Jamani acheni tuu. Zamani kama 10yrs back nilikuwa nawasiliana na msichana mmoja wa nairobi, tukafahamiana zaidi mpaka kila mmoja akatamani kuonana na mwenzake. Siku moja nikapata safari ya kikazi nairobi, nikafurahi kweli coz ningeonana na rafiki yangu. Nikamwambia nakuja naoirobi, akafurahi sana akatamani pia nifikie kwake ila nikakataa. Nilipofika nairobi, kama baada ya siku2 tukapanga kukutana. Kosa langu sikuweza kujificha kwanza so tukaonana direct. Jamani nilishtuka sana coz alikuwa ana sura ya utatanishi mpaka nikaogopa. nilimwambia nina haraka nitamtafuta kesho, nilipompiga mgongo tu,nika delete contacts zake na sikuwasiliana naye tena mpk leo. Ogopa kukutana na sura ambayo hukuitegemea...