Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
nitieni moyo nisiamini CDM itasambaratika soon.btw hata watu walioko nje ya politics hawasemi vizuri khs Zitto.ila atatolewaje cdm,mtihani mgumu,ikumbukwe Zitto c Juliana,Mtela
 
nitieni moyo nisiamini CDM itasambaratika soon.btw hata watu walioko nje ya politics hawasemi vizuri khs Zitto.ila atatolewaje cdm,mtihani mgumu,ikumbukwe Zitto c Juliana,Mtela

Hawasemi vizuri maana.yake nini????!!!!
Kuna kiongozi anasemwa vizuri na watu wote?????
Amesemwa Nyerere(RIP mzee)itakuwa Zitto!!!

Hojini huko ndani mpewe mustakabali wa chama
 
sasa kumekucha, ile minong'ono ya chini chini sasa inapanda juu na kupaza sauti, si siri tena ni dhahiri sasa CHADEMA kutofautiana ambako kumepelekea kutoamianiana.
Mkuu lema, wewe unachokifanya hapa ni tofauti na alicho kifanya Mwigamba? je kwa nini chama chenu kisiwe ndicho kinachotoa shutuma ama tuhuma hizi adharani? Pia huoni kwamba hao unao waita ama mnaowaita wasaliti watapata pakushikilia ikiwa mtaendeleza mwenendo huu huu wa kutumia majukwaa haya kuwasilisha hisia zenu?

tofauti ya Lema na Mwigamba ni kubwa,Lema kampa makavu,Mwigamba kavizia,na mnafiki,anapamba kwny vikao,af anapaka kwny mtandao.
 
kila jambo lina majira yake, na majira ya kuwamulika viongozi wa magenge ya usaliti ndani ya chama ndio haya yamewadia!

It all about "why ,when and how" nothing more nothing less!!!

Get to the work station either now or never!!!!!
 
Chadema ukipishana kimawazo au kimtamzamo na wamiliki wa chama au washirika wenza wa kaskazini unaitwa msaliti
 
Mkuu Mungi una nisikitisha sana.

HIVI HAYO UNAYO YASEMA KWA NINI USIMPE LEMA AKAYAPELEKA KWENYE CHAMA?

NAKUMBUKA HAPA WOTE WANA CHADEMA TULIUNGANA KUWAKEMEA WAKINA BEN,MTELA,SHONZA NA MWIGAMBA KUTUMIA MITANDAO KULETA MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUPELEKWA KWENYE CHAMA NA USHAHIDI ILI YA CHUNGUZWE NA KUJADILIWA.

HATA DR SLAA ALISEMA KIPINDI KILE KUWA MWENYE USHAHIDI APELEKE.

NAKUMBUKA MAJUZI TULIUNGANA KUMKEMEA MWIGAMBA KULETA KWENYE MITANDAO TUHUMA KWA CHAMA NA VIONGOZI WENZIE WAKATI ANA NAFASI YA KUONGEA KWENYE VIKAO VYA CHAMA.

HAIJAPITA MIEZI MIWILI TULIMKEMEA DR SLAA NA JOSEPHINE KUHUSU ID NA NIWAZI ILIWAPASA WATU KUSEMA MAANA DR SLAA SI MALAIKA.

LAKINI NA KUSHANGAA UNAFUMBA MACHO WAKATI LEMA ANAFANYA MAKOSA NA WOTE TUNAJUA SI MALAIKA.

MAKOSA YA LEMA HAYANA UTOFAUTI NA YALE YA BEN,MTELA,HABIB NA MWIGAMBA LAKINI NASHANGAA KWANINI UNAKATAA KUMWAMBIA Godbless J Lema KUWA ANA POTOKA?

MUNGI KAMA UNAFIKIRI HUKU NI JUJENGA CHAMA NA WEWE UMEPOTOKA AND TIME WILL TELL.

MUNGI HAKUNA UBISHI LEMA ANA ANDAA ANGUKO LA CHAMA KWA NJIA HIII.

MUNGI NI HII NJIA NDIO MLIO CHAGUA KUJENGA CHADEMA?

MUNGI LEMA SI MALAIKA KWA HILI AMEKOSEA NA AUTAKI KUSEMA BASI NAWE NI MMOJA WAO WANAO CHIMBA KABURI LA CHAMA.

MUNGI,LEMA NI NANI ASIAMBIWE UKWELI IKIWA KILA LEO DR SLAA ANA AMBIWA?

MUNGI HIVI JF NI HOTEL YA KUFANYIA VIKAO VYA CHAMA?
:::::::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;//////////

MH MBOWE, DR SLAA TUNA HITAJI KUONA BUSARA ZENU NA HIKI NDIO KIPIMO PEKEE, LEMA LAZIMA AFUNDWE,LEMA LAZIMA AKEMEWE KABISA.

LEMA AFUNDISHWE UVUMILIVU WA KISIASA.
 
Last edited by a moderator:
Naona Slaa amekaa mbali kabisa na huu mpambano. Hebu Josephine ingia na password ya babu utulize hii vita.
 
Kama wanataka kuleta ukaskazin rasmi,waseme tuh

tutangaze vita sasa rasmi,sisi tutaandaa mipango ya kuendeleza kusamba sumu kanda yote hii ya kusini na kanda ya kati kuwaonesha wananchi uhalisia ulivyo na jinsi wanavotumia chama kwa kuwagawa na kuwabagua baadhi ya viongoz ambao wanaonekana wana chuki nao binafsi,

kama kina slaa na wenzake wanafurahia mambo haya na kuhisi wanaweza kuongoza taifa hili kwa nguvu ya kanda fulani hili halitafanikiwa na tunawaambia kabisa bila kumeza meza maneno,vita hii ni kubwa zaid ya hao wanavodhania,

time will tell them...
 
Kina Slaa ndio wanaoleta vurugu yote hii ili mradi wao wabaki waliko, Cheo kina raha yake bana.
 
Zitto msaliti kama W Kaburu lakini akae akijua hatofanikiwa kamwe kuisambaratisha CHADEMA, nani asojua jinsi anaandaliwa na magamba kugombea uraisi na kampeni meneja wake atakuwa Mr dhaifu.

Akili iliyobemendwa hii
 
Akili ndogo siku zote hujadili watu, akili ya kati hujadili vitu lakini akili kubwa hujadili masuala ya msingi.
 
Usijali kamanda ...Ndio safari yenyewe ya ikulu imeiva

Brother Ben Saanane,

Mimi ni mwanachama hai kabisa wa CHADEMA tangu mwaka 2009,

Naomba nikuhakikishie hivi,kwa mwendo huu,naapa 2015 hatuwezi kushika dola labda itokee miujiza..!

Hakika,amini maneno yangu na kama huamini utakuja kuthibitisha mwenyewe baada ya matokeo kutangazwa,

Dah....kweli safari ya ukombozi bado ndefu sana.....CCM wataendelea kutawala sana kwa mwendo huu!!
 
Last edited by a moderator:
Sivizuri mambo ya chama kuyaweka mtandaoni hay a yayangeishia ndani ya vikao vya chama lema uvyofanya sio kabisa hiv ni sawa na mwanandoa kutoa siri za ndani kwa majira
 
Dr Slaa hawezi kuja hapa na ndivyo utavyotambua kuwa Chadema wanasiasa za makundi na kubebana.
 
Brother Ben Saanane,

Mimi ni mwanachama hai kabisa wa CHADEMA tangu mwaka 2009,

Naomba nikuhakikishie hivi,kwa mwendo huu,naapa 2015 hatuwezi kushika dola labda itokee miujiza..!

Hakika,amini maneno yangu na kama huamini utakuja kuthibitisha mwenyewe baada ya matokeo kutangazwa,

Dah....kweli safari ya ukombozi bado ndefu sana.....CCM wataendelea kutawala sana kwa mwendo huu!!
Na wewe sio muda mrefu utaitwa Msaliti. CCM itaendelea kutawala hii nchi milele, na viongozi wako wanalijua hilo. Hawana nia ya kushika dola, wao wanataka kula taratibu bila kelele yoyote.
 
Hakuna mtu anayependa msaliti au mnafiki.
Cha msingi vikao vya chama vya ngazi husika vitumike bila kusahau vipaumbele vya chama,malengo na sera ya wakati.
Tunataka organization/combination moja kuanzia viongozi wa chini hadi taifa kama timu ya ushindi na sio malalamiko wala migogoro maana ukiangalia ni kuwapotezea muda wa kufanya kazi za chama na kuwatoa kwenye mada kwa malengo ya kisiasa.
 
Team zitto means business now. We haue been opressed in our party for long time. You all misukule get ready. The realy princinple of chadema must prevail. Mmemwaga mboga sisi tunamwaga mboga na kuzima moto kabisa! Tutaheshimiana tu mwaka huu.she...nz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom