Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Sasa kulikuwa na haja gani kuandika haya si ungesubiri kesho.

Binafsi naona yupo sahihi ili tujipange kupata undani wa Zitto, binafsi huwa napata taabu sana kumtofautisha Zitto na adui yeyote wa Nchi yetu, ila dawa yake ipo jikoni, awiliKilihim
 
Hakuna maswali kwenye kutafuta utu na usawa wa mwanadamu...
Mnajua nyie vijana wa Arusha mnajidanganya sana na hizo siasa zenu za makengeza.

Kama kweli mnajiweza jaribuni kumfukuza Zitto muone, maneno mengi tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kulikuwa na haja gani kuandika haya si ungesubiri kesho.

Kwanini wewe usisubiri kesho? Kulikuwa na ulazima gani kujibu utakachojibu kesho? Maana ulicho kiandika leo na kesho hakina tofauti.
 
Lema,

Angalia na kuwa makini hii ndiyo JF wapambe wako watakupoteza watu wakuone kituko.

Naona unakuja na mtindo kama Nape unaandika uzi halafu unakimbia.



Mkuu Ritz kumbe na wewe ulishaona kuwa boss NAPE wenu huwa anasepa na kuaachia zigo peke yenu!
 
Last edited by a moderator:
Naona viongozi wa chadema wote wanaleta tuhuma huku, je huu ni mkakati maalumu? Na kwanini msiyaseme hayo kwenye vikao vya chama?


Zitto alipogoma posho akugoma kwenye vikao vya Chama isipokuwa kwenye vyombo vya habari na majibu lazima yawe hadharani , Kamanda Lema mimi nakusubiri keshokwani huyu dogo amezidi unafiki
 
Yani umekuja tena. Tunakusubiri wewe hadhi yako ni le mutuz,serukamba na lusinde. Zitto haumuwezi. Unganeni halafu njooni kesho tena.
 
Mwigamba ni sehemu ya uchafu tunaousafisha ndani ya chama,

Zitto ni jalala halisi, lazima lizolewe na kufukiwa rasmi,

Hatutaki majalala ndani ya chama chetu, waende ccm hukohuko wanakokula kisha wanakuja kulala chadema

Waulize ma boss wako wanaogopa nini kumfukuza Zitto chadema?

Wewe ni kinyngarakata usio na ubavu wowote mbele ya Zitto, hivi ni lini mara ya kwanza ulimuona Zitto?
 
Last edited by a moderator:
Buku 7 AKA punda wa mafisadi. Mafisadi wana bank accounts zenye mabilioni nchi za nje nyie punda zao mnaambulia vijisenti vya kuwawezesha kutoa povu hapa jamvini kila kukicha. Usaliti dhidi ya nchi yako ni kitu kibaya sana.

..kibaraka wa Mbowe.
 
Mnajua nyie vijana wa Arusha mnajidanganya sana na hizo siasa zenu za makengeza.

Kama kweli mnajiweza jaribuni kumfukuza Zitto muone, maneno mengi tu.

Chadema hakuna mfalme chadema kuna uadilifu...
 
Last edited by a moderator:
CCM walihangaika sana kutaka kuiua Chadema bila mafanikio lakini kwa ujinga wa watu kama akina Lema pamoja na wafuasi humu mtandaoni naona kifo cha Chadema kinakuja kipo njiani.Lema ameharibu sana taswira ya Chadema kwa ujinga alioufanya kule Arusha wa kutaka kumdhuru mwenzake kwa TOFARI,Huyu mtu hastahiri heshima yoyote na hata kusikilizwa ndani ya Chama,Ameifanya Chadema ionekane kama Chama cha wahuni,wavuta bangi na ni watu wasio na maana hata kidogo.Naomba Uongozi wa Chadema uchukue hata za haraka kumpiga kufuri Lema asizungumze tena mambo yanayohusiana na Chama popote pale.Siasa zake ni more destructive to the Party than constructive one.They need to gag him if they want to rescue the Party from self-destruction.
 
Subiri ukajibu tuhuma zako za kuchafua watu kwenye mitandao.Achana na kushinda kwenye mitandao na kuwatumikia watu maana hawatakusaidia na hiyo Div. IV.30 ya kidato cha nne

Asilimia 70 ya wanachama wa cdm,wapo vijijini kwa sasa,na wengi wameishia kidato cha nne,kauli yako hii ni dharau kubwa kwa vijana wote wa chadema walioishia kidato cha 4,na utataka wakupigie kura za uenyekiti wa bavicha.Pili wewe ndio mshtakiwa no 1,hasidi usiye na haya.
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni

Mheshimiwa Lema,

Naamini wewe ni mtu mwenye busara na ndio maana wananchi katika jimbo lako wamekupa dhamana ya kuwawakilisha Bungeni. Hivi kwa busara zako, hayo malumbano mnayoendeleza hapa JF ilhali mna vikao mwafaka ndani ya chama ni kwa manufaa ya nani?

Kwa sie ambao angalau tunaafikiana na harakati zenu za kuikomboa Tanzania kutoka katika lindi la umasikini unaorutubishwa na ufisadi, tabia hii ya kugeuza social media kuwa kumbi za kujadili masuala mnayoweza kuyajadili ndani ya chama inatuvunja moyo sana.

Pamoja na kutofautiana kwangu na Zitto katika masuala mbalimbali, napingana nawe kwa nguvu zote katika uamuzi huu ambao naomba uniruhusu kuuita usio wa busara hata chembe wa kujadili tofauti zenu za kimtazamo mtandaoni.

Majuzi niliandika makala hii Makala yangu Ktk RAIA MWEMA Toleo la Okt 30, 2013: "CCM Itang'oka, Chadema Itaweza Kuongoza?" ~ Kulikoni Ughaibuni ambayo awali ilichapishwa kwenye jarida la RAIA MWEMA na moja ya maswali niliyouliza ni utayari wenu kuongoza Tanzania pindi CCM iking'oka madarakani.

Haihitaji darasa maalum la uongozi kutambua kuwa malumbano ya hadharani baina ya viongozi wa ngazi za juu wa chama chochote kile hayajengi, regardless ya mantiki ya mada husika.

Mmekuwa mkilalamika kuhusu hujuma mnazofanyiwa na CCM na taasisi za dola, na wengi tuliwaunga mkono kwani ili demokrasia ya kweli ifanye kazi thabiti shurti kuweke level field. Lakini yayumkinika kuhitimisha kuwa kwa mwenendo huu wa kujibishana kwenye mitandao ya jamii, adui yenu mkubwa kwa sasa ni ninyi wenyewe. Tofauti zenu za kimitazamo zinaweza kujadiliwa na hata kumalizwa ndani ya vikao husika, if not katika maongezi binafsi as viongozi wa chama kimoja.

Hebu jiulize, pamoja na uselessness yao na hata kukinzana kwao, when did you see Nape na Lowassa wakija JF 'kuonyeshana ubabe'? Si kwamba hakujawa matukio yanayoashiria bayana uwa wanasiasa hao 'picha haziivi' lakini angalau wana akili na busara za kutambua kuwa tofauti au hata uhasama wa kisiasa shurti viandane na kuthamini maslahi ya Chama chao.

Huu ni ushauri wa bure tu lakini una haki ya kuupuuza. Nimalizie kwa kukuuliza, hiyo kesho ukishatundika kuhusu 'Unafiki wa Zitto kuhus posho' itakisaidia vipi chama chenu katika harakati za kuing'oa CCM hapo 2015?
 
Mwigamba ni sehemu ya uchafu tunaousafisha ndani ya chama,

Zitto ni jalala halisi, lazima lizolewe na kufukiwa rasmi,

Hatutaki majalala ndani ya chama chetu, waende ccm hukohuko wanakokula kisha wanakuja kulala chadema

Waulize ma boss wako wanaogopa nini kumfukuza Zitto chadema?

Wewe ni kinyangarakata usio na ubavu wowote ndani ya chama mbele ya Zitto, hivi ni lini mara ya kwanza ulimuona Zitto?
 
buku saba ndiyo zinasubira?

hivi ndo wewe mkeo alikuja hapa na kukufanansha na mwalimu nyerere? Unataka kujitaftia umaarufu kupitia zitto wakati hata kimara hujulikani! Tunawasubiri kesho ila msikimbie kama leo
 
Kwanini wewe usisubiri kesho? Kulikuwa na ulazima gani kujibu utakachojibu kesho? Maana ulicho kiandika leo na kesho hakina tofauti.
Haya ngoja tusubiri kesho mwambie asikimbie thread au muwe pamoja kujibu maswali ya wanajamvi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom