Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Nadhani ukiwa CHADEMA na usitoke kaskazini ni rahisi sana kushambuliwa, ila ukaskazini unalitafuna taifa letu sana, sasa hivi kama hospitali ya mkoa pale Morogoro RMO mchaga, MO-I mchaga,wakuu wa Idara karibu zote ni wachaga, na waratibu wote wanaoteuliwa wanatakiwa wawe wachaga. Tofauti ya CHADEMA wanachanganya na WaArusha kidogo. Eti ukabila mpaka hawajishtukii,hii sio coincidence ni planned. Itatokea siku kwenye kikao cha wakuu waidara watakuwa wao tu
 
mkuu lema lete kitu kingine sasa kama ulivyo ahidi hapo juu leo, hii msg sent and delivery tayali ingawa kuna mijamaa imechangia kiubwete ubwete hapa...
 
Mwenyekiti analalamika, katibu analalamika, naibu analalamika, wajumbe wanalalamika, wabunge wamalalamika, bavicha wanalalamika..hivi chadema hamna jinsi ya kukaa na kumaliza hizi tofauti zenu kwenye vikao vya chama? wafukuzeni hao mnaowaita wasaliti mbona shonza na mwenzie mliwafukuza? Fukuza na hao

Hili bandiko lako limeonyesha msimamo mkali .Nakupongeza......!
 
Nadhani ukiwa CHADEMA na usitoke kaskazini ni rahisi sana kushambuliwa, ila ukaskazini unalitafuna taifa letu sana, sasa hivi kama hospitali ya mkoa pale Morogoro RMO mchaga, MO-I mchaga,wakuu wa Idara karibu zote ni wachaga, na waratibu wote wanaoteuliwa wanatakiwa wawe wachaga. Tofauti ya CHADEMA wanachanganya na WaArusha kidogo. Eti ukabila mpaka hawajishtukii,hii sio coincidence ni planned. Itatokea siku kwenye kikao cha wakuu waidara watakuwa wao tu

Ukabila na ukanda ni hoja dhaifu kabisa.Unafanya ujinga halafu unakimbilia kujificha nyuma ya hoja ya ukabila na ukanda?

Tulipoenguliwa uchaguzi wa BAVICHA kuna waliopanga kufanya press kuwa eti tutangaze tumeenguliwa kwa sababu sio wachaga na aliyepitishwa alipitishwa kwa matakwa ya viongozi wa kaskazini

Niliwauliza mbona sasa mimi nina asili ya huko lakini nimeenguliwa?Hoja ikakosa nguvu ghafla na press ikashindikana

Tuache kufanya siasa chafu na za kijinga.Tuna taifa la kujenga,tuwe chachu ya mabadiliko kifikra
 
Sasa
naanza kuamini
Chadema ina safari ndefu sana, kwa akili hizi halafu eti tujidanganye
2015 tutashinda!? labda kama tutawaleta wasomali kutupigia kura! lema na
wewe ni janga la chadema

ni kheri chdm isiingie ikulu lakini hadi kufika 2015 chama kikawa
kinaundwa na wanachama na viongozi wazalendo, kuliko kuingia ikulu huku
chama kikiwa na lundo la wanafiki na wasaliti! Hii itatucost zaidi
kwani hatuta weza kuongoza nchi kwa umakini na safari ya kuifikhsha tz
kuwa nchi inayotiririka maziwa na asali itakuwa ni ndoto ya mchana!
 
Mkuu,
Kama wewe ni mdau
neutral katika hili nakushauri usishawishike kirahisi na maneno. Kwenye
siasa kuna michezo mingi sana ya kupumba.vu. Usikubali kuchotwa nayo
kirahisi. Kuna siku unaweza kujikuta umeweka mikono kichwani usiamini
kile unachokishuhudia...

we will take our chances!
Hakuna kuogopa
 
absolutely.!
Kama zitto anajiona yeye ni maarufu na bora kuliko wengine wote ni heri aondoke akaanzishe chama chake mwenyewe au ajiunge na chama kingine.! Chadema hatumtaki mtu selfish kama yeye, mtu ambaye hajui nini maana ya team work, anachojali yeye ni maslahi yake mwenyewe binafsi.!
TUMEMCHOKA, AONDOKE

kwa huu mwenendo wa majungu ya chadema kuchukua dola ni ndoto! Huu upuuzi wa kurumbana bila sababu ya msingi hauwezi kuitoa ccm madarakani.ninachokiona mbinu ya ccm kushinda kwa kushindo ipo mlango na mkakati umekamika!
 
ni kheri chdm isiingie ikulu lakini hadi kufika 2015 lakini chama kikawa kinaundwa na wanachama na viongozi wazalendo, kuliko kuingia ikulu huku chama kikiwa na lundo la wanafiki na wasaliti! Hii itatucost zaidi kwani hatuta weza kuongoza nchi kwa umakini na safari ya kuifikhsha tz kuwa nchi inayotiririka maziwa na asali itakuwa ni ndoto ya mchana!

hata mimi naipenda chadema kama vijana wengine kwani tuna amini ndio tumaini jipya lakin kwa haya yanayotoke nimeanza kupata mashaka kwamba kuchukua dola mwaka 2015, ni ndoto tena za mchana !
 
Kinachomponza Zitto Zuberi Kabwe ni hiki: " Uwezo wake, Uzalendo Wake, Zaidi He Thinking Big, Such that simple minded people like xxx, can not even understand" ! Hoza za Zitto Bungeni Zote ni Nzito sio Rusha Roho... Wengine sio kwamba hawataki bali hawawezi.

Hakimponzi wala!!!!!

Inasemekana credibility za mtu huwa zinatangulia kabla yeye hajatokea,likitajwa jina tu mtu au sifa zake watu wanajua nini kinakuja au kitatokea huyu jamaa ZZK alifanikiwa kujenga hilo sasa yumo vichwani na vifuani mwa watu deeply burried!!!!!!

Inahitaji akili,busara,uwezo,ushahidi na.mtu mwenye sifa kama zake ili kuweza kubadili uelewa wa watu juu yake na kumfukua vichwani na vifuani mwao kama kuna ukweli,dhamira na sababu ya kufanya hivyo!!!!!

Wazee wa CDM na wenye busara hili wanalijua ndio maana wako kimya,sio rahisi kama linavyochukuliwa!!!!!!

Na kwa kulianzisha halafu lisifike mwisho au likafika bila matunda tarajiwa,gharama ya matengenezo itakuwa kubwa "kuliko kununua gari jipya"!!!!!!!!

Tis is November 2013
 
Asilimia 70 ya wanachama wa cdm,wapo vijijini kwa sasa,na wengi wameishia kidato cha nne,kauli yako hii ni dharau kubwa kwa vijana wote wa chadema walioishia kidato cha 4,na utataka wakupigie kura za uenyekiti wa bavicha.Pili wewe ndio mshtakiwa no 1,hasidi usiye na haya.

Kuelekezwa namna bora ya kujiendeleza kielimu badala ya kukesha kwenye mitandao ndio imekua dharau?No wonder utaendelea na matokeo hayo hayo

Hatutaki kujenga jamii yenye matabaka kielimu.Unapopata fursa ya kusoma itumie vizuri na huu ni ushauri wa bure kwako.Take it or leave it.

Hakuna wa kukubembeleza
 
hata mimi naipenda chadema kama vijana wengine kwani tuna amini ndio tumaini jipya lakin kwa haya yanayotoke nimeanza kupata mashaka kwamba kuchukua dola mwaka 2015, ni ndoto tena za mchana !

Usijali kamanda ...Ndio safari yenyewe ya ikulu imeiva
 
Kinachomponza Zitto Zuberi Kabwe ni hiki: " Uwezo wake, Uzalendo Wake, Zaidi He Thinking Big, Such that simple minded people like xxx, can not even understand" ! Hoza za Zitto Bungeni Zote ni Nzito sio Rusha Roho... Wengine sio kwamba hawataki bali hawawezi.

nani amemtaja zitto. does it means you all know mnafiki na msaliti ndani ya chama ni zitto sawa? mtoa mada has never mention a name, lakini wengi ni zitto zitto zitto!!!!
well, inawezekana mawazo yenu yako sahihi..... wacha tusubiri
 
Zitto anaungwa mkono na
chadema pamoja na Lema kukataa posho. tatizo ni pale Zitto anapokataa
posho kinafiki. Hivi inawezekanaje Zitto akatae posho ya sh 80 elfu,
huku anafanya matanuzi makubwa ya kifisadi? Zitto hana biashara nyingine
zaidi ya ubunge lakini cha ajabu ana ukwasi wa kutisha. Anatakiwa
kuchunguzwa.

Zitto mtu wa ajabu... amekataa posho za elfu 80 za wazi, halafu anapokea
mabilioni ya kifisadi kificho tena ya hovyo yenye lengo la kuiangamiza
chama ambacho watanzania maskini wamekiamini.

tatizo watanzania ni wavivu wa kufanya research!
Wengi hawamjui zitto ni mtu wa namna gani! Huyu jamaa ni hatari sana kwa survival ya chama cha kizalendo kama chdm..
Zitto ni kibaraka mkubwa, and he has been for a long time!
 
Busara ikikosekana hao watu walioumia, kupoteza maisha, kulemaa, watakuwa wamelemaa bure kama tutashindwa kufikia dhamira ya ukombozi kwasababu ya viongozi wanaokurupuka na kukosa busara!


Busara ilianza kupungua taratibu saaana na tulionya na kuandika humu saaana ili mlichukulia kama mnachukiwa,na hampendwi!!!!!!!

Mara ngapi mmeulizwa juu ya umuhimu wa safari za nje kuliko kuendelea kujenga chama na majibu yenu yalikuwaje??????!!!!Busara ni pamoja na kumaliza tofauti,mlifanya hivyo????!!

Dhamira za viongozi yaweza kiwa ndio shina.la mtikisiko,mna nguvu ya kuhoji dhamira zao????!!!!!

You are just about to identify a common enemy!!!!!
 
Hayo mabilioni anapewa na
nani, mbona mnaleta stori za vilabuni jamani. Kama ushahidi upo basi
uleteni humu. Hivi ndio viwanda vya uongo.

kumbe unataka ushahidi? Sasa unapanic nini wakati unataka ushahidi! ushahidi ndio huo lema anataka kuuleta hapa
 
Nadhani ukiwa CHADEMA na usitoke kaskazini ni rahisi sana kushambuliwa, ila ukaskazini unalitafuna taifa letu sana, sasa hivi kama hospitali ya mkoa pale Morogoro RMO mchaga, MO-I mchaga,wakuu wa Idara karibu zote ni wachaga, na waratibu wote wanaoteuliwa wanatakiwa wawe wachaga. Tofauti ya CHADEMA wanachanganya na WaArusha kidogo. Eti ukabila mpaka hawajishtukii,hii sio coincidence ni planned. Itatokea siku kwenye kikao cha wakuu waidara watakuwa wao tu

unahitaji psychological treatment. unazungumzia uchaga hospitali ya morogoro utadhani serikali inaongozwa na chadema
 
Mh. Zito ni naibu katibu mkuu na ni kiongozi wa kanda ya magharibi, na ndiyo tegemeo letu wana magharibi.

Kumwita msaliti maana yake ni kwamba kanda yote ya magharibi ni wasaliti sasa sisi tunasema, Chadema tutaiua kwani ni rahisi sana.

Tunawaomba viongozi wakuu wakiokoe chama na hasa Dr. Slaa kama kweli anataka kuwa rais wa Tanzania. Dr. Hataweza kuwa rais ikiwa maneno haya yataendelea kujadiliwa na kukifanya chama kugawanyika.

Angalizo:
Gakuna mtu wa kanda ya ziwa, magharibi, nyanda za juu kusini wala kanda ya kati atakayewaunga mkono KASKAZINI kama mtaendelea kuleta za kuleta!!!

Acheni ujinga na fanyeni kujenga chama kila mtu alipo na kwa nafasi yake.
 
Lazima ifike muda watu watambue kuwa akili na busara zinahitajika sana ili kufanya nchi yetu isonge mbele. Chadema chini ya hawa akila Lema they dont seem kuelewa upinzani ni nini hasa na unatakiwa uwe vipi??

Lema, pole sana ukidhani umeandika kitu cha maana sana hapo juu kumbe pumba zile zile za akina slaa na mbowe na akina ben saa nane ( the puppet)

Kwanza, taja jina na weka wazi msaliti ni nani? maana inajulikana hauna ushirikiano na urafiki mzuri na zito zuberi kabwe, inajulikana

wewe , salaa, mbowe na wenzenu mmejitahidi kuwafanya wanachadema wengine waonekane mbumbumbu na hamnazo simply kwa sababu wamewaaamini mno, na kuwapenda, kwani CCM imewachosha, lakini mmekaa ki-NGO zaidi, kikanda, kikabila kila kukicha chuki na asilimia 90 ya mazungumzo yenu ni ugomvi wa chama chenu na si kuiondoa ccm inaleta nini?

1. ugomvi wa chama chenu unapoonekana kwa watu wa nje unawavunja moyo hasa wakichukulia historia za cuf na nccr mageuzi

2. ugomvi wa ndani unawarudisha nyuma na kuleta sintomfahamu nyingi kiasi cha kuwa vitani kila mmoja anarudi nyuma maana unaweka viulizo nani wa KUAMINIWA??

3. Unaendeleza ugonjwa wa yaleyale ya mwigamba ya kusemea mtandaoni hivyo basi inaonyesha kuwa

a/. hauna ubavu wa kuwa face hao unaowaita wasaliti ndani ya chama simply kwa sababu UNAOWAITA WASALITI SIO WASALITI ILA WANASIMAMIA HAKI NA UKWELI

b./ umekuja na hoja za wasaliti ukijua JF itaku support kwani JF wengi ni wanachadema, umesahau kuwa ni sehemu ya ukweli na uwazi, WEWE MBUNGE UKILIA HIVI, mwita maranya afanyaje????

c/. mnaowaita wasaliti hamuwezi kuwaondoa kwenye vikao vya chama maana watawashinda kwa hoja za katiba ya chama, kwa mfano HAIWEZEKANI KIJANA KAMA WEWE, SMART, NA AKIL ZAKO unakuwa wa KWANZA KUCHEKEA KUTOFANYA UCHAGUZI NA KATIBA YA CHAMA KUBAKWA kisa uonekane mzuri kwa mbowe na slaa?? mkipewa nchi mtafanyaje??

Hii dalili ya kusemea mitandaoni kwa mtu mkubwa kama wewe ni UDHAIFU na kwa akili zenu mnajua wengine hatuoni vile...na ndio maana mtaishia kutukuzwa na kupigiwa makofi na washabiki na sio umma......utasifiwa na vilaza na waliopofushwa na mahaba yaliyotokana na chuki kwa ccm na sio reality za kuwa nyie ni wakombozi

Lema, SOMA KWA NGUVU HAPA, HATA ZITTO MKIMTOA LEO NDANI YA CHADEMA, ATABAKAI KUWA ZITTO, zitto ni rais anayeishi mioyoni mwa watu, anapendwa, anaogopwa na mafisadi, anasimamia hoja zake, ana uthubutu NDIO YUKO HIVYO, nyakati zile unaendesha ujambazi arusha yeye alikuwa anasoma degree, anaendesha siasa chuo kiku...hajaanza leo....certainly ndani ya chadema watu wa caliber ya zitto hamna na wengine mmewaua au kuwafukuza

Zitto ni bright, tough na focused, hategemei siasa wala CDM yenu ambayo kila wakati mmepaka majina yote mabaya...Lema ,zitto angekuwa fisadi au msaliti hao CCM wangeisha muumbua.........hoja za uswis, hesabu za mashirika ya umma, buzwagi, kutaka kumtoa waziri mkuu, kutaja mishahara ya viongozi, na hoja zingine ndio zinazoifanya sio zito tu CHAMA KIZIMA CHA CDM KIONEKANE KINA WATU makini, lakini kuna uozo wa wewe, sugu na mtei ambao akili zenu mnazijua wenyewe

Yesu alisema, ikiwa ufalme utajifitini hautasimama...kamwe

we have plenty of problems IN THIS COUNTRY which need your attention and your solutions…. wewe UNAONGELEA WASALITI NDANI YA CHAMA??? Hao wasaliti umewajua lini?? wanaogopwa nini mpaka leo hii wasitolewe??

Hivi lema unajua chadema kinapendwa na hata wasio wanachadema?? fanyeni kitu kuwaaminisha watanzania mnaweza Zitto anafanya hivyo, Lissu anafanya hivyo, hata Slaa alivyokuwa mbunge alifanya hivyo...nyie wengine mnafanya nini??? HATUONI

Leo Lema ukifa utakumbukwa kwa lipi?? kuchukua jiwe na kumponda nalo mwigamba?? kufungwa jela?? kutukana matusi kuwa ile mimba ya Lowassa?? why u guys dont evaluate urself ila MNAOGOPA KIVULI CHA ZITTO?? where is nassari where is msigwa, wabunge woooooooote wa CDM ambaye ana international status, anayeweza kuongea kitu akaeleweka na kukubalika ni Zitto peke yake ndani ya CDM...................yet is your no. 1 enemy

utasema hooo sijataja hilo jina Lema, YOU ARE INFERIOR na ukiwa INFERIOR UTAJIONA UKO CHINI NA UTATAFUTA SUPPORT YA INFERIOR WENZAKO kumtafuta mchawi ni nini??

Kama aliyoyasema Mwigamba juzi ni usaliti, wenye akili tuna majibu………………kama post hii umeituma ukiwa na akili timamu, jiuzulu ubunge mkuu.

Lema, kila kitu kina mwisho wake, endeleeni na haya mnayoyafanya nakutakia maisha marefu ila UTAONA MWISHO WAKE, sio mzuri kwa chama.

Zitto kama hamumtaki amueni muondoeni kwenye NGO yenu, ATAISHI HE IS GRADUATE na anaweza kujisimamia. Lema ukiondolewa hapo kwenye siasa za chadema unazobebwa na wenye ufahamu mdogo na nguvu za akina mbowe, huna pa kwenda na hakuna atakayekuelewa.

Chadema, mliamua kwa pamoja hamtaki Posho ( sitting allowance) mmeanda bungeni Zitto katekeleza mliyoyaamua WENGINE, akiwem o wewe na Mbowe mmeshindwa……..Then ZITTO M’BAYA???????

Watchin u​

Mmmmh, hizi ni zaidi ya lulu, Dhahabu na almasi.
 
Yetu macho naisubiri chadema ikiwa ikulu kwa huu mwendo wa majungu mitandaoni sipendi kabisa hii tabia viongozi ambao ni vinala wa kufukuza wenzao wanafanya yale yale kama walio fukuzwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom