Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Mjumbe wa amani kuhubiri kuua....Ni kitabu kipi cha dini hakijaagiza kuua? kila kitu ni sawa kulingana na uhitaji wake.
Basi kama ndio hivyo kuwa kila kitu ni sawa kutokana na uhitaji wake basi hata huyo aliyetupa moyo wako ingali ulimkabidhi basi ilikuwa sawa kutokana na uhitaji wake wakati ule!! Ila bado haujaniambia maana ya 'bata mweusi'.