Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Mwgamba alilalama hapa akapgwa na kusimamishwa. Lema anasema chamani kuna wasaliti na wamepoteza ndoto za wengi ataachwa tu. Najua lema anamaansha zitto kabwe sababu amepinga posho.
 
Huyo msaliti ni nani? Vp umeshndwa kuongea hayo kwenye vikao vya chama unakuja hapa hadharani.

Kuna wanaosema Adui watapata Mwanya.Ni bora wajue kuwa mipango yao kuwatumia Traitors haitafanikiwa na inajulikana kama ambavyo katibu Mkuu alivyotangaza kubaini mbinu chafu za kuvuruga uchaguzi wa ndani wa chama
 
Mtu huyu wote tunamjua ni matumaini yangu Usaliti wake sasa utafika kikomo kama Chama kitaamua kuwa na busara za kutosha katika kujenga siku njema zinazokuja . Mtu huyu amefanya mambo mengi mabaya katika Chama yanayohusu usaliti na amewaponza Vijana wengi na kuangamiza ndoto zao kwa sababu ya mambo yake binafsi .
Kushindwa kumtaja huyo mtu ni dalili tosha ya uwoga wako, licha ya wewe binafsi kutahadhalisha juu ya jamii yenye woga.

Zaidi aina hii ya utoaji malalamiko miongoni mwenu machadema inatia shaka sana juu ya mfumo mzima wa chama chenu.
 
Tunamjua tayari mkuu,cha kufanya ni nyie kutekeleza majukumu ndani ya chama ikiwapo kuwawajibisha hao wasaliti provided ushahd mnao.sisi hatuhtaj kujua kama kuna mjusi alidondoka kwenye mchuzi maana 2tatapika bure!
 
Godbless J Lema, na taifa wanaelewa unamlenga nani (ni msaliti yoyote ndani ya chama) najaribu kujiuliza ni msimamo wako binafsi kupambana na wasaliti katika chama ama wewe unakuja tu kuwasilisha ajenda.

However siku za karibuni nimenote ukweli kuwa CHADEMA ina kamati kubwa kabisa ambayo ni makada na watumishi wa CCM.

Je umeshindwa kulijadili hili katika vikao vya chama??? Ikiwezekana mtajane?

Chadema bila kuchora mstari, tutafika 2015 vipande vipande

Ukimsoma vizuri Lema utagundua ndani yake hakuna uchama. kwa maana uchama huficha uchafu mwingi.
Kwa Lema kumejaa uzalendo wa kweli, hana unafiki kwenye maneno yake.
Kimsingi kama kweli CHADEMA wamedhamiria kuleta ukombozi wa fikra, wanatakiwa wakajisafishe kwanza, ili safari ya ukombozi iwe rahisi. Ni heri kushindwa uchaguzi lakini ukombozi wa fikra unafika, kuliko kuwa na wanafiki na wasaliti ndani ya chama.
Tujinyooshee vidole sisi wenyewe kabla hatujawanyooshea wengine.
 
Msaliti mwngne ni yericko a.k.a jb ambaye alileta hapa jf taarifa ya 'siri' kuhusu zitto kabwe. Ile taarifa kama ni ya chama ingejadiliwa chamani na kumwajibsha brother zitto kama kweli alitenda hayo. Yeye akaleta humu. Mwngne ni ben sa8 na pm7 yake.
 
Kamanda Lema unalengo zuri ila unafanya kosa ku expose internal issues za chama wakati wewe ni mjumbe wa vikao vya juu.
Hata hivo sote tunamjua nyoka aliyendani ya nyumba au sio Tozi?
 
jamaa atakua hajiamini.

kutokana na bifu la jana kuhusu posho basi anamaansha zitto kabwe. Siku zitto akifukuzwa cdm ndo mwsho wa wanacdm wenye akili kuipenda chadema. Watabaki misukule isyo na uwezo wa kuhoji.
 
GODBLESS j. lema sioni sababu ya wewe kuendelea kulalama humu. haya mamba kamwe hayawezi kukusaidia kabisa wala kukisaidia chama.

Muda mwingine ni bora kukaa kimya, kuna mambo mengi ungefanya zaidi ya haya kuja kwenye mitandao kulahumu kuhusu msaliti.

Tunataka chadema mmoja hatutaki chadema ya makundi ya kulalama na kulahumiana.

Hivi kama una ushahidi wa wasaliti kama ule wa mwigamba kwanini usiupeleke sehemu husika?kwanini tuishi tuki lalama mkuu?

Me naamimi kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kuongea kila wakati.

Kwakweli hizi mambo hazijengi kabisa, ukiulizwa ni nani una mlahumu katika hili pengine hutomtaja kama ulivyofanya.

Kwanini tufanye mambo yakutoa lawama kila leo.

Wewe si Lema ambaye nimekuwa nikimadmire kila leo.

Huu upuuzi wa kulahumiana haujengi chama,hatuutaki.

Mkuu ukimsoma vizuri kamanda Lema utamuelewa,

Anatoa onyo kwa huyo mnafiki msaliti a.k.a Mzee wa Tunguli, kaaga Kigoma
Anatoa elimu kwa vijana tusiwe wasaliti... katoa na mifano ya vijana waliokatishwa ndoto zao za kisiasa...
Anatutia moyo ni mtu moja tu anaetuvuruga ni mnafiki hata wanaomtumia wanamuona mnafiki.

vile vile anatoa hamasa kwa vijana
 
Godbless J Lema sioni sababu ya wewe kuendelea kulalama humu. haya mamba kamwe hayawezi kukusaidia kabisa wala kukisaidia chama.

Muda mwingine ni bora kukaa kimya, kuna mambo mengi ungefanya zaidi ya haya kuja kwenye mitandao kulahumu kuhusu msaliti.

Tunataka chadema mmoja hatutaki chadema ya makundi ya kulalama na kulahumiana.

Hivi kama una ushahidi wa wasaliti kama ule wa mwigamba kwanini usiupeleke sehemu husika?kwanini tuishi tuki lalama mkuu?

Me naamimi kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kuongea kila wakati.

Kwakweli hizi mambo hazijengi kabisa, ukiulizwa ni nani una mlahumu katika hili pengine hutomtaja kama ulivyofanya.

Kwanini tufanye mambo yakutoa lawama kila leo.

Wewe si Lema ambaye nimekuwa nikimadmire kila leo.

Huwa na kuadmire kwa kuwa muwazi na ufichi lakini ninacho jiuliza ni lini umeanza mafumbo?

Huu upuuzi wa kulahumiana haujengi chama,hatuutaki.

Lawyer wangu naona unapindisha uhalisia. Kwanza huyo msaliti anatakiwa ajue kuwa watu wanamjua. Sasa kama atajitaja mwenyewe kama Mwigamba ruksa. akikataa atatajwa kwa lazima.
Hii pia ni elimu muhimu kwa siasa ya Tanzania. Kwa maana kila msaliti ndani ya chama cha siasa ana lengo, either ametumwa na chama ambacho inaona chama kingine ni threat kwake, ama kwa utashi wake wa kisiasa. All in all usaliti ni usaliti.
Kusema kwamba kwanini asitajwe inajenga taswira tofauti na maudhui ya mtoa mada.
 
Kamanda Lema unalengo zuri ila unafanya kosa ku expose internal issues za chama wakati wewe ni mjumbe wa vikao vya juu.
Hata hivo sote tunamjua nyoka aliyendani ya nyumba au sio Tozi?
Mkuu
hebu nisaidie kwende hili bandiko kuna mambo gani ya ndani ya chama ameyatoa? pamoja sana!
 
Msaliti mwngne ni yericko a.k.a jb ambaye alileta hapa jf taarifa ya 'siri' kuhusu zitto kabwe. Ile taarifa kama ni ya chama ingejadiliwa chamani na kumwajibsha brother zitto kama kweli alitenda hayo. Yeye akaleta humu. Mwngne ni ben sa8 na pm7 yake.

Nilianika usaliti na wahusika wote.Kama huo ni usaliti basi naona fahari kuwasaliti wasaliti wa harakati za Ukombozi

I will not be dragged into this petty argument.Anyways,if it'll suit you....then I'll let the insinuation slide!

Una Obsession mbaya na majina ya watu.
 
Godbless J Lema unatakiwa kijua unacho fanya ni kosa na umepotoka?

Una nafasi ya kuyaongea hayo na kuyatolea ushahidi kwenye chama si hapa.

umepotoka sana.

Sikutegemea kama utakuja humu kuanza kuyaongea haya?
Kwanini tusijifunze kwa wenzetu?
Hichi unacho fanya ni kukivuruga chama.

Umenikera sana.
 
Last edited by a moderator:
Mie napita tu.

603985_617812231595410_1812893646_n.jpg

Hahahahahaaa imenifurahisha sana hii
 
Wazo lako ni zuri sana ndugu mh.

Lakini kwanini umeamua kuleta hoja hii katika jamiiforums ilihali kuna vikao halali vya chama.
 
Mwigamba ametuhumiwa kukichafua chama na viongozi wake kupitia mitandao ya kijamii,sasa na wewe Lema kwa kutumia mtandao huu wa JF kutuhumu wenzako una tofauti gani na Mwigamba?Je, ni kwanini na wewe usiadhibiwe kwa hili?

Hivi huyo kinara wa usaliti chama ni mali yake?

Kwanini tuhuma zake zisiwekwe wazi kwenye vikao halali na akishindwa kujitetea afukuzwe mara moja?

Mkishindwa kumwajibisha ni kwanini tusiamini anayosema ni ya kweli?
 
Ukimsoma vizuri Lema utagundua ndani yake hakuna uchama. kwa maana uchama huficha uchafu mwingi.
Kwa Lema kumejaa uzalendo wa kweli, hana unafiki kwenye maneno yake.
Kimsingi kama kweli CHADEMA wamedhamiria kuleta ukombozi wa fikra, wanatakiwa wakajisafishe kwanza, ili safari ya ukombozi iwe rahisi. Ni heri kushindwa uchaguzi lakini ukombozi wa fikra unafika, kuliko kuwa na wanafiki na wasaliti ndani ya chama.
Tujinyooshee vidole sisi wenyewe kabla hatujawanyooshea wengine.
Your hero is an unguided missile. Linaweza kuharibu kwa adui au hata kwa ndugu na jamaa. Tazama anavyo quote watu na kujaribu kutumia misemo utadhani kiwete anayejaribu kutumia miguu yake kutembea.
 
Mwigamba ametuhumiwa kukichafua chama na viongozi wake kupitia mitandao ya kijamii,sasa na wewe Lema kwa kutumia mtandao huu wa JF kutuhumu wenzako una tofauti gani na Mwigamba?Je, ni kwanini na wewe usiadhibiwe kwa hili?

Hivi huyo kinara wa usaliti chama ni mali yake?

Kwanini tuhuma zake zisiwekwe wazi kwenye vikao halali na akishindwa kujitetea afukuzwe mara moja?

Mkishindwa kumwajibisha ni kwanini tusiamini anayosema ni ya kweli?

What is the correlation?Lema hajataja jina la mtu.Huyo Mwingine alitumia Fake ID kuchafua viongozi na chama kwa ujumla.Ni wapi Lema alikochafua?Ametoa general knowledge na angalizo.Ni kanuni zipi zinazombana hapa kikatiba?Leteni kanuni hizo hapa na vifungu vya katiba vilivyovunjwa badala ya kufuata mkumbo tu.JF si Home of Great thinkers?
 
Lema, usihaidaike na maneno ya JF!!

Tumia vikao vya chama kuelezea/kutatua tatizo hili!!

Bado naendelea kusoma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom