Usha flirt naye sana

Usha flirt naye sana

Kadadaa nimemficha nyumbani hajamaliza kazi za shule.....anataka kwenda kwa jirani kila saa....lol

mwambie dada mkubwa anamtafuta ,,ukimbana sana atafeli huyo ...si unajua anatakiwa kupata fresh air sio kila saa ndani?
 
Lol, ku-flirt tunakoongelea kwa mtazamo wangu ni kule kulikozidi, yaani hata details za ndani kabisa mnapeana PM as if mmeoana....!

Lol, washakusoma mkuu....!

Umeona eeh...hivi Michelle, inawezekana kuflirt baada ya kuwa mmeonana?lol
 
mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
kaka hapo hakuna ambacho utakuwa umesaidia,facebuk watu wengi wanatumia majina yao ya ukweli,,sasa mmebadilishana majina anaenda facebuk kumbe ni mama ako mdogo au mdogo wako na tayari cyber sex ishapita na mambo mengine kibao tu,aibu ipo pale pale aisee
 
Hii Kweli kabisa
 
Umeona eeh...hivi Michelle, inawezekana kuflirt baada ya kuwa mmeonana?lol

Inawezekana kabla ya kuonana na baada ya kuonana ndo ikazidi kabisaaaaaaaaaaaaa manake hata vipoint vya ku-flirtiana unakuwa navyo zaidi...baby your chest...mmmmmhhhh...lol....acha utani basi!
 
He he he, thats the best...kwanza hapo najua nina mtu anayempenda Mungu(thats No 1 to me), then anampa Mungu muda na anaabudu....nitake nini zaidi? uzuri wa sura/mwili na hela hauna thamani ya mwanamme anayempenda Mungu na mwenye imani.
Kaizer, ukiacha kunipitia tu jumapili,unanipoteza....!:nerd:

Awesome....kusema kweli njia ile iendayo kwa baba ni nyembamba so ukimpata mtu mnaweza kumkumbuka Mungu thats the best (achana na wale wanaosema hakuna Mungu,,ni wapumbavu tu)
So nitakupitia kama kawaida Michelle

Sio kumkumbuka Mungu,Mungu anakuwa sehemu muhimu ya mahusiano yenu na kila mlifanyalo,Mungu ndiye kiongozi na lolote linalowezekana kuepukika kufanyika lisilompendeza halifanyiki.....lol

Nitakusubiri Kaizer kama kawaida! Thanks oooohhh!

:smash:

Mchokozi tu huyu sweetie umemuona eeh?

Sweetie are you lipizaling? You know ODM was lying eeh? Please don't....

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa.....mwaka mpya na mambo mapya dearest...Smile alinifundisha ku-date wengi then out of them choose one....lolest!

Jamani Michelle mbona unataka kuniua? Dah! :hatari:

Kaizer & Michelle,

Love in ze air?

I see you see what I see..... :A S-heart-2:

Shem hii imekaaje kaaje!!!
Mbona km kapromo fulan hv?
Nakukumbusha tu kuwa kuna ulinzi shirikishi na polisi jamii kila uendako,kwa hisan ya Big sisy!!!

Cantalisia ninavokupenda mdogo wangu... asante kwa simu (hapa ni abiria chung mzigo wako!) :canada:
 
Mimi kwa mtazamo wangu sio embarrassing kivile.... Tatizo huja hapa.

  1. Wewe ni kijana alafu kumbe huyo mhusika age sawa na mamako.
  2. Wewe ni mdada/mwanamke alafu kijana mwenyewe ni 19/20 hivi.
  3. Mnafahamiana kabisa to the extent kila mmoja ajua hadi mke/mmeo na wote hua mnapotray ni wastaarabu.
  4. Ni ndugu yako kabisa wa damu.... Gosh!
  5. Ulivokua unategemea alivo sivo. mfano if you thot yupo kama Denzel Washington unakutana na the opposite! lol

Hiyo ya kwanza na ya tano noma sana! Kuna demu aliwahi kunizidi ujanja miaka kadhaa iliyopita, akanitega yupo ofisi fulani tuonane kumbe yupo opposite na Hiyo ofisi! Nilipofika aliniona kabla sijamuona! Nilipompigia ndo akaniambia geuka unione!! Lol !!!!!
 
Inawezekana kabla ya kuonana na baada ya kuonana ndo ikazidi kabisaaaaaaaaaaaaa manake hata vipoint vya ku-flirtiana unakuwa navyo zaidi...baby your chest...mmmmmhhhh...lol....acha utani basi!

hahahah Michelle u have been there already eeeh.....sasa itabidi kuongeza nguvu somo la Bible studies.....
 
Hiyo ya kwanza na ya tano noma sana! Kuna demu aliwahi kunizidi ujanja miaka kadhaa iliyopita, akanitega yupo ofisi fulani tuonane kumbe yupo opposite na Hiyo ofisi! Nilipofika aliniona kabla sijamuona! Nilipompigia ndo akaniambia geuka unione!! Lol !!!!!

Na mara nyingi it is better huyo ulie mnae onana nae umuone wewe kwanza ndio pouwa...lol... Unajiuliza maswali kama....

  1. Muonekano wake waendana na wangu.
  2. Is s/he the way nilifikiria atakua?
  3. Is s/he above/beneath me... maana waogopa atakudharau.
  4. Unamfahamu? Yaani ushawahi onana nae?
 
Ndio maana mimi sitaki kukutana na MEMBER yeyote wa JF, nitajichimbia hukuhuku KAZIMZUMBWI..................LOL
 
:smash:

Sweetie are you lipizaling? You know ODM was lying eeh? Please don't....

Jamani Michelle mbona unataka kuniua? Dah! :hatari:

I see you see what I see..... :A S-heart-2:

Cantalisia ninavokupenda mdogo wangu... asante kwa simu (hapa ni abiria chung mzigo wako!) :canada:

Usikubali maneno maneno yakutenganishe na sweetie wako Kaizer, ila ukae ukijua watajaribu,nakuaminia kwa sweetie management....namuacha Kaizer wako, ila huyo Cantalisia ataipata...msichana mzuri na mdogo hivyo anakuwa na tabia za uchonganishi....tumetoka mbali dearest,siwezi kukuua na nimeacha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom