Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
hahahah Michelle u have been there already eeeh.....sasa itabidi kuongeza nguvu somo la Bible studies.....
Tuwe tu tunaonana kanisani,sitaki kabisa kumuudhi dearest wangu....bye bye!
hahahah Michelle u have been there already eeeh.....sasa itabidi kuongeza nguvu somo la Bible studies.....
Jaman Michelle,Usikubali maneno maneno yakutenganishe na sweetie wako Kaizer, ila ukae ukijua watajaribu,nakuaminia kwa sweetie management....namuacha Kaizer wako, ila huyo Cantalisia ataipata...msichana mzuri na mdogo hivyo anakuwa na tabia za uchonganishi....tumetoka mbali dearest,siwezi kukuua na nimeacha!
@Michelle: hii avatar bomba kuliko hata ile ya mwanzo!Usikubali maneno maneno yakutenganishe na sweetie wako Kaizer, ila ukae ukijua watajaribu,nakuaminia kwa sweetie management....namuacha Kaizer wako, ila huyo Cantalisia ataipata...msichana mzuri na mdogo hivyo anakuwa na tabia za uchonganishi....tumetoka mbali dearest,siwezi kukuua na nimeacha!
Tuwe tu tunaonana kanisani,sitaki kabisa kumuudhi dearest wangu....bye bye!
@Michelle: hii avatar bomba kuliko hata ile ya mwanzo!
@Anti: sasa nataka nione lile stress la how to manage unapo rushwa roho utali apply vipi hapa.
@Uncle, shkamoo.
@Maundumula: yamekukuta nini? mbona umekuja na hii mada wakati ndio bado mwenzio nimegundua utamu wa PM?
@Maundumula: yamekukuta nini? mbona umekuja na hii mada wakati ndio bado mwenzio nimegundua utamu wa PM?
Nilikua shule, ndio tumetoka saa hizi Uncle.Marhabaaa. mbona umechelewa hivi mwali?
Kuna siku nilipita nyuma yako kuchomeka sim kwenye hiyo switch nyuma yako offisini nikakuona uko JF. Sasa nimesha ona ni bora nisiku PM wewe. lolMwali,
Bado hayajanikuta lakini huwa na imagine ninavyoishi hapa kibaruani kwangu yaani ikitokea sijui nitakimbilia wapi , sijui nitoe notice 24 hrs nikisngizia mazingira hatarishi ya kazi :lol::lol:
Mmmm Mwali una m PM nani tena wakati maundumula nipo hapa :tongue:
kwa uso wa mbuzi huu utamuogopesha mwenzako
Usikubali maneno maneno yakutenganishe na sweetie wako Kaizer, ila ukae ukijua watajaribu,nakuaminia kwa sweetie management....namuacha Kaizer wako, ila huyo Cantalisia ataipata...msichana mzuri na mdogo hivyo anakuwa na tabia za uchonganishi....tumetoka mbali dearest,siwezi kukuua na nimeacha!
Jaman Michelle,
Mwenzio nimetimiza wajibu wa kazi inayoniweka mjini atiii!
Mie wala sijachonganisha nimemkumbusha tu shem kuwa niko kazin asijeona labda nategea!!!
Nisamehe mwenzio dada angu alikuwa analialia atiii!
@Michelle: hii avatar bomba kuliko hata ile ya mwanzo!
@Anti: sasa nataka nione lile stress la how to manage unapo rushwa roho utali apply vipi hapa.
@Uncle, shkamoo.
@Maundumula: yamekukuta nini? mbona umekuja na hii mada wakati ndio bado mwenzio nimegundua utamu wa PM?
AshaDii ,
Sorry madame, sikujua kama naharibu uhondo hapo.
Lakini mwenye macho haambiwi tazama:biggrin:
Kuna siku nilipita nyuma yako kuchomeka sim kwenye hiyo switch nyuma yako offisini nikakuona uko JF. Sasa nimesha ona ni bora nisiku PM wewe. lol
Jaman Michelle,
Mwenzio nimetimiza wajibu wa kazi inayoniweka mjini atiii!
Mie wala sijachonganisha nimemkumbusha tu shem kuwa niko kazin asijeona labda nategea!!!
Nisamehe mwenzio dada angu alikuwa analialia atiii!
@Michelle: hii avatar bomba kuliko hata ile ya mwanzo!
@Anti: sasa nataka nione lile stress la how to manage unapo rushwa roho utali apply vipi hapa.
@Uncle, shkamoo.
@Maundumula: yamekukuta nini? mbona umekuja na hii mada wakati ndio bado mwenzio nimegundua utamu wa PM?
Unajua nawaaamini sana. Imagine post zao zooote sikusoma nilikuja soma yako ndio ikanifanya nirudi kuzisoma....lol.....