Chadema ni chama ambacho nilikuwa nakipenda sana..kuanzia viongozi mpaka itikadi ya chama.Lakini naona siasa za ukanda zimeshamiri sana,kuna watu ndani ya chadema wanajifanya wao ndiyo kila kitu. Ndugu sisi tunafahamu tangu zamani ya kwamba wewe unaogomvi binafsi na zitto,uogomvi huo umetoakana na roho yako mbaya na kupenda kufanya siasa za fujo amabazo kamana makini kama zitto hawezi kufanya.
Huu upumbavu ulioandika leo ni kumlenga zitto moja kwa moja,unapenda sana wewe uonekane wewe ni msafi kuliko wengine, na pia wewe ni mtu wa kujilimbikizia mali,,ndiyo maana kwenye kikao umeinuka na kuanza kumtusi zzk kwa madai kwamba yeye ndiye mpingaji mkuu wa ongezeko la mshahara wa kifisadi kwa wabunge. Wewe Lema ni -------- sana,hata ufanye nini hauwezi kumshusha zitto, huna uwezo hata kidogo wakuweza kumshusha zitto!!!kwanza tangu ufike bungeni hakuna hata jambi jema amabalo umewahi kusimamia kwa manufaa ya wananchi, mara zote vitu unavyosimamia wewe ni vitu vya kipuuzi, vitu amabavyo mwananchi wa kawaida havimgusi.Elimu yako ni ndogo ndiyo tatizo kubwa linalokufanya uwe na roho mbaya juu ya zzk.
Yaani -------- kama wewe unajifanya unauchungu na chama kuliko zzk????kwa lipi ulilofanya mpaka chama kikawa na nguvu nchi nzima,zaidi ya siasa za kipuuzi na wapuuzi wenzio arusha. Wewe na wajinga wenzio ndiyo ambao munakiua chama.
Yaani mijitu mingine munauzi sana,yaani wewe mjinga wakumuona zzk msaliti....halafu wewe ndiye mwenye uchungu na chama!!!!!