nipo shosti kazi mingi na shem wako usiku anakabaaaamwenzangu nami sikuelewa,
miss u smile jana sikukuona kbs yan.
nipo shosti kazi mingi na shem wako usiku anakabaaaa
mimi eeeh akigeuka tu ishakula kwake shostihahaha alaa kumbee.
pole na kazi dia, afu regards kwa shemu anakabana mpaka penalty duuh vzr lkn.
ila si anakuona mtoto mwenyewe bila kukukaba mmh ameliwaa.
Na kubaya zaidi anaflirt na mjukuu wangu mrembo Smile.......... hatari sana hii!
Tehteh si nimekumbuka tu yule workmate wangu nilofuma I'd yakeUsicheke...
