lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna siku Kaunga alisema hapa, Life of a woman begin at 30 nikamuona mwanga tu, hana lolote life of a woman ends at 29 anajua nini mdada wa kigomaa. Over the years nimerealise IT THE TRUE FACT 200%. Nakubali nilikurupukaa, na nachukua nafasi hii kukuomba radhi ndugu Kaunga hadharani you could never be any righter. Uliacha kupiga mayowee nimeyaonaa mwenyeweeee a dunia.
All these years nilukuwa najua and you cold not convise me otherwise best years of a woman ni 22 to 28. give or take max ni 21 to 30. Kumbe nilikuwa nimepoteaaa kitambooo. Na imenisumbua sanaa maishaniii. Imenicostiiiiiiiii sio kidogo.
Hii theory ni ya kipuuzi ya wamama wa nyumbani wanaokuna nazi. Sio ya kufuata kabisaa. I spent most of these vital years chasing for the wrong things at the wrong time, yaani ilikuwa mshike mshike. Mi siongei bila FATCS sasa ngoja niwape FACTS kwanini nimekubaliana na Kaunga jioni hii.
FACT NO 1. WEAK ECONOMY.
Wengi wetu maisha ya kati na chini mwanamke huwezi pata uchumi wa kueleweka at this age ya 21 to 30. Huweziii hata uuze K na Tigo juu, ongeza masikio na pua uza vyotee bei ya mnada huwezi kutokaaa. Huwezi kuta mwanamke under 30 ambae hana baba tajiri ofisi yoyote anasukuma Range, BMW, Benz, Prado hata Harrier kwa nguvu zake tu. Nadra sanaaa.
At this age hata kama shule umeenda mpaka PHD experience hunaa, so mshahara mbuziii unakuwa unaganga njaa tu umelost kwa hio hata kwenye mahusiano utapata wanaume wachovu tuuu sio siri. Mimi nilijikuta natumia nguvu sanaaa kupata madanga ya maana na haikuwa rahisi mpaka nikahisi nina gundu, kumbe kwa maisha yale ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
We mtu mil 10 kutulia kwenye account ndoto afu unataka mwanaume wealthy atakupendea nini? Kwa kipi ulichonacho? Umsaidie nini? Sana sana atakuomba maku basiii.
Ila sahivi umri umeenda, vipromotion tumepitia vingi, apprisal tumepitia nyingii, vikampuni tumebadilishaaa kwa hio kidogo salary slip atleast, tumejifunza biashara, tumejifunza fogery, wizi, kufuga kuku humo humo, kidogo hela bank inakaa. Tumenunua vi asset hubabaishwiii.
Akiongelea nyumba mfuko wa cement unajua bei yake, dirisha la aluminium unajua bei yake, atakubabaisha nini? Hata hela unajua thamani yake huombi hela ovyo. Ukubwa dawa. Hata ukikutana na mwanaume akitaja vyake ukataja vyako mnaheshimiana kabisaaa, na mnaelewanaa vizuri tu, wote wakongwe. Tena kiserengeti kina kutetemekea.
2. 0 EXPOSURE.
Umri wa 20s hasa zile early exposure kidogo inakuwa tatizooo kubwaa tu. Hujaenda kokote, hujatoka nchiniii utaongea nini ndo kwanza umetoka chuoo, umeanikwa juania miaka 3 huna kibarua. Ethiopiana yenyewe hujapanda.
Ila Alihamdulliah, ukigangamala ofisini vi training hivi,
vinakuosha macho, unapata passport, unaenda ngambo kidogo kwenye nchi za kiajemi kuosha macho. Unaenda bara la Asia kuchukua mizigo ya kibiashara unaosha macho. Unaenda holiday destinatios Alihamdulliah. Hapa hata ukipata kibwana Marshallah unazo story zisizokutia aibu. Akitaka Emirates we ushajiachia na Ethiopian sio kesi sanaa, Kama Mungu wako mkubwa hata Quatar utakuwa ushapanda, hata Fastjet basi.
Nchini kwenyewe unakuwa umetalii, ngorongoro sijui ngurudoto, sijui 4 seasons serengeti ushaenda kwenye interview umelala pale sio kesi ushalala, mara siju Le gamma hapo zenji, ushaingia, sijui Lamada hapa town ushaingia.
Hata wale wanaume exposed ukikutanaa nao unajitutumua. Twende wapi sijui uamwambia tulia twende huku. I phone ushamiliki, Apple ushatumia hata ya ofisi. Yani japo hizi kazi hutajiriki ila ushamba tu unatoaaa. Exposure kubwa inakuja witha Age and efforts
3. YOU CAN AFFORD BEAUTY.
Hela ya kuvaa kwa kina TK Fashionz kijitonyama unayooo. Huvai lonyaaa za Kkoo wala Mitumba ya Mwenge na Makumbusho ambayo watu wa 20s ndo zao leo kesho. Hata sisi ndo ilikuwa zetu. Nguo laki 2, sio kesi, nipe 3 niandike. Nilivoanza kazi nilimsindikiza Cashier Tausi Fashionz akachukua nguo za 200,000 kama 4 nilitoa machooo usisikie.
Ila sahivi naona kuna certain age kuna vitu hutakiwi vaaa. And men can tell from nguo zako the class you are. Sasa shoga unavaa mitumba untaka wanaume wenye harrier utapata wakinga wa Kariakoo wenye hela za madawa shauri yako. Tunajitutumua kwa wanaume kujifanya EXPENSIVE huko 20s kumbe wanatuchora si wako ofisini wanajuaaa hizi za 15 kariakoo, hizi Uturuki laki 2.
Ndo maana unashanga mwanaume hakupi hela ya maana ya nini wakati hujui kuitumia ikakuzoea. Anakupa elfu 50 ikizidi sanaa laki. Hahahaaaaa! Udogo nao mzigo. Huwezi uka afford hivi vitu bila umriiii kukutupa mkono. Nywele unashona za ghaliiii, pedicure sijui madudu gani bado hata sijaya afford hata mimi. Sauna sijui. 30s hunyoi na Topazzzz hahaaaaa! Unafanya waxing, mwanaume akikukuta lainiii hakuna mipele ya Topazz. Anajua haya maji marefu lazima atoe hela ya maana. Unapaka lotion mkono lainiiiiii.
4. YOU CAN AFFORD A MAN.
Mwanaume hata hamgombani, vi sh 200 vyake huna mda navooo, unawaza ngiht zako za maana ofisini, bonus ya mwaka huo, allowance za ukuu wa idara. Mdada wakowa dukani kakurushia bei gani ya mauzo, mpangaji kakulipa, matikiti yako bagamoyo yanaendaje, kuku wako kibamba hali yao je.
Yani una mambo kama million kichwani kugombana na mtu, ya msingiii na maana sana kuliko hata huyo mtu. Huna mda wa kufatilia najambia wapi wala ana bwekea wapi. Katembea na nani, kachepukia wapi. Hata akikwamba haikusumbui kichwa unamuuliza tu nikukopeshe bei gani? Nakukopesha nakupaa? Hahahaaa! You can enjoy sex sababu huwaziiii, na hufanyi sex kwa shida flani au kwa sababu flani.
Unafanya coz umejisikia. Na hata usipofanya hupungikiwi chochote. Alaaaaa. Na mwanaume ukikaa nae mnayapanga yanaenda na automatically he will respect you. If not you he will respect your money and what you bring on the table. Hakujaribuu wala kukupima ujinga ujingaa.
Bwana weee in 20s wanaume wana majaribuuu na masumbufuuu, sijapata onaaa. Na kuvumilia kote mtu ndo anaongeza doziii. Kumbe maskini you cant afford a man unafosi tu kingi kwa wanume badala ukatafute pesa ujikomboe kimaisha.
ALL IN ALL NDUGU ZANGU UMRI UNA CHALLANGE ZAKE ILA PIA UNAKUJA NA BARAKA ZAKE. KUNA VITU BILA UMRI HUWEZI PATA NA HATA UKIPATA KIUJANJA UJANJA HWEZI KUVI MANAGE VIKAENDAAA. WANAWAK WENZANGU MSIPOTEZE UMRI WENU KWENYE MAMBO SIO YA KUJIBOREHSA KIMAISHAA MATOKEO UMRI UNAWAKUTA HAMJAJIANDAA, HAMJAYAJENGAA, HAMJAJIPANGAA NDO INAKUWA KUDHALILIKA MWANZO MWISHO.
DADA MTU MZIMAA UNAENDESHA KITU HAKIELEWEKI, UNAMUOMBA LIFT MDOGO WAKO WA MWISHOO, PAKUKAA HUNA, CAREER HUJAIJENGAA, BWANA ALIEKUZUZUA KAKUZALISHA KUKTELEKEZAA, UJANA UMECHEZEA, NYIE NDO MNAFANYA WATU WAUOGOPE UMRI.
Mimi mwenyewe nishapotea kabisaaaa, Mungu tu kaamua kuninusuruuu alasiriii hii ishakaribia jioni, ndo maana nimewaandikia hapa mwenye sikio na ASIKIE. Umri ni kama MOTO ukijitia mjuaji kutaka kuukaza lazima ukuunguze nywele zote huko. Oooooh!