MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,264
Inabidi chama kimsikilize Main Actor Jason Bourne A.K.A Yericko Nyerere A.K.A Mfanyakazi wa Ikulu.Mheshimiwa Lema,
Hakika mimi niseme maneno machache tu,
Kwamda wa miaka 8 niliyoanza kuhudumu katika siasa kali niseme wazi, kikwazo kikuu cha kuelekea mageuzi ya kweli katika nchi hii kupitia siasa za mageuzi ni Zitto Zuber Kabwe,
Narudia tena Zitto Zuber Kabwe ndie msaliti namba moja na ndie kiongozi wa migogoro yote kila itokeapo ndani ya Chadema,
Sisi tumemaliza kazi yetu sasa tumewaachia wafanyamamuzi,
Sasa mkimshindwa tutachukua jukumu la kihafidhina zaidi wenyewe
Kama anavyodai, yeye kazi yake ya ku-act waliyomtuma ameishaimaliza baada ya kuwa unmasked kilichobaki ni viongozi wa CHADEMA kufanya kazi yao.
Kweli ukiwa tapeli huwezi kuacha utapeli.
Last edited by a moderator: