Usha flirt naye sana

Usha flirt naye sana

Jf,bana ndo maana nimegoma kuondoka humu,kwa haya mautamu,Mx
 
Huo ndio mpango mzima mbona tangu mwanzo?:A S-coffee:

Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa...........sikuwa nimewaza zaidi Kaizer.....unalo!

Ninatambua hilo,ila tu tulikubaliana unipitie home twende wote kanisani,naona italeta tabu...ndo maana nikasema tukutane church!
 
Michelle my Sweetie is so Lovable.... AND Dearest you are so Lovable (hata kwa mimi mwanamke mwenzio) hivo basi such a match as much as nina confidence utafikiri ni kiwanda juu ya Sweetie lazima nitishike kidogo (hasa ukizingatia nina msala ndani ya nyumba); Hata hivo sababu it is you..... Nilikua na hope kubwa sitampoteza sweetie kwako.... I think wengine kwa post nilo ku qoute hapa... Watajua Why I Missed you and demanded urudi jamvini.... Why I Love you and Why I trust you..... AshaDii says THANK YOU For this WONDERFUL Post.....

Dearest, me wish the best...nakupongeza tu kwa uwezo wako wa kuondoa ujeuri wangu....anagekua mtu mwingine tungepambana kweli...ila wewe nimesalimu amri na itabaki kuwa hivyo...siwezi kukuudhi manake zile siku ngumu sana kwenye maisha yangu,nikikuita una- lift spirit yangu mpaka angani in a very genuine tone....Michelle LOVES, respects you and appreciates the trust you have for her...She trusts you tooo.....never dissapoints.....! Cantalisia yuko wapi jamani.....lol
 
embu watu rudini na ID zenu za Darhotwire,

PapaK kasharudi, wengine vipi??, hakika inawezekana watu wengi tunafahamiana humu, basi tu

Hahahaha
Umenikumbusha mbali sana Dar Hot wire
Ila hata DHW nilikuwa natumia ID hii hii
PapaaK sijamnasa aise maana tulikuwa na kuonana nae nishaonana nae ngoja nimtafute humu
 
Hahahaha
Umenikumbusha mbali sana Dar Hot wire
Ila hata DHW nilikuwa natumia ID hii hii
PapaaK sijamnasa aise maana tulikuwa na kuonana nae nishaonana nae ngoja nimtafute humu

Duh! DHW
Unanikumbusha mbali sana nilipokuwa chuoni
 
Dearest, me wish the best...nakupongeza tu kwa uwezo wako wa kuondoa ujeuri wangu....anagekua mtu mwingine tungepambana kweli...ila wewe nimesalimu amri na itabaki kuwa hivyo...siwezi kukuudhi manake zile siku ngumu sana kwenye maisha yangu,nikikuita una- lift spirit yangu mpaka angani in a very genuine tone....Michelle LOVES, respects you and appreciates the trust you have for her...She trusts you tooo.....never dissapoints.....! Cantalisia yuko wapi jamani.....lol

Pamoja saana Michelle, Pamoja saana Dear.... Hii post carries my own words thus the blue is reciprocated.... Nashangaa tu nae Sweetie kakimbia sijui, lol. Saizi nawaamini you can go on, or mood imevunjwa tayari?

Nakwambia Cantalisia ni mwoga huyo! lakini atarudie mwenyewe na kukusoma hapa....
 
wacha tu mkuu!ni mdogo wake kabisa na mama yangu mdogo(mzee wangu alioa tena baada ya miaka kadhaa) so hata huyo mamaangu mdogo hakuwa mkubwa kihivyo.mi niliuliza tu jina lake na yeye akanitajia tu mawili,tena yote ya kizungu.ila kwakuwa ndo kwanza nilikuwa nimemwona,nilijali zaidi tamaa yangu tu.sema tu nilikosa zana ila yale mengine tulimaliza kabisa!

Kweli mkuu ulikamatika
Yaani pale nadhani ardhi ingefunguka ingekuwa bora sana kwako
Ila siku nyingine ujifunze kuuliza na kudadisi vitu vidogo vidogo kabla ya kuanza mambo yale maana unaweza kukuta ni nyumba ndogo ya baba na wewe unajipeleka
 
Duh! DHW
Unanikumbusha mbali sana nilipokuwa chuoni

Same here mkuu
Hili jina nimelitumia muda mrefu sana na halijawahi nikatalia kila ninapolitumia kama user name
Ndo maana hata humu nikalitumia
Muda sana na ilikuwa na ukurasa wa Mapenzi na Mapendo duh unakutana na Dinnah na Mabel ni balaa
 
Mr Rocky,

Kule nilikuwa naingia ingia lakini zaidi Youngafrican, sijui ilikufa iile?
 
Usisahau siku zote adui yako ndo rafiki yako.

Na rafiki yako ni adui yako.

Hapo inabdi muaendelza uadui tu.
 
Mr Rocky,

Kule nilikuwa naingia ingia lakini zaidi Youngafrican, sijui ilikufa iile?

Ilikufa bana
mambo ya picha za ajabu zilikuwa zinatumwa mle unakuta una email kibao za masuala machafu watu wakajiondoa
 
Pamoja saana Michelle, Pamoja saana Dear.... Hii post carries my own words thus the blue is reciprocated.... Nashangaa tu nae Sweetie kakimbia sijui, lol. Saizi nawaamini you can go on, or mood imevunjwa tayari?

Nakwambia Cantalisia ni mwoga huyo! lakini atarudie mwenyewe na kukusoma hapa....

[h=2]JamiiForums Message[/h] Kaizer, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:

  1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?
  2. If you are trying to post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.

:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:

yaaaani Kaizer UMENICHEKESHA hadi machozi..... :lol: :lol: :lol:

yaani kicheko cha kutoka rohoni the way Umenifurahisha.... THANKS Love....
Nasikitika tu umetoa siri kua you now don't have access.....Lmao.... Dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom