Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

M nilijua umelusha panga likamkosa mtu.
After all hyo n mambo ya kawaida kwenye mahusiano msamehe yeye n binadamu ana mapungufu,ID yako ifanane na uhalisia.
Labda uwe single maisha yako ,asilimia 95 ya wanaume tuko hvyo sema kosa alofanya n kufanyia ndani.
 
M nilijua umelusha panga likamkosa mtu.
After all hyo n mambo ya kawaida kwenye mahusiano msamehe yeye n binadamu ana mapungufu,ID yako ifanane na uhalisia.
Labda uwe single maisha yako ,asilimia 95 ya wanaume tuko hvyo sema kosa alofanya n kufanyia ndani.
Nimesha msamehe Mkuu...kuwa single milele kwa sasa siyo option tena.
 
Wahenga wanasema time is the best healer, some of our problems are best cured with time. Kwa sasa naamini ni jazba tuu hizo, hilo linadhihirishwa na usemi wako kuwa huitaji mwanamme maishani mwako ( kitu ambacho ni nearly imposible sababu hutoweza ishi maisha yako yote yaliyobaki pasipo kugegedwa )

So jipe muda, utapona maumivu uliyonayo na pengine ukarudiana naye. Wahenga pia walisema zimwi likujualo halikuli likakwisha, huyo kama ulivyosema umemsoma vyema, mapungufu yake ni yako basi lichukulie hili pia ni pungufu lako.

Mimi ushauri wangu ni kwamba msamehe, muanze maisha upya. Kuhusu swala la kumfumania tayari una advantage mezani. Play well your cards. Ukifikia uamuzi wa kurudiana, never lose time, mwambie afanye utaratibu muoane.

Wengi wamesalitiwa but wamecarry on na maisha yameendelea. Mfano, Clinton alijulikana kabisa anamgegeda Monica tena ofisini but Hillary alisamehe and here they are, hakuna kosa lisilosamehewa chini ya jua.

Dah,

Hawa wahenge sijui sikuhizi wapo wapi waendelee kutoa misemo mipya. [emoji12][emoji12][emoji2][emoji2][emoji2]


Ushauri mzuri sana...japo yataka moyo !!
 
Pole sana sana dada....mimi ni mwanaume but trust me, i pretty well know how it feels. Most of us tumepitishwa kwenye hilo tanuri la moto. But we managed to move on.

Hata hivyo hivyo sikubaliani kabisa na uamuzi wako wa kujitenga na mapenzi permanently.

Nashauri ujipe likizo ya muda tu, sio ya moja kwa moja, huku ukifocus kwenye mambo mengine ya kimaendeleo na personal development.

Never say never bidada.
 
Miaka mitano ya uchumba!!!!!...ni wachache sana wanaoolewa.
 
Mambo madogo ya kukaa chini na kuyamaliza umeyachukulia kama jamaa muuaji. keshakuomba msamaha si ukubali muendelee na mipango yenu?
 
Kwani dildo hazisugui? tena unachukua ya size unayotaka na hizi za umeme unaweke temperature unayohitaji....hapo nitaitumia peke yangu kama nitahitaji lakini siyo huko kushea dushe kama duka la ushirika.
Dildo itakupa watoto? Au tayari unao Dada
 
Mabibi na Mabwana wa JF salam!
Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! pengine mida hii ningekuwa nahaha kutafuta mawakili wa kunitetea kwenye murder case.
NDUGU ZANGU IPO HIVI:
Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwanzia jun.12 2011 hadi Ijumaa iliyopita tar.2 sep 2016. Kwakweli tulipendana mno tena sana, tulijaliana na kushirikiana kwa kila jambo, Mimi nilipenda sana, nilimjali na kumheshimu kwenye kila kitu.Hakuwa mkamilifu kwa 100% ila nilitambua hakuna haja ya yeye kuwa mkamilifu hivyo nilimpenda kwa moyo wote, nilimwona ni sehemu ya mwili na maisha yangu mimi, kwahiyo nilimjali kama ninavyojali mwili na maisha yangu mwenyewe.Mapungu ya kibinadamu aliyokuwa nayo nilijisi kama vile ni ya kwangu so nilimuweka wazi kabisa ni jinsi gani nilivyompenda.
Kuhusu yeye siwezi kueleza yote, alinipenda hadi nikajihisi kwamba nina deni kwake...He was more than a generous lover.Alinijali kwanzia nje hadi chumbani nakote huko niliridhika na kujiona nimepewa kuliko nilivyostahili.
Kwa ufupi tulikuwa na mapenzi ya dhati sana.Kwa hicho kipindi cha miaka mitano na zaidi, tulipata furaha iliyosaidia kupooza changamoto za maisha tulizo kabiliana nazo, It was like a single soul living within the two separate bodies.Wote tulikuwa na imani moja, yaani kuishi pomaja milele panapo majaaliwa ya Mungu.

MKASA WENYEWE:
Kwenye mahusiano yetu tulikuwa na mazoea ya kutoka pamoja kila ijumaa ama jumamosi kwenda sehemu nzuri ya utulivu na kuongea mawili matatu juu ya maisha yetu.Juzi ijumaa nilimpigia simu mida ya saa nane hadi tisa lakini simu yake haikupatikana.Basi nikachukua uamuzi wa kwenda kwake kumjulia hali na kama mambo yangekuwa poa basi tutoke kama kawaida yetu(kila tulipotoka tulichangia gharama, kwa jinsi nilivyompenda sikukubali kabisa abebe mzigo wote wa ghara, wakati mwingine nililipa mimi au yeye.Ulikuwa ni utamaduni wetu). Nilipita sehemu nikanunua matunda mbali mbali na ya kutosha, nilipenda sana kubeba chochote pindi niendapo kwake.
Baada ya kufika nilipatwa na mshangao pale nilipoona viatu vya kike mlangoni,nikajiuliza vitakuwa vya nani? moja ya jibu lililonijia pengine ni ndugu yake wakike kamtembelea.Nikaingia ndani nikazidi kushangaa zaidi, sebuleni hakuna mtu na mlango upo wazi.Ghafla nikasikia kicheko cha Mwanamke chumbani, Oh my God! sikuhitaji genus aniambie nini kinaendelea ndani.Nilipatwa na kizungu zungu lakini niliweza kujimudu, nikaweka mikoba yangu chini nikatoka nje kuchungulia kwa dirishani...nilichokiona sikuamini! yani mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote leo kamkumbatia mwanamke mwingine? office mate wake wa kike?.Anyway iliniuma ila sikupatwa na mshituko sababu nilishajua kilichokuwa kinaendelea...jamani yasikie tu, lakini maumivu niliyohisi Mungu ndiye ajuaye.
Nilichokiamua ni kuwadelete hao wasaliti wangu kwenye uso wa dunia, Kweli niliamua kuwauwa wote! potelea mbali, liwalo na liwe.Nikaingia ndani nikachukua mikoba yangu nakuondoka ili kupanga namna nitakavyotekeleza hukumu yangu.Ile nakatiza kona mara nikasikia mtu ananiita jina, alikuwa ni huyo mwanaume akiwa kavalia pensi.Sikutaka kumsikiliza, nilichapa mwendo hadi kwenye gari na kwenda zangu hadi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani nilikwenda moja kwa moja hadi chumbani na kulia sana, nililia kama mtoto mdogo.Hadi saa tano usiku mashavu yaliniuma, macho yalivimba na muda wote mate yalikuwa machungu mdomoni...nikapitiwa na usingizi hadi asubuhi.

Sasa jana katuma watu waje kumwobea msamaha, kwamba eti amekosa nimsamehe, niliwarudisha mbio bila kujali ni kina nani...alimtuma hadi mama yake mzazi ila nilimwambia, mama huyo mwanao zamani alikuwa mpenzi wangu na pengine mume mtarajiwa ila kwa sasa namwona kama bata mweusi tu.Nimemwambia Mama yake amwambie atafute mwanamke mwingine wa kuchezea siyo mimi...siwezi kuwa kwenye mahusihano na bata asiye na utu, yaani kumbe alikuwa ni michepuko ila aliigiza maisha pindi alipokuwa na mimi?.Anywa kwa kuwa aliniona pindi naondoka kwake, nionda adhabu ya kifo.Akifa ili hali inaeleweka kwamba tupo kwenye mgogoro sintakuwa salama, laiti kama asingeniona lazima ningepanga mipango ya kwaondoa wote!!! wacha waishi ila sintarudiana naye ata kama Mbingu zitashuka kuja kutupatanisha.

MWISHO:
Nimekuja hapa jukwaani;
1.Kuwaomba radi niliowakwaza jana jioni na leo asubuhi, jamani niwieni radhi, nilikuwa na hasira juu yenu pasipo sababu.
2.Kuwaasa wanawake wenzangu kuwa makini na hawa wanaume, wachache ni wanaume ila wengi wao ni wavulana walioishi miaka mingi
3.Enyi wanaume kuweni makini mnapopewa moyo wa mtu, inauma sana kusalitiwa jama.Wanawake tu dhaifu ila siyo sababu ya kutokuwa wakatili pindi unapopita kwenye 18 zetu vibaya.

Maamuzi nimeshafanya mwenyewe KAMWE SINTOMRUDIA HUYO BATA MWEUSI, kwa hiyo siitaji kushauriwa juu ya hilo.Nimeshagombana na rafiki zangu wawili kisa shauri zisizo na umuhimu.NIMEKUJA KUWAASA TU JAMANI ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
kwanza umemkosea BATA MWEUSI hausiki kwa namna yoyote na unavyomfananisha huyo bwana wako.. bora ungemfananisha na KIMA SOKWE NYANI.. hawa kidogo anaweza kufanana nao.

2. HASIRA HASARA.. ulipaswa kujiuliza miaka yote hiyo mlikuwa mnagegedana je hamkuwa na mpango wa kuonana? mpaka umefikia hatua hiyo ya kuzimiwa sim siku hiyo ujue jamaa ndio alikuwa anathaminisha mzigo mpya maana wewe tena alikufuta katika anga zake.
3. unawambia wanawake wenzio wawe makini?? hahahahaaa umakini huo mtautoa wapi wakati hamjitambui... kila siku mnaburuzwa tu na midume huo umakini utautoa wapi haswapale ukikutana kidume cha haja tayari unasahau kila uchungu uliokupata na hatimaye unajikuta umewekwa ndani ya 18. unaliwa. hit and run.
4. kwa nyakati hizi mwanamke huwezi kumfanya mwanamume ukamtuliza kama walivyotulizwa wazazi wetu kipindi hichooo ambakulikuwa hakuna cha mitandao wala nini..
ushauri:
tuliza kitenesi chako.. kama ni meichi basi rudi nyuma ujipange upya hakuna cha kulia wala nini midume ipo ya kumwaga kazi ni kwako tu kuteua.
 
pole mkuu but his changamoto katika mapenzi unatakiwa kumshirikisha sana mungu katika gumu hili na usiwe na mawazo yakulipiza kisasi acha maisha yaendelee mapenzi tuliyakuta na tutayaacha over
 
Back
Top Bottom