Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Hongera, umemaliza vizuri, haka kasafari kanaweza kuwa kagumu on the way maana ulimzoea, ila jipe moyo maana ni maamuzi ya busara! sio mianaume mingine inakuja hapa kuomba ushauri wa kuacha au kutokuacha
Asante Mkuu, kwa kweli ni Mungu ndiye aliyepita katikati ndio maana sijafanya nilichopania.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa sasa utasema hivyo ila hasira zikipungua utabadili msimamo na kuanza kuvutiwa na njemba zitakazokuwa zinakukonyeza huku zikitabasamu.
Sijawahi kubadili msimamo toka nizaliwe mkuu...wala sitegemei kuanza hizo issue.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2011 hadi 2016 mnataka kufungua kampuni au? Miaka yote hiyo!!
 
Najua umefanya maamuzi ila kuyatekeleza ni ngumu sana. Miaka 6 sio mchezo,kuna pengo litatokea kwako na kwake na kuliziba itakua ngumu kidogo.
Ni vizuri ukamsamehe.
 
Hahahahahah ingekuwa kweli usingeandika ndefu hivyo, ila ni ujumbe mulua sana.
 
Kila nikifikiria usaliti na kata tamaa kabisa...mahusiano yana mambo mengi mno ya kuchosha na kuzeesha mapema.
 
kwa mbaaali naiona kama fiction story any way inaweza kua kwl probably.....ivo naipa 19% kuwa ni true imekutokea
 
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe kesho usitafute mganga
 
Haya kila la heri ukibadili msimamo wako rudi hapa uifahamishe kadamnasi ya JF, "Jamani hasira sasa zimepungua sana hivyo natangaza rasmi kurudi katika dimba la mahusiano kwa hiyo msishangae mkisikia MJUMBE WA AMANI kaamua kupenda tena."

Potelea mbali...sasa hivi hata nikione kitu ni kizuri namna gani, najua mbeleni mambo yatakavyokuwa.
 
Back
Top Bottom