wewe unatuona sie watoto hatukioni kinachoendelea hapa jf , ZITTO, SAA SABA, MAMUYA wanavuana nguo hapa live hadi sms zao wanaziweka hapa , na huo unaita sio mgogoro.
kama ni ndoa basi hii ndoa ya kikurya kutwa kudundana ndio mapenzi
 
CHADEMA hakuna migogoro yoyote bali kuna kikundi kidogo cha ''misukule'' kinachofugwa na CCM kwa lengo la kutaka kuwavuruga.

Makundi ya urais yapo CCM, watu hawalali wanahaha usiku na mchana wakitafutana.

Huu ndio ukweli wote. Sina la kuongeza.
Huu c mgogoro ila nadhani no mgogoro wa wana ccm wanaolazimisha kuwa viongozi chadema. Wamekosea chadema ni chama cha watu makini
 
Unaongelea Watanzania gani wewe ? Ulikaa nao lini hadi wakasema unayo yawakilisha hapa ? Una maana wataka CCM iendelee kukaa madarakani ?Hakuna anayekataa Zitto kuwa raisi ama kugombea watu wamesema kitu kimoja kwamba Zitto ngojea siku zifike muafaka kwa sasa jengeni cham wewe unatoa uharo gani tena hapa .Mods ban this thing hana adabu huyu .
Ndio tabu yenu,
Mkiambiwa ukweli mnaanza kutoka povu kama uamsho. sasa ban ya nini hapa, kuna mtu katukana?
 
We ndo fisi namba moja na makao yenu ni mabwepande na wenzako nani kakuambia cdm kuna migogoro tatzo mijitu mingne wakiwaza kimasaburi thread wanaandika kinepi uckurupuke kaa kimya .pumbaaa ww chadema ipo na hakuna migogoro
 
Yaani wewe unatuona sie watoto hatukioni kinachoendelea hapa jf , ZITTO, SAA SABA, MAMUYA wanavuana nguo hapa live hadi sms zao wanaziweka hapa , na huo unaita sio mgogoro.
kama ni ndoa basi hii ndoa ya kikurya kutwa kudundana ndio mapenzi

Wewe mweyewe fisi una mawazo ya kifisi .Ndiyo maana unapenyeza ufisi wako wako .Mbaguzi mkubwa na usiye na elimu dunia .Mwanamke kupigwa na mumewe ana hawara ni Wakurya tu ? Mods huyu taka wa nini mnafuga anaudhi watu bwana .
 
Nimeafuatilia migogoro inayoendelea ndani ya chadema na nimegundua tatizo ni dogo sana. KILA KIONGOZI ANATAKA AWE RAIS.
Hii ni dalili kuwa kuna watu wana njaa kali sana humo na mawazo yao yote ni kuwa wakiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuanza kula mpaka washibe. Kwa nini Zito alipotamka anataka kugombea urais wanachadema wamchukie kiasi hicho? si wangesubiri tu wakati wa kupiga kura wamtose kuliko kuanza kumtukana hapa jf? Mbona kimewaudhi sana hiki kitendo? hapo kuna mtu ambaye mimi nadhani ndie presidential material hajasema kitu ... TUNDU LISU . huyu naye akifungua kinywa tu aseme neno rais bila hata kusema atagombea basi ngumi za uso zitaanza tena hapa JF.
Hizi dalili zote zimewatisha sana watanzania kiasi kwamba wameona kuwaachia nchi chadema ni sawa na kuwaacha fisi wakutunzie bucha lako, hapo ujue hakitabaki kitu.
MODS kama lugha niliyotumia siyo nzuri naomba muirekebishe kutumia neno fisi sina maana ya kutukana ni mfano tu wa mnyama kwa sababu nisingetumia sima kwa sababu simba hali nyama iliyokwisha chinjwa na nisingetumia mamba kwa sababu mamba wanakulaga mlo mmoja tu kwa mwezi lakini fisi haridhiki
chadema+copy.jpg

Tatizo lenu magamba ni kuandika mambo mengi lakini hoja hakuna. Hivi katika haya yote ulikusudia kuandika nini?
 
Mods it is time sasa tuwe tunaona thread za kujenga na si za kipuuzi kama hizi za kuondoa watu kwenye mada .Huyu mjinga anawezaje kuja kutusi watu hapa mko kimya ? Yeye ana uchungu upi ? Chaema hawezi kuwa yeye angalia hara maandiko yake yalivyo .
 
Yaani wewe unatuona sie watoto hatukioni kinachoendelea hapa jf , ZITTO, SAA SABA, MAMUYA wanavuana nguo hapa live hadi sms zao wanaziweka hapa , na huo unaita sio mgogoro.
kama ni ndoa basi hii ndoa ya kikurya kutwa kudundana ndio mapenzi

Sasa kama wamedhurumiana unataka wakavuane wapi?
 
Yaani wewe unatuona sie watoto hatukioni kinachoendelea hapa jf , ZITTO, SAA SABA, MAMUYA wanavuana nguo hapa live hadi sms zao wanaziweka hapa , na huo unaita sio mgogoro.
kama ni ndoa basi hii ndoa ya kikurya kutwa kudundana ndio mapenzi

Ama kweli mnajituma kweli TUNTEMEKE and his Co. Hata kama ni mgogoro ni wa kawaida tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom