Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Ili ID yako ichukuwe nafasi yake, UTAGEGEDWA TU... yaani nakwambia utayakumbuka maneno yangu...

Nyie wa hivyo mnajifanyaga mna misimamo sana kisa huyo mkoja amefanya ndivyo sivyo.. JE UNGEKUWA KWENYE NDOA..?!

Katika hasira utatoa viapo vyote kama vile vya ushahidi wa mbinguninna duniani, lakini HASIRA zikishakutoka ukabaki peke yako, utarudi tu mgegedo.... OTHERWISE WATU WAWE WANA-HIT NA KU-RUN au Punyeto itakuhusu.na pengine IMESHKUHUSU
Sina hasira, pili ninaweza kujimudu bila ngono.
 
Kusamehana ni jambo jema mkuu....kama jana ningendelea kuwa online siyo ajabu sasa hivi ningekuwa na ban ya maana....kwa kweli yaishe yote.
UNASEMW KUSAMEHEANA NI JAMBO JEMA..... halafu ata the same time HUTAKI KUMSAMEHE huyo uliyemfumania... DOUBLE STANDARD.
 
Kakikuwasha utakapeleka mwenyeweeee. Na atakagonga like never before.
 
Kusamehana ni jambo jema mkuu....kama jana ningendelea kuwa online siyo ajabu sasa hivi ningekuwa na ban ya maana....kwa kweli yaishe yote.
Pole sana puzia, jitafute kwa upya mkuu...usijaribu kufikiria kulipa kisasi utaidhibu nafsi yako kuangukia udipopapenda
 
Mkuu nashukuru kwa yote,...usiwe na wasi wasi hata ukikutana na mimi sintajihusisha na mambo ya mapenzi wala ndoa...maisha yangu ya kimahusiano yashapita na wala siidai hii dunia chochote kwenye hiyo sekta,,,...kuna siasa, uchumi na mambo kibao kwenye maisha nitakayo jihusisha nayo, lakini KAMWE! siyo mapenzi.
Vipi mlibahatika kupata mtoto katika mahusiano yenu?
 
Hakuna jambo zuri kama wakati,wakati huponya mambo mengi sana,hata haya yaliyompata sista hapa mpaka kutaka kufanya mambo ya ajabu mbele ya wakati ni cha mambo madogo sana,ukizingatia mambo yenyewe yametokea majuzi kushinda jana hata wiki haijapita,na jamaa kama ni mjuzi atasubiri muda upite ili mambo yapoe,baadae ataibuka halafu mwenyewe kiulaini unarudi japo kwa mkwara wa kutaka ndoa maana hutaki tena kuchezewa.
 
You know who you love, but you dont know who loves you.
 
Inaonekana kuua ni simple sana.....anyway pole kwa yaliyo kusibu na maisha lazima yaendelee......
 
Back
Top Bottom