Story yako ni nzuri kwakweli.........inaonyesha jinsi gani bongo movie imewaathiri kizazi cha kisasa..........
Okay ngoja na mimi nikomenti kibongo movie......
1.Jambo la kwanza kujua ni je.........huyo mwanaume ana matatizo gani ya akili maana kwanini akae na demu ndani akijua wazi ijumaa ni siku ambayo unakuja na lazima utamtafuta........na upo free kuja kwake.....
2. Imekuwaje mlango akaacha wazi na akijua wazi yupo na mlupo ndani na mtu anaweza ingia kwa bahati mbaya akawakuta....
Daah ndo maana mie nafikiria sana nitamuoa nani hasa kwa kizazi hiki, ukiwaona njiani wanavyong'aa mwenyewe utakubali lakini kumbe kuna jitu limegegeda zaidi ya miaka mitano bila ndoa, yaani daah acha waumizwe tuu maana hawajiongezi kabisa hawa dada zetu. kama wewe mvulana unajitunza kusubiri ndoa halafu unakutana nalo la hivi duuh Mwenye-Ezi Mungu aniepushie MBALI KABISA.Sasa umkute huyu binti ameokoka yupo kwenye makanisa haya ya kinabii
.. Utasems ni malaika anashuka jinsi anavyonena kwa lugha.
Hakika wanaume kupata mke ni kaaziii..
Mungu akubariki sana...mimi sijawahi kubadili msimamo, hata mbingu zikishuka sitengui kauli Best.Utasahau tuu.My sio wew pekee uliyeumizwa niwengi ila wanasahau japo inachukua muda mrefu kupona kidonda.Nami niliumizwa na kuachwa na Pete mkonon.nilikat taama n kuapa kwa miungu yote sintajiingiza tena kwenye mahusiano.Ila nashukuru Mungu alinikutanisha n mume wangu japo haikuw rahic kumwamin ila xx nimeolew na Mungu katujalia mapacha.Usijali utasahau tuu
miaka sita ya uchumba uchumba au nn uhawala au nnMabibi na Mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe.Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake...He was more than a generous lover.Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana.Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.
MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu.Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana.Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu(kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye.Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea.Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi.Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani...nilichokiona sikuamini! yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? office mate wake wa kike?.Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea...jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, Kweli niliamua kuwauwa wote! potelea mbali, liwalo na liwe.Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu.Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi.Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo.Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni...nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.
Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani...alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu.Nimemwambia Mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi...siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?.Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo.Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote!!! wacha waishi ila sintarudiana naye ata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.
MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama.Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.
Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SINTOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo.Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
Mkuu nashukuru kwa yote,...usiwe na wasi wasi hata ukikutana na mimi sintajihusisha na mambo ya mapenzi wala ndoa...maisha yangu ya kimahusiano yashapita na wala siidai hii dunia chochote kwenye hiyo sekta,,,...kuna siasa, uchumi na mambo kibao kwenye maisha nitakayo jihusisha nayo, lakini KAMWE! siyo mapenzi.Daah ndo maana mie nafikiria sana nitamuoa nani hasa kwa kizazi hiki, ukiwaona njiani wanavyong'aa mwenyewe utakubali lakini kumbe kuna jitu limegegeda zaidi ya miaka mitano bila ndoa, yaani daah acha waumizwe tuu maana hawajiongezi kabisa hawa dada zetu. kama wewe mvulana unajitunza kusubiri ndoa halafu unakutana nalo la hivi duuh Mwenye-Ezi Mungu aniepushie MBALI KABISA.
Tulianza kama kawaida, ndio tulikuwa tunaelekea kwenye ndoa siku za karibuni Mkuu....ila kitu kama hicho hakitatokea tena kwenye maisha yangu.miaka sita ya uchumba uchumba au nn uhawala au nn
Niwasubirie nini?....nimeshawaacha ili wendelee.Uwadelete wakati vikojoleo ni vyao ?.
We chakufanya ungetulia sitting room na kugonja wamalize halafu wakukute umetulia tulii..
Mabibi na Mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe.Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake...He was more than a generous lover.Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana.Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.
MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu.Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana.Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu(kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye.Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea.Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi.Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani...nilichokiona sikuamini! yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? office mate wake wa kike?.Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea...jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, Kweli niliamua kuwauwa wote! potelea mbali, liwalo na liwe.Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu.Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi.Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo.Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni...nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.
Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani...alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu.Nimemwambia Mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi...siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?.Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo.Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote!!! wacha waishi ila sintarudiana naye ata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.
MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama.Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.
Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SINTOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo.Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kwanini mtu anitongoze kama hana mpango wa kuwa na mimi ?
miaka 6-10? haikubaliki huo ni uchochezi
Mkuu ata mimi nimejiuliza mno, eti Mama yake anadai Mwanae kajifungia ndani hali bali ni kulia tu....anasema ataweza kufa mimi nikamjibu akifa atakuwa amenisaidia mission niliyokuwa nimepanga.....ACHANE NA MIMI!Mwanaume kuingiza mwanamke ndani kwake siku ambayo ni lazima mkutane afu aache milango wazi tena jua linawaka??? Mimi nafkiri alikuwa amepanga kukuacha ila nashindwa kuelewa hili la kutuma watu hadi mama yake waje kukuomba msamaha kulikoni?? Kukusanifu au??? Pole lakini
Jina lako zuri Sana MJUMBE WA AMANI nimelipenda bureSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Ndo wanavosemagaSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Tuliza munkari mama, Ila ulifanya mambo jema kwa kutumia kila aina ya njia kupunguza stress kama kulia, kulala, na kushare hayo matatizo kwa mtandao ili ufarijike, cha kufanya hapo msamehe huyo jamaa we songa na maisha kivyakoSiyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Nimecheka sana. Sijui bata walimfanya nini huyu Mdogo wetu.Hahahahaha lol! Bata mweusi kazua kasheshe, kaa mbali kabisa na bata mweusi hajitambui huyu.