Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
How does it sound,mind-blogging or what?Don't mind anyway.Tatizo lenu mnaoshabikia Zitto kufukuzwa mna very narrow scope of modern world political understand!Tafuta novel ya Mtunzi Sidney Sheldon inayoitwa 'The Sky is falling' ili uwafahamu wanasiasa na sura zao halisi.That's my only advice to you!!

Ulishajipambanua kuwa utakufa na Zitto inatosha kuonyesha uhalisia wako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lema kama mapambano umeyaanza na wanachama wenzako na kuwaweka CCM pembeni jua kuchukua dola itakuwa ngumu kwenu,unajinasibu kutetea wananchi wakati si kweli wewe pia ni mchumia tumbo,mtu maslahi.

Kweli naamini hakuna mwanasiasa mwenye nia ya dhati katika kuwasaidia wananchi ikiwemo wewe Lema.

Msaliti hawezi kuachwa ajitambe tu! Hata YESU aliwaambia wanafunzi wake 12 bila kutaja jina. "....Miongoni mwenu kuna mtu atanisaliti..." pamoja na kukemewa bado YUDA alitekeleza usaliti wake... Lema YUPO SAHIHI 100%
 
Kweli CCM kiboko na inastahili kuheshimiwa. Msaliti ama wasaliti wamepandikizwa ndani ya Chadema na kushika nafasi nyeti sana hivyo wanaijua Chadema nje ndani kitu ambacho inawapa urahisi kuiua Chadema. R.I.P Chadema.
 
Ulishajipambanua kuwa utakufa na Zitto inatosha kuonyesha uhalisia wako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Tatizo lenu ndio hilo anti Zitto tunapowafungulia milango ili muuone ukweli mnaoutafuta mtatafuta visingizio vya kukwepa ili muendelee kukiamini kile mlichochagua kukiamini ambacho ni UONGO (Blatant Lie)
 
Chadema mnazidi
kujidhihiri namna tulivyo wadhahifu kihoja na tuliokosa utaratibu wa
kueleweka wa namna ya kukabiliana na matatizo ya ndani kama haya.Jamani
ndani ya Chama kuna utaratibu wa kuitisha vikao?Kwanini msiitishe hivyo
vikao na kuyajadili haya mambo badala ya kukimbilia mtandaoni na kuvuana
nguo?Mnakuwa kama watoto bana!Badilikeni bana acheni hizo immatured
politics zenu mtakiua Chama.Na hawa Viongozi wakuu wa Chama wananipa
wasi wasi na ukimya huu,Mpaka sasa sijasikia tamko lolote kutoka Makao
makuu hii inamaanisha kuwa haya yote yanayojiri hapa mtandaoni yana
baraka kutoka Makao makuu kwasababu haiwezekani wakati Mwigamba
alipofanya hivi walikuwa wepesi kujibu hata kama waliishia kujivua nguo
zaidi kuliko kujisafisha lakini mradi walijibu kwa wakati.

Kimsingi dhana ya kutumia vikao, ni nzuri kwani wajumbe hupata fursa ya kumsikiliza mtuhumiwa na kuujua ukweli

Katika level ya Teknolojia ambayo Dunia imeshuhudia ni vigumu sana kwa sasa kumhukumu mtu tena kwa ushahidi wa kielectronic tu, bila kumsikiliza.

CDM wenyewe waliwahi kutuhumu Serikali juu ya kuingizwa kwa Mtambo wa kuingilia mawasiliano ya Sim na Mtambo wa kuchezea sauti. Leo hii uhalali wa kumhukumu wanachama unapatikanaje, tena bila kumsikiliza?

Eti kwa sababu namba inayodhaniwa ni ya kwake imetuma fedha.

Au kwa sababu namba inayodhaniwa ni ya kwake imeonekana kuwasiliana na TISS.

Au kwa sababu email inayodhaniwa ni kutoka kwake inaonekana kuwasiliana na mtu fulani.

Je ushahidi huu hauwezi kupandikizwa? Nikiri kuwa yote haya hayawezi kuwa ni coincidence lakini ukweli pekee ungejulikana ndani ya vikao ambapo Mtuhumiwa nae hupewa nafasi ya kusikilizwa.

Binafsi namuona Adui amekaa pembeni na champagne yake akifurahia namna alivyozichanga karata zake
 
Kweli CCM kiboko na inastahili kuheshimiwa. Msaliti ama wasaliti wamepandikizwa ndani ya Chadema na kushika nafasi nyeti sana hivyo wanaijua Chadema nje ndani kitu ambacho inawapa urahisi kuiua Chadema. R.I.P Chadema.

SIO KWELI. Ispokuwa msaliti yeyote anatokana na kujirahisisha na kupangiwa bei ili asaliti. Msaliti huwa ni mtu wa kweli awali, lakin tamaa yake ndo huzalisha huo usaliti.
 
Karibu sana Comrede.
kwanza nikupongeze kwa kutokuwa mnafiki wa kufanya mambo kwa kificho, ni lazima umma ujue unafiki wa watu wanaojiita wazalendo huku waki wazandiki na ambao wapo tayari kufanya jambo lolote lile ili majina yao yaendelee kubaki huku wakiangamiza taasisi

Hata mimi hivi karibuni nitakuja Naunafiki wa Zitto na uwepo wangu Magereza na kesi yangu ya ugaidi.

Nikupongeze pia kamanda Kilewo kwa uvumilivu uliyokuwa nao toka utoke jela,nilijua kabisa haka kadogo haka hakawezi kukosekana kwa mkono wake kwa uwepo wako jela na ugaidi,Chamaana na cha msingi ni kuweka ukweli hapa ili kila mtanzania aujue unafiki wake huyu dogo anaturudisha nyuma sana,nimuda mrefu sana uongozi wa chama umekuwa ukimbeba sijui wanamuogopa kwasababu gani.
 
Tuta wafundisha siasa za haki na ukweli zisizokuwa na unafiki...

Siasa za haki au majitaka??

Iweje kutumia nguvu nyingi sana kumchafua zitto hali ya kuwa ni kiongoz mkuu ndan ya chama na msitumie vikao kama hizo hoja ziko sahihi??

Na kila anaoeonekana kuisema chadema na kupingana nayo lazima aonekane ni msalit au ana mapenz na CCM,,huo ni ujinga wa hali ya juu sana,

Nawaambien,zitto hawez kutoka ndan ya chama hiki,nyinyi nyote mmekuta na hakuna mlilolifanya la maana la kuja kujifananisha na zitto na mnalitambua hilo,mnataka kuleta ukanda na ubaguz,,

Kama kweli mnaweza mfukuzen zitto ndan ya chama hiki,kisha mtaona picha litavyokuwa
 
GREAT
THINKERS LETS
tujaribuni kufikiria kidogo hizi issue hata watu tunao waamini ni safi
CCM kama magufuli, mwakyembe, hawapingi posho!! ni kwa nini? ni kwa
sababu hawana dili hata ya laki mbili out of hizo posho!! sasa
wataishije? je ww povu linaekutoka ukiondolewa hiyo income yako
utaishije?

kataa posho uwe na means yako nyingine ya kuishi either unafanya
biashara au unaurithi kutoka kwa wazazi wako, hizi falsafa za eti
principles ndicho nakiona kama unafiki!!

Sera ya CCM ni kulipana Posho hizi za Vikao (Sitting Allowance)

Posho hizi hazijawekwa kisheria bali ni kudra za Rais, hao uliowataja
hawawezi kupingana na Sera za chama chao

Sera ya CDM ni kufuta Posho hizi, hivyo kuzipinga ni haki ya viongozi na wanachama wa CDM. Na kwa kufanya hivyo CDM inakuwa inatekeleza Sera
zake.

Na hili halijalishi kama wanaopinga ni matajiri au masikini, kwani hakuna mantiki ya kulipwa kwa kukaa wakati kufanya hivyo ni kutimiza
majukumu yako yanayokuwa rewarded mwisho wa mwezi
 
Naomba mtu anihalalishie kitendo hiki cha Lema cha kuingia humu na kuanza kufanya personal attacks, kina utofauti gani na cha Mwigamba?

Ama kwa sababu anayetajwa si Mbowe? Kwa sababu hatumii fake Id? Kwa sababu Lema ni wa kule kule?

Kwa sababu kwa akili na shule ndogo ya Lema anadhani kwa kuandika mipasho humu watu hawatang'amua ama watang'amua na kukaa kimya. Comeon Lema, this is JF not Arusha where u drive few people with Zombie brains.

Wewe Lema ni mnafiki namba moja na ni muharibifu mnooo, tena chama kikiendelea kukukumbatia mwaka huu hautaisha kabla hakijapotea.

Sina shaka kwamba hujafunzwa maadili ( ama labda umeharibiwa na kale kammea unakotumia) hivyo unataka kila mtu awe na akili kama yako ya ule mmea wenu. Lakini kaa ukijua hakuna mtu makini anayeweza sikia hizi pumba zako na akazitilia maanani.

Mwisho, wewe na ZZK ni kama usingizi na kifo ama usiku na mchana, hana cha kujifunza kwako. Just a little piece of advice, u can take it or leave it "Tafuta level yako kama kina Nassari, Heche, na Msigwa achana na ZZK"
 
Kinachomponza Zitto Zuberi Kabwe ni hiki: " Uwezo wake, Uzalendo Wake, Zaidi He Thinking Big, Such that simple minded people like xxx, can not even understand" ! Hoza za Zitto Bungeni Zote ni Nzito sio Rusha Roho... Wengine sio kwamba hawataki bali hawawezi.
 
Siasa za haki au majitaka??

Iweje kutumia nguvu nyingi sana kumchafua zitto hali ya kuwa ni kiongoz mkuu ndan ya chama na msitumie vikao kama hizo hoja ziko sahihi??

Na kila anaoeonekana kuisema chadema na kupingana nayo lazima aonekane ni msalit au ana mapenz na CCM,,huo ni ujinga wa hali ya juu sana,

Nawaambien,zitto hawez kutoka ndan ya chama hiki,nyinyi nyote mmekuta na hakuna mlilolifanya la maana la kuja kujifananisha na zitto na mnalitambua hilo,mnataka kuleta ukanda na ubaguz,,

Kama kweli mnaweza mfukuzen zitto ndan ya chama hiki,kisha mtaona picha litavyokuwa

Acha kujidanganya Wifi, unaishi kwa matumaini eti Zitto hagusiki,ni ndoto za kupotosha na niupofu wahali ya juu sana,kwenye chadema kila mtu anaplay nafasi yake ila kwasasa unafiki wa Zitto umezidi na chama kimekaa kimya sana juu yake,wanapotokea watu wajasiri wenye kuusema ukwelu tuache wauseme ndiyo dawa sahihi kwa wakati huu.
 
Kinachomponza Zitto Zuberi Kabwe ni hiki: " Uwezo wake, Uzalendo Wake, Zaidi He Thinking Big, Such that simple minded people like xxx, can not even understand" ! Hoza za Zitto Bungeni Zote ni Nzito sio Rusha Roho... Wengine sio kwamba hawataki bali hawawezi.

Ukweli gani na uzalendo gani aliyonao huyo msaliti? Mmeambiwa msubiri mpewe ukweli kwanini mnakimbilia kuanza kujibu msichokijua? Mtamtetea sana ila mtamdharau sana siku moja.
 
Ulishajipambanua kuwa utakufa na Zitto inatosha kuonyesha uhalisia wako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Sikusema I am Pro-Zitto nilisema kuna watu wapo humu mtandaoni ni wafuasi Zitto pia na wapo tayari kufa naye,By the way i am more of a positive thinking guy na filosofi yangu katika maisha ipo hivi:Ninaamini zaidi katika mazuri ambayo mtu anayo na anaweza kunisaidia kufanikisha malengo yangu mengi ya kimaisha kama nikishirikiana naye hata kama hatuna urafiki wa karibu kivile au hata kama hatupatani.I believe in a positive side than a negative one of a person.Hivyo usishangae kwa mimi kumtetea Zitto kiaina.I am a positive thinker who always view things in a positive light.Chadema ingekuwa na Viongozi wenye miono kama yangu migogoro ndani ya Chama isingekuwa ya kiwango hiki cha kuvuana nguo hadharani.
 
Katika CDM Zitto unaweza kumlinganisha na wanachama ambao hawako kwenye secretariat yao... yaani Dr. Kitilla na Prof. Baregu wengine ni wadogo sana ukilinganisha na ZZK.
 
Siasa za haki au majitaka??

Iweje kutumia nguvu nyingi sana kumchafua zitto hali ya kuwa ni kiongoz mkuu ndan ya chama na msitumie vikao kama hizo hoja ziko sahihi??

Na kila anaoeonekana kuisema chadema na kupingana nayo lazima aonekane ni msalit au ana mapenz na CCM,,huo ni ujinga wa hali ya juu sana,

Nawaambien,zitto hawez kutoka ndan ya chama hiki,nyinyi nyote mmekuta na hakuna mlilolifanya la maana la kuja kujifananisha na zitto na mnalitambua hilo,mnataka kuleta ukanda na ubaguz,,

Kama kweli mnaweza mfukuzen zitto ndan ya chama hiki,kisha mtaona picha litavyokuwa

Mkuu umenena hizi ni kelele za chura tu wote wanaotokwa na mapovu huku ni makuwadi wa mwenyekiti/katibu hawana jipya.
 
Hivi watu wenye akili ambao hawana upande wanaoushabikia
kama Baregu na Safari wanasemaje na haya yoote yanayooendelea?

ni kweli chama kimefika hii low point ya hooliganism ya kina Lema?

Dont disturb the experiment!!!!!!
Control specimens brother..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom