Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Mheshimiwa Lema,

Hakika mimi niseme maneno machache tu,

Kwamda wa miaka 8 niliyoanza kuhudumu katika siasa kali niseme wazi, kikwazo kikuu cha kuelekea mageuzi ya kweli katika nchi hii kupitia siasa za mageuzi ni Zitto Zuber Kabwe,

Narudia tena Zitto Zuber Kabwe ndie msaliti namba moja na ndie kiongozi wa migogoro yote kila itokeapo ndani ya Chadema,

Sisi tumemaliza kazi yetu sasa tumewaachia wafanyamamuzi,

Sasa mkimshindwa tutachukua jukumu la kihafidhina zaidi wenyewe
mkuu tuwekee ushahidi hapa! Wewe umefanya zaidi ya mwigamba mkuu, sijui huko chadema watachukua hatua gani! Lakini chadema msitafute mchawi mbele ya safari, huwezi kuongoza chama kwa majungu na umbeya badala ya vikao!
 
Sometimes kuficha ujinga ni jambo bora sana kuliko kuja hadharani na kuzungumza vitu visivyo na mantiki,weledi na vilvyokosa mashiko kias hiki??

Umezungumza ukiwa umelewa au ukiwa na akili zako timamu??

Naona sasa mmeamua kutangaza vita RASMI,

KWA STYLE HII CCM ITAONDOKA VIPI MADARAKANI??

MISIMAMO YA KINA MALCOM X INAKUPOTOSHA SANA,MATTER OF FACT ZITTO KABWE HUMUWEZ HATA KAMA UMEAMUA KUJA RASMI KUMCHAFUA,AMEYAFNYA MENGI NA BADO ANAYAFANYA MENGI NDAN YA CHAMA NA KITAIFA,WE UMEFANYA NINI??

ANA FOLLOWERS NDAN YA CHAMA NA KITAIFA,WEWE UNA NIN??

UMEJIVUA NGUO KWELI KWA HILI,KWA UFUPI UMEPROVE KUWA WEWE NI KIHIYO NA KANJANJA...

hahahahaha kamanda muonee huruma huyo ni mpuuzi asiejua alifanyalo ila anaendeshwa na chuki ya udini, ukanda, ukabila. Tumeshawajua kitambo.
 
Nilianika usaliti na wahusika wote.Kama huo ni usaliti basi naona fahari kuwasaliti wasaliti wa harakati za Ukombozi

I will not be dragged into this petty argument.Anyways,if it'll suit you....then I'll let the insinuation slide!

Una Obsession mbaya na majina ya watu.

Huna lolote we ni mnafiki pia.
 
Viongozi gani wameshambuliana au mkuu na wewe siku hizi umeachana na ujenzi wa hoja kwa facts na kuziamini zaidi hisia katika debate humu?

Hivi Lema si kiongozi?

Kwi kwi kwi teh teh teh

Wewe mwisho utajibishia hata mwenyewe, ili mradi ubishe tu hata kama unachobisha ni ukweli mtupu.

Sasa unachokibishia hapo ni nini?
 
Safari yetu ya kubadilisha utawala inaonekana kufika ukingoni na nifuraha ya kila Mtu mwenye hisia ya ukweli katika maisha na ninapotazama mbali sana ninaona jinsi ambavyo Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa ni bahati mbaya sana uwezi kuwaepuka katika harakati hizi lakini tukiwa makini tunaweza kuwathibiti .

Kama Chadema leo itashindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa wazi wa kazi hii njema ni vipi Chadema itaweza kuitaka Serikali na Rais iwajibishe Viongozi wake katika ufisadi na wizi wa mamilioni ? Na Wananchi lazima wajue lengo kubwa na muhimu la Chadema kwanza liwe kubadilisha fikra na mitazamo na kuupa UMMA elimu na mamlaka na nguvu ya kusimamia Taifa lao katika kuhoji ,kudadisi na kukemea , kwani UMMA usipojua wajibu wake katika kusimamia rasilimali na Taifa lao , ukweli utabaki kuwa Nchi itabadilishwa na kufanikishwa na Jamii iliyoamua kuishi matendo dhahiri ya ukweli na haki na sio unafiki na usaliti .

Viongozi wote wa Siasa wanatokana na Jamii kwa hiyo jamii Thabiti inayo furahia UTU ni Nchi bora tutakayoijenga lakini Jamii yenye woga na hofu na Sifa itazaa Taifa lenye usaliti na Wanafiki . Usaliti na Unafiki unaliangamiza Taifa sana . Maombi na Dua za Watu wengi kuelekea 2015ni kutaka kuona Chadema inachukua Nchi , lakini Dua na Sala hizi zina Imani kubwa na Viongozi wa Chadema na sio rangi ya Chadema , hivyo ni muhimu Chadema kuchukua hatua sasa ya kusafisha Chama na kama hatua hiyo muhimu ya kuondoa Watu wenye rangi mbili italeta madhara katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwamba tunaweza tusishinde dola basi madhara hayo ni muhimu kwani lengo letu lisiwe tu kwenda Ikulu bali kubadilisha fikra ya utawala katika kutenda na kuamua .

“ Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani “ Chadema lazima ifanye maamuzi sasa ya kusafisha Nyumba yake la sivyo itakuja kujuta katika siku za mwisho , wasaliti wote waondolewe hasa yule Kiongozi wao kwani hakuna genge la usaliti lisilokuwa na Kiongozi , kuna Watu wengi Vijana wamekuwa wahanga na ndoto zao kupotea katika Siasa kwa sababu waliongozwa vibaya na Kiongozi mkubwa anayeratibu usaliti ndani ya Chama .

Mtu huyu wote tunamjua ni matumaini yangu Usaliti wake sasa utafika kikomo kama Chama kitaamua kuwa na busara za kutosha katika kujenga siku njema zinazokuja . Mtu huyu amefanya mambo mengi mabaya katika Chama yanayohusu usaliti na amewaponza Vijana wengi na kuangamiza ndoto zao kwa sababu ya mambo yake binafsi .

“ To me, the thing that is worse than death is betrayal. You see, I could conceive death, but I could not conceive betrayal.” Malcolm X



Lema Godbless - Mp

CHANAGA UNITED ha ha ha sasa face to face na Zitto Kabwe ha ha ngoja tuone wewe na yule mtembea na sumu kama mtamuweza na ni ZITTO mwenyewe ndio kabaki kikwazo cha nyie kupiga hela...pambaneni mumngoe
 
Wiki mbili zilizopita niliwataja wasaliti wa mkoa wa singida ukanipinga vikali ukinitaka nitoe malalamiko kwenye vikao halali,leo unamsapoti lema ambae ni kiongozi mkubwa,anapolalama humu,badala ya kufuata katiba? Wewe saanane ni bonge la mnafiki,na sasa naamini una kazi maalum ya kuua chama.

Ulikuja kuwataja majina na kuwashambulia huku JF badala ya kutumia vikao halali.Ni tofauti na lichofanya Lema maana ametoa general statement na hajataja jina.Lema kavunja kanuni gani?Niliwaambia mlete hoja kwa kunukuu vifungu vya katiba alivyovunja hadi sasa page ya 20 hakuna aliyeleta.Ni majungu tu na hisia

Baadhi ya wanafiki waliotajwa tayari wamejileta kwa ID fake.Tukiendeleza moto huu watajitokeza wenyewe maana wana historia ya kukurupuka na kujitokeza kama walivyowahi.kufanya kipindi fulani kilichopita.Stay tuned...
 
Mkuu leo sisi wa Lumumba tuekaa viti vya VIP tukitazama mpambano na myukano ndani ya zizi la CHADEMA.
Mie naenda agiza popcorn na kuangalia episode hii inaendeleaje.
Tumeaonya kutofua nguo za ndani hadharani kwa afya hawasikii.
Sasa ndio inadhihirika hawa F4F wakikamata nchi, patakuwepo na idara maalum ya Majungu.
Ni kweli vita vya panzi......

Matatizo katika taasisi huwa hayakosekani na uimara wa taasisi unapimwa kutokana na uwezo wa kutatua matatizo na siyo uwezo wa kutengeneza matatizo kwa sababu kuna matatizo mengine yanatokana na mabadiliko ya mazingira kitu ambacho kiko nje ya uwezo wa chama kuzuia kabla hajatokea.

Tatizo ninaloliona kwa CHADEMA kama chama ni vijana kuwa ndiyo nguzo ya chama kiasi kwamba hata wazee wa chama wamekuwa embedded kwenye nguzo hizo ambazo ziko dotted allover the place. Kigezo imara kwa siasa za Tanzania kwa chama kuweza kupambana na changamoto kama hii ni kwa vijana kuwa ndiyo embedded kwenye nguzo za wazee.

Shida inakuja pale tatizo linapojitokeza kama hili kwa sasa. Wazee kwa vile ni matawi tu (dependent) ndani ya chama, ndiyo maana wanakuwa hawana uwezo wa kulitatua, matokeo yake ndiyo haya kwa vile vijana bado damu yao ni moto na wana upungufu wa hekima na busara huku wakiongozwa na jaziba katika maamuzi ambayo ni delicate kama hili.

Inabidi dhana ya peoples power wairejee na waifanyie tathmini kuhusiana na jinsi inavyotumika katika changamoto za kimakundi ndani ya chama kwa faida ya chama. Hii ni kazi ya mkutano mkuu wa CHADEMA.
 
CHANAGA UNITED ha ha ha sasa face to face na Zitto Kabwe ha ha ngoja tuone wewe na yule mtembea na sumu kama mtamuweza na ni ZITTO mwenyewe ndio kabaki kikwazo cha nyie kupiga hela...pambaneni mumngoe

Another tribal bigotry....

Siku zote unazunguka kwenye hisia za kibaguzi tu.Elimika kaka
 
CHANAGA UNITED ha ha ha sasa face to face na Zitto Kabwe ha ha ngoja tuone wewe na yule mtembea na sumu kama mtamuweza na ni ZITTO mwenyewe ndio kabaki kikwazo cha nyie kupiga hela...pambaneni mumngoe
Tokea Kinana akupe tenda yakusambaza nyara za serikali huko Scandinavia umezidi kuwa mpuuzi
 
Hivi Lema si kiongozi?

Kwi kwi kwi teh teh teh

Wewe mwisho utajibishia hata mwenyewe, ili mradi ubishe tu hata kama unachobisha ni ukweli mtupu.

Sasa unachokibishia hapo ni nini?

Ni wapi nilikobisha kuwa Lema sio kiongozi?Lema amemtaja kiongozi wa wasaliti.Kwa vyovyote vile kiongozi wa wasaliti na wasaliti ni lazima apingwe.So mantiki yako unamaanisha Lema kama kiongozi anashbuliana na kiongozi wa wasaliti?Kama ni hivyo basi.....
 
Another tribal bigotry....

Siku zote unazunguka kwenye hisia za kibaguzi tu.Elimika kaka

Komaeni mumngoe Zitto ili mpige hela kirahisi sasa na mahesbu yawe yanafanyika nyumbani kwa Mtei...halafu wee jamaa tafuta kazi ya kufanya huku kushinda mitandaoni sio issue jamaa wee 24/7 uko mitandaoni kutetea ujinga ujinga tu tafuta kazi yakufanya acha kupenda vya bure
 
Mtu mwelevu kama zito akitoka cdm welevu wote watatoka watabaki makapi yenye upeo hafifu kama lema
 
Godbless J Lema unatakiwa kijua unacho fanya ni kosa na umepotoka?

Una nafasi ya kuyaongea hayo na kuyatolea ushahidi kwenye chama si hapa.

umepotoka sana.

Sikutegemea kama utakuja humu kuanza kuyaongea haya?
Kwanini tusijifunze kwa wenzetu?
Hichi unacho fanya ni kukivuruga chama.

Umenikera sana.

Best nakusapoti kabisa,lema ni kiongozi mwandamizi,haya anayosena yana ukweli lakini yanavuruga chama,kwanini asimshitaki zitto rasmi kwenye ngazi husika? Kiherehere chote hichi kina nia yakutuvuruga.Halafu kuna mwanga anaitwa saa8,naye ni mjumbe wa sekretariet,anasapoti ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwelevu kama zito akitoka cdm welevu wote watatoka watabaki makapi yenye upeo hafifu kama lema

Ha ha mkuu sio Lema pekee hata yule mtembea na SUMU nae atabaki na itakuwa rahisi sasa kwao kupiga hela za mwisho mwisho
 
Mwigamba ametuhumiwa kukichafua chama na viongozi wake kupitia mitandao ya kijamii,sasa na wewe Lema kwa kutumia mtandao huu wa JF kutuhumu wenzako una tofauti gani na Mwigamba?Je, ni kwanini na wewe usiadhibiwe kwa hili?

Hivi huyo kinara wa usaliti chama ni mali yake?

Kwanini tuhuma zake zisiwekwe wazi kwenye vikao halali na akishindwa kujitetea afukuzwe mara moja?

Mkishindwa kumwajibisha ni kwanini tusiamini anayosema ni ya kweli?

Lema nae awajibishwe kwa kuvunja kanuni,miongozo na katiba ya chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom