mmmh,ndio zako nini hizo?dah .....acha tu........
tena na cyber sex mmeshafanya.....saana
halafu in real life wote mnajulikana kwa kupinga uzinzi....lol
mmmh,ndio zako nini hizo?dah .....acha tu........
tena na cyber sex mmeshafanya.....saana
halafu in real life wote mnajulikana kwa kupinga uzinzi....lol
washangaa nini? nikushanagae wewe kwanza!!
mmmh,ndio zako nini hizo?
mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
Dah!umenikumbusha mbali sala lol!Kama umepanga kukutana na mtu ambaye humfahamu:
1. Wahi kwene eneo la tukio
2. Kaa kwene kona, sehemu ambayo unaona kwa urahisi watu wanaoingia. Muulize amevaa rangi gani?
3. Ukimuona mtu ameingia anang'aa ng'aa macho na pengine amevaa rangi hiyo, ujue ndio huyo.
4. Ku komfemu jidai kum - bipu kwene simu. Ukiona anapapasa pochi kutoa simu, na ukagundua umeingia choo cha kike, zima simu haraka, jidai unaenda toilet, tokea mlango wa nyuma, kula kona!
5. Au unaweza kujikausha tu ukaendelea kupiga stori na wadau wengine ila simu iwe off
Ndo maana full kunizungusha pm kuonana na ww,MxNdio maana ni bora kuto onana kabisa! lol
Dah!umenikumbusha mbali sala lol!
Hii nilishaitumia siku moja bana,
Nilikubaliana kukutana mahala na mkaka na hatukuwahu kuonana hanijui simjui,
Basi nikawahi kufika eneo la tukio moyo ukiwa unanienda mbio balaa kwa sijawahi kwenda kukutana na mtu simjui,
Basi jamaa akaja nikamuuliza kavaje akaniambia rangi ya tshet tu basi nikawa makini kuangalia kila anaeingia,
Hamad kaingia mtu aliestua sana mara akawa anapiga simu nimjua khaaaa!
Sijui ndio usharobaro kavaa pensi oversize msinglend juu ya tshet,kasuka nywele huku ana heren jamann jaman,
Kuangalia vizuri kavaa machen chen yale makubwa yan hizo swaga zake nikawa nishamchoka kbs!
Kwa kweli kwa vile sina ujasiri hata wa kusimama na mtu wa ivo hata sekunde,nilizima simu na tukapisha pale mlangon nikasepa zangu kwa aman na tangu siku hiyo nilikoma siwezi kwenda kumuona mtu nisomjua kbs!!!
katafute filam inaitwa
YOU HAVE GOT MAIL'
watu walikuwa wapenzi mtandaoni,wanashauriana na kupeana mahaba
wakati in real life ni maadui hawaelewani....lol
The Boss niliiona ile movie mwaka jana ndo haya ya JF mtu mmoja ni mkubwa tu tunafanya nae kazi ,Nikaenda kwenye meza yake nakuta JF page nikakodoa na kuona jina lake lol nakujiuliza kumbe huyu ndie fulani lol nilikauka kama sio mie FL1 ...
Kama umepanga kukutana na mtu ambaye humfahamu:
1. Wahi kwene eneo la tukio
2. Kaa kwene kona, sehemu ambayo unaona kwa urahisi watu wanaoingia. Muulize amevaa rangi gani?
3. Ukimuona mtu ameingia anang'aa ng'aa macho na pengine amevaa rangi hiyo, ujue ndio huyo.
4. Ku komfemu jidai kum - bipu kwene simu. Ukiona anapapasa pochi kutoa simu, na ukagundua umeingia choo cha kike, zima simu haraka, jidai unaenda toilet, tokea mlango wa nyuma, kula kona!
5. Au unaweza kujikausha tu ukaendelea kupiga stori na wadau wengine ila simu iwe off
Na kweli ni cheki bob,Pole sana huyo ni cheki bobu:lol:
Duh, kaazi kweli kweli - Lizzy
Bora sie hadi tutoke huku Nkasi hadi tuonane sura zitakuwa zishabadilika.
@AshaDii, umejuaje kama jina langu ni local name afu nimeli-rebrand?
Na kweli ni cheki bob,
Maana zile swaga na mie mluga luga lol
Nilihisi dunia yote na watu wake watastop shuhuli zao kwa muda na kunitizama mie na huyo cheki bob!
Na kweli ni cheki bob,
Maana zile swaga na mie mluga luga lol
Nilihisi dunia yote na watu wake watastop shuhuli zao kwa muda na kunitizama mie na huyo cheki bob!
Yani acha kbs,pole Cantalisia, so baada ya hapo ulimreject kabisa?? lol sipati picha mimacho ilivyokutoka