Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Mabibi na Mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe.Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake...He was more than a generous lover.Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana.Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.

MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu.Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana.Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu(kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye.Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea.Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi.Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani...nilichokiona sikuamini! yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? office mate wake wa kike?.Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea...jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, Kweli niliamua kuwauwa wote! potelea mbali, liwalo na liwe.Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu.Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi.Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo.Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni...nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.

Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani...alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu.Nimemwambia Mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi...siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?.Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo.Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote!!! wacha waishi ila sintarudiana naye ata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.

MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama.Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.

Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SINTOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo.Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
Unaipoteza miakayote mitano mliyoishi kwauendo. Inawezekana amejutia labda umepchance atakuwa amejifunza!
 
Naomba kujua maana yako ya 'bata mweusi'. Kama hakuwa mchumba wako, hamkuwa mnaishi nyumba moja na mahusiano yamedumu miaka takribani miaka mitano ni vyema kila mtu katawanyika. Watu wanakabidhi mioyo kwa mikataba - ndoa kwa DC, sheikh, Padre, Mchungaji, au wazee wa mila.

Samahani, ila kilichonifuraisha kwenye hadithi yako ni pale 'mjumbe wa AMANI' anapohubiri kuchomoa roho za watu!
 
Shyeeeh...!!! sasa ndio nini kuzinguana hata internship yenu ya MD hamjamaliza.???
 
nani alikudanganya kama mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja hebu eleweni hata umpe tigo ya gold bado atashawishika ya chuma all in alla alichokosea ni kuleta mchepuko home kwake tu
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Pole sana rafiki. Tusiwalaumu wanaume wote ni mapungufu ya mtu na mtu. Nasi wanawake hodari wa kuumiza wapendwa. Sikulaumu kwa maamuzi yako ya wakati wa sasa maana wakati ujao utakuwa na maamuzi tofauti. Kudhulumiwa penzi ni sawa na kudhulumiwa uhai! Jipe moyo atapatikana mmoja wa kuutuliza moyo wako utasahau ingawa ni vigumu sana kumpata aliye mkweli. Welcome aboard sie wengine tuliamua kuachana kabisa na kitu kinaitwa kupenda na kupendwa waweza ugua ugonjwa wa moyo pasi na sababu kisa 'bata mweusi' kamsemo kako mwenyewe!
 
Best waweza kuwa role model, ila usinisukumie kwenye hayo makitu tena.
 
Te te teee pole sana, so story za humu hukua unaamini?

All men are polygamist 'by nature'. Pole sana maana hapo tayari una degree ya mapenzi...siku izi hakuna kupenda sanaaaaaaa hata sisi wahehe tumeacha kujinyonga be
 
Naomba kujua maana yako ya 'bata mweusi'. Kama hakuwa mchumba wako, hamkuwa mnaishi nyumba moja na mahusiano yamedumu miaka takribani miaka mitano ni vyema kila mtu katawanyika. Watu wanakabidhi mioyo kwa mikataba - ndoa kwa DC, sheikh, Padre, Mchungaji, au wazee wa mila.

Samahani, ila kilichonifuraisha kwenye hadithi yako ni pale 'mjumbe wa AMANI' anapohubiri kuchomoa roho za watu!
Mjumbe wa amani kuhubiri kuua....Ni kitabu kipi cha dini hakijaagiza kuua? kila kitu ni sawa kulingana na uhitaji wake.
 
Te te teee pole sana, so story za humu hukua unaamini?

All men are polygamist 'by nature'. Pole sana maana hapo tayari una degree ya mapenzi...siku izi hakuna kupenda sanaaaaaaa hata sisi wahehe tumeacha kujinyonga be
Asante mkuu.
 
Mabibi na Mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe.Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake...He was more than a generous lover.Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana.Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.

MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu.Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana.Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu(kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye.Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea.Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi.Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani...nilichokiona sikuamini! yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? office mate wake wa kike?.Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea...jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, Kweli niliamua kuwauwa wote! potelea mbali, liwalo na liwe.Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu.Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi.Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo.Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni...nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.

Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani...alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu.Nimemwambia Mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi...siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?.Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo.Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote!!! wacha waishi ila sintarudiana naye ata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.

MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama.Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.

Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SINTOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo.Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
Sasa mbona sijaona sehemu yoyote uliyotaka kusababisha murder case?au ulikuwa unaota?
 
Sawa Mkuu kwenye mahusiano ndo nishatoka huko, hakuna ninachodai wala kudaiwa...BTW nishapona nipo cool kabisa.
Ikiwa umeshapoa hilo ndio la muhimu, lakini mapenzi ni kama gari huipenda unapoinunua na huichukia siku ikiharibika. Naomba kukuuliza hivi kati ya Pediatricians, dentists, optometrists na gynecologists yupi daktari mzuri?
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.

Pole kwa yote..hizo hasira zikipoa hautajuta kuingia katka mahusiano kwa Mara nyingine..sio wote wako hivyo Ila tu mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mtu asiye sahihi na omba pia akuonyeshe sahihi kwako.maana mda mwingine tunapenda kwa tamaa zetu ndo maana yanakuwa Majuto baadae
 
Siyo leo, kesho wala uzeeni, kaka siijati mwanaume tena! kwenye maisha yangu.
Utakwepa Utakataa sijui utanunua Didlo,Sijui Maji ya Moto mwisho wa Siku Dushe linakusubiri tu na utajuta why umejichelewesha...Tu... Hayo Mambo yapo ndio maana Wenye Hasira hutafuta mtu wa Pembeni wa Kupoozea ndio Nyumba ndogo hizo hazina presha wala wivu... hebu nitafute ukielewa maelezo yangu...
 
Back
Top Bottom