Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Nilijitoa kwake kwa kila kitu then leo ananifanyi upumba.vu? kwakweli halivumiliki Mkuu.
Wanaume ni Polygamy by nature. Na mwanaume kutembea na mwanamke mwingine haimaanishi kua hampendi wa awali, sometimes they just need a litter adventure.
Na nyie WANAUME mjifunze hapa, ukiwa na mpango wako wa kando aka mchepuko mpeleke Guest au lodge. Nyumbani kwako anatakiwa aingie mwanamke ambae unamuhitaji kwa moyo na ambae unataka kumuoa.
Huo ni ujumbe kwa wazinzi na waasherati woote.
 
Una wezaje kuishi na mwanamume kwa miaka mitano ndani ya uasherati!? Kwanini msifunge ndoa ya kiserikali au hata ile ya pamoja kanisani.
Au ndio kutaka kuwa na harusi kubwa na ya kufana!!
 
Duuuh alikukuta na bikra au ilikuwa ishaliwa kitambo? Kama alikukuta nayo huyu mwanaume hafai kabisa
 
Mambo mengine tunawalaumu wengine kumbe makosa ni yetu. Lini uliona uchumba wa miaka sita ukazaa ndoa? Ndani ya miaka sita mnaongea nini cha maisha ambacho mnapanga hakipangiki?

Ni watu wachache sana wanaokaa katika uchumba sugu wakaishia kuoana. Uchumba sugu ni sumu katika ndoa, tena uchumba unaochagizwa na uasherati, hauna matokeo mazuri.

Jilaumu kwanza mwenyewe kwa kukubali kutumika katika uasherati kwa miaka sita huku mkipanga na kupangua. Mkiambiwa mjitunze msitumike mnatunanga na kusema ni maisha yenu tuwaache. You just harvested what you saw!!
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Usijali kila mtu husema hivyo pindi anapotendwa with time hicho kidonda kitapona na utafall tena.
Halafu kama anaomba msamaha kiasi hicho msamehe tu mwanaume anaweza kugegeda mwanamke hata kama hampendi so wewe kumfuma na huyo dada usidhani anampenda kuliko anavyokupenda wewe
 
Mambo mengine tunawalaumu wengine kumbe makosa ni yetu. Lini uliona uchumba wa miaka sita ukazaa ndoa? Ndani ya miaka sita mnaongea nini cha maisha ambacho mnapanga hakipangiki?

Ni watu wachache sana wanaokaa katika uchumba sugu wakaishia kuoana. Uchumba sugu ni sumu katika ndoa, tena uchumba unaochagizwa na uasherati, hauna matokeo mazuri.

Jilaumu kwanza mwenyewe kwa kukubali kutumika katika uasherati kwa miaka sita huku mkipanga na kupangua. Mkiambiwa mjitunze msitumike mnatunanga na kusema ni maisha yenu tuwaache. You just harvested what you saw!!
And that is my chosen life.
 
Nimekupenda bure mtani...

Nina cousin naye alikaa kwenye huo uchumba sugu, wakazaa mtoto, mtoto akaanza shule(baby class) wazazi bado wanajiita wachumba..
Cousin akapewa mimba ya pili, kabla hajajifungua
mwanaume akatangaza ndoa na mwanamke mwingine, ndoa ikasomwa kanisani kwa mara ya kwanza, cousin ndiyo anagutuka usingizini kwenda kupinga hiyo ndoa, wakubwa wakamshauri atulie, asilazimishe mapenzi...

Watu mnakaa kwenye uchumba hadi mna expire bhana? Mnakosa hata ladha ya kuitwa wachumba..
 
Mtani, tukisema tunaambiwa "ni maisha yetu, mtuache". Ukweli ni kuwa uchumba wa miaka unaishia kuumizana tu. Sasa imagine huyo cousin wako, atalea watoto peke yake na machungu kibao, tuombe Mungu asiishie kupata depression!!
 
Uzuri huyo baba watoto wake ana Mpunga mrefu...

Huduma za watoto zote ni juu yake, na hata house maid anamlipa yeye.. Hiyo ndo neema ambayo cousin anatakiwa aishukuru.
 
Back
Top Bottom